Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Hahahah, umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu, na wazungu wanalijua hili, ndio maana wanahakikisha Afrika hatuwi taifa moja
 
You are not serious. Heshimu nchi za watu.
Kwa mantiki yako, kwa nini Trump asije kukwapua nchi maskini za Africa, America na Asia? Maana uwezo wa kijeshi kufanya hayo anao.
 
You are not serious. Heshimu nchi za watu.
Kwa mantiki yako, kwa nini Trump asije kukwapua nchi maskini za Africa, America na Asia? Maana uwezo wa kijeshi kufanya hayo anao.
Kama anaamini watu wa Marekani wana unasaba wa kidugu na waAfrika kama tulio nao sisi na wacomoro basi sawa, aje tujadiliane, kama tukiona muungano una manufaa basi sawa, ila tukiona hauna faida kwetu tunaupiga chini
 
Kama ni nasaba, nani akwapue mwenzake kati ya Tanzania na Kenya (Wajaluo). Tanzania na Msumbiji (Wamakonde). Tanzania na Malawi? nk
 
Kama ni nasaba, nani akwapue mwenzake kati ya Tanzania na Kenya (Wajaluo). Tanzania na Msumbiji (Wamakonde). Tanzania na Malawi? nk
Yeyote atakaeona inafaa na kuna manufaa ya kuungana kiuchumi , kisiasa na kijamii na mwenzake anaweza akaitisha majadiliano, na kama wakikubaliana basi wanaungana kwa moyo mkunjufu, ni kama Nyerere na Karume walivyofanya, hata sioni unapaniki nini, umetumwa au?
 
Naona unabadili lugha sasa. Uliongelea kuzinyakua kama Zanzibar. Ndiyo maana nikasema heshimu nchi za watu.
Muungano was hiari ni suala lingine.
 
Naona unabadili lugha sasa. Uliongelea kuzinyakua kama Zanzibar. Ndiyo maana nikasema heshimu nchi za watu.
Muungano was hiari ni suala lingine.
Kwani hujui unaweza ukakwapua kidiplomasia?
 
Unanichosha tu go to your allah who eats bacon and ribs blah blah blah
.
You need more content dear drama teacher

Huna majibu. Siyo wewe tu hata maaskofu na makasisi wameshindwa kuonesha hilo.

Nimekwambia uki beep mimi napiga.

Onesha wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"? Acha porojo.
 
Miungano sio lazima iwe ya kijeshi tu miungano ya Kibiashara kimahaba halafu tusubiri huyu Bwana aondoke.
Inaonekana huyu bwanaako kakukalia kooni hataki uende kwa mwanaume mwingine. Maana kila kiti wewe lazima umtaje huyu bwanaako
 
Huna majibu. Siyo wewe tu hata maaskofu na makasisi wameshindwa kuoneaha hilo.

Nimekwambia uki beep mimi napiga.

Onesha wapi Yesu anassema "Mimi Mungu"? Acha porojo.
Sio kuoneaha ni KUONESHA

Show me anywhere nilipoandika Yesu ni Mungu, ukipakosa go eat ribs with your allah
 
Kwanza sijui kwanini Nyerere alienda kugugumia ile mivisiwa ya kijinga akaacha hivi visiwa vya watu wstaarabu wanaopenda watu wa dini zote?
Leo ndio unawaona ni wajinga?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„
 
Ni kweli kabisa... wa-comoro wanajinasibu ni waTanzania halisi kabisa...

Ajabu wao wakija kwetu hawana vikwazo vyovyote, sisi tukienda kwao vikwazo kibao...

Cc: mahondaw
 
Sio kuoneaha ni KUONESHA

Show me anywhere nilipoandika Yesu ni Mungu, ukipakosa go eat ribs with your allah
Heee, bado mnaendelea tu??! Hahah, mi ndomana nikakubwagia kijiti uendelee na huyo ajuza.., ni king'aninizi sijawahi onaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ƒ
 
Heee, bado mnaendelea tu??! Hahah, mi ndomana nikakubwagia kijiti uendelee na huyo ajuza.., ni king'aninizi sijawahi onaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ƒ
Ananijua vizuri mkuu na yeye ndiye alisababishaga nile ban kubwa mno ila uzuri mimi nacheza pande zote kama kagere wakibana huku niko kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
.
Na lenyewe miaka ya 2010 lilikuwa na ID nyingine kabla ya hii ya Faizafoxy
 
All the best...πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…