Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Mahitaji yetu ya sasa si ''mke mwingine''. Tunatakiwa kujikita zaidi katika kuijenga familia yetu kiuchumi, kimaadili na kijamii.
Watoto wapate milo (bora) mitatu,wasome shule nzuri, watibiwe kwa wakati, wawe na maadili mema, tuboreshe makazi yawe bora, tuhusiane vizuri na majirani, tuwe na mahusiano mazuri baina ya wanafamilia (ndugu), tumtunze vizuri mke (ale, avae na kupendeza) lakini pia baba awe angalau na pea mbili za suti
Hahahah, umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu, na wazungu wanalijua hili, ndio maana wanahakikisha Afrika hatuwi taifa moja
 
Zitumike mbinu za kidiplomasia, ikishindikana kwa ustaarabu basi liundwe zengwe na vikwapuliwe kwa nguvu, maana wanasema umoja ni nguvu, ni kama Zanzibar tu ikivyonyakuliwa. Nasema hivi maana kuna kitu cha ajabu sana nimekigundua baada ya kuencounter wacomorro kadha wa kadha katika mizunguko hasa ya Kariakoo.
Kiukweli hawa watu wanajiina ni waTanzania kamili kabisa, na wanataka haki zote sawana mTanzania mwingine yeyote yule. Yaani uFaransa anatoka alikotoka kisha anakuja uwani kwetu kumiliku kisiwa, huu ni upunguani wa wapi huu?

Tunaomba tupewe historia ya Commoro kwanza ili tujue tulikwama wapi?

Moja ya manufaa makubwa sana ambayo nimeyaona kwa integration tuliyoifanya na Zanzibar ni 'huge economic, social & political cooperation', fikiria ni kwa urahisi kiasi gani Tanesco imeweza kuuza umeme mwingi sana visiwani bila vikwazo vyovyote, fikiria namna wanafunzi wanapokuja kusoma vyuo vikuu vya bara na kupata mikopo minono ya Heslb bila hiyana wala vikwazo vyovyote vile, pia ona jinsi watu toka visiwani wanavyokuja kupata ajira na kufanya biashara bara bila usumbufu, fikiria jinsi bara tunavyoagiza maziwa toka Zanzibar bila shida yeyote ile, faida ni lukuki.

Lakini ninachokisikia kwa chini ya kapeti ni kwamba kisiwa kimoja wapo cha Comoros kinachomilikiwa na wazungu kinatumika vibaya kutunyonya na kututikisa, mfano eti kuna wakati walikuwa wananunua ng'ombe maelfu kwa maelfu, wanapelekwa hapo kisiwani, wanachakatwa kisha nyama kupelekwa paris, lakini kiutaratibu walipaswa watengeneze kiwanda cha kuchakata hizo nyama hapa nchini kisha zisafirishwe kwenda paris tokea hapa na mapato stahiki ya kodi ya baki hapa, huo ni mfani tu.
Kingine ni Tax evasion techniques kama zile zinazofanyika visiwa vya Seychelles, ni kwamba kampuni inacheza sarakasi kwa kutumia mamlaka za visiwa zilizopo karibu na nchi yako, hivyo wanakuja kufanya biashara kwako lakini base yake anaiweka uwani kwako ambapo huwezi kumfikia sababu ni mamlaka ya mtu mwingine, hii michezo ilitaka kufanyika kwa kuitumia Zanzibar hasa katika uagizaji wa sukari na spea za pikipiki, lakini kwakuwa tuna-control na Zenji ilikuwa ni rahisi kwetu kudhibiti hali hiyo.

===============================

===============================

Likes 28 tayari 😀👍👏💪

You are not serious. Heshimu nchi za watu.
Kwa mantiki yako, kwa nini Trump asije kukwapua nchi maskini za Africa, America na Asia? Maana uwezo wa kijeshi kufanya hayo anao.
 
You are not serious. Heshimu nchi za watu.
Kwa mantiki yako, kwa nini Trump asije kukwapua nchi maskini za Africa, America na Asia? Maana uwezo wa kijeshi kufanya hayo anao.
Kama anaamini watu wa Marekani wana unasaba wa kidugu na waAfrika kama tulio nao sisi na wacomoro basi sawa, aje tujadiliane, kama tukiona muungano una manufaa basi sawa, ila tukiona hauna faida kwetu tunaupiga chini
 
Kama ni nasaba, nani akwapue mwenzake kati ya Tanzania na Kenya (Wajaluo). Tanzania na Msumbiji (Wamakonde). Tanzania na Malawi? nk
 
Kama ni nasaba, nani akwapue mwenzake kati ya Tanzania na Kenya (Wajaluo). Tanzania na Msumbiji (Wamakonde). Tanzania na Malawi? nk
Yeyote atakaeona inafaa na kuna manufaa ya kuungana kiuchumi , kisiasa na kijamii na mwenzake anaweza akaitisha majadiliano, na kama wakikubaliana basi wanaungana kwa moyo mkunjufu, ni kama Nyerere na Karume walivyofanya, hata sioni unapaniki nini, umetumwa au?
 
Naona unabadili lugha sasa. Uliongelea kuzinyakua kama Zanzibar. Ndiyo maana nikasema heshimu nchi za watu.
Muungano was hiari ni suala lingine.
 
Naona unabadili lugha sasa. Uliongelea kuzinyakua kama Zanzibar. Ndiyo maana nikasema heshimu nchi za watu.
Muungano was hiari ni suala lingine.
Kwani hujui unaweza ukakwapua kidiplomasia?
 
Unanichosha tu go to your allah who eats bacon and ribs blah blah blah
.
You need more content dear drama teacher

Huna majibu. Siyo wewe tu hata maaskofu na makasisi wameshindwa kuonesha hilo.

Nimekwambia uki beep mimi napiga.

Onesha wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"? Acha porojo.
 
Miungano sio lazima iwe ya kijeshi tu miungano ya Kibiashara kimahaba halafu tusubiri huyu Bwana aondoke.
Inaonekana huyu bwanaako kakukalia kooni hataki uende kwa mwanaume mwingine. Maana kila kiti wewe lazima umtaje huyu bwanaako
 
Huna majibu. Siyo wewe tu hata maaskofu na makasisi wameshindwa kuoneaha hilo.

Nimekwambia uki beep mimi napiga.

Onesha wapi Yesu anassema "Mimi Mungu"? Acha porojo.
Sio kuoneaha ni KUONESHA

Show me anywhere nilipoandika Yesu ni Mungu, ukipakosa go eat ribs with your allah
 
Ni kweli kabisa... wa-comoro wanajinasibu ni waTanzania halisi kabisa...

Ajabu wao wakija kwetu hawana vikwazo vyovyote, sisi tukienda kwao vikwazo kibao...

Cc: mahondaw
 
Sio kuoneaha ni KUONESHA

Show me anywhere nilipoandika Yesu ni Mungu, ukipakosa go eat ribs with your allah
Heee, bado mnaendelea tu??! Hahah, mi ndomana nikakubwagia kijiti uendelee na huyo ajuza.., ni king'aninizi sijawahi ona😁😂😃
 
Heee, bado mnaendelea tu??! Hahah, mi ndomana nikakubwagia kijiti uendelee na huyo ajuza.., ni king'aninizi sijawahi ona😁😂😃
Ananijua vizuri mkuu na yeye ndiye alisababishaga nile ban kubwa mno ila uzuri mimi nacheza pande zote kama kagere wakibana huku niko kule 😂😂😂
.
Na lenyewe miaka ya 2010 lilikuwa na ID nyingine kabla ya hii ya Faizafoxy
 
All the best...😂😂
 
uroho wa ardhi huu. wakati simiyu hakuna hata wakulima ardhi liko bwelele
Miss Comores 2019
miss comoro 2019.jpg
 
Back
Top Bottom