masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Ugonjwa unaitwa genye mshindo
Ni kweli,wengine huwa na tabia ya kuchekacheka kama mapunguani hasa shule za boarding zenye girls watupu wanaofungiwa sana.
hivi wale ma nuns wanapataga hayo magonjwa wao si hawaruhusiwi kufanya hayo makitu
nakumbuka kipindi cha shule secondary ....sisi watoto wa St.()
tulikuw tunapelekwa kwa debate then party kipindii cha mitihani mikubwa ikikaribia...
Ni mental condition, kule kwetu wanapatiwa msaada wa kisaikolojia kama wengine. Huku ndio unaambiwa genye mshindo.
Kwa upana zaidi soma kuhusu Hypersexuality
naweza sema kuna uhusiano kabisa..... maana nakumbuka enzi niko secondary mafuta ya taa kwene maharage ni meng kweli vilevile kulikuwa na ugonjwa wa wanafunzi kuchekacheka hovyo baadae wakasema extiria dawa yake ni kujamiiana kila mwisho wa mwezi vijana kutoka iyunga washatimba kila mtu na wake kule migombani haha haha wakitoka huko wanakuja kwetu st fransins sasa madoctor wao wenyewe walisema hiyo ndio dawa,ugonjwa ukizid mafuta ya taa kwa mboga jamani yale maisha looo yalikuwa mazuri sana
wakati nasoma sekondari kuna dada alikua hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu.
AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikua tunamsindikiza) japo tulikua bodin
kwa uoga tulisema HANA lakini alikua nao na akigombana na one of them ndo anaumwa
na kujaamiiina ilikua kawaida sana kwake
Sasa basi juzi nikaambiwa mtu flani muacheni tu awe hata na watoto maana hawezi lala bila kujamiina
SASA NIKABAKI NA SWALI JE HUO NI UGONJWA au nikujiendekeza?
wale wanakaa ndani ya ngome ,kinachoendelea ndani ya hayo mageti iwe usiku au mchana huwezi jua.na hilo ndo liwwe swali kama ni ugonjwa basi wale WANGEKUA WANALAZWA KILA SIKU
Hata kujenga hoja huwezi. Kabla ya ku-post hapa, jaribu kusoma bandiko lako ili ujiridhishe kuona kama ulichokusudia kuandika kina mantiki. In brevity, hueleweki.
wale wanakaa ndani ya ngome ,kinachoendelea ndani ya hayo mageti iwe usiku au mchana huwezi jua.
hivi wale ma nuns wanapataga hayo magonjwa wao si hawaruhusiwi kufanya hayo makitu
Hata kujenga hoja huwezi. Kabla ya ku-post hapa, jaribu kusoma bandiko lako ili ujiridhishe kuona kama ulichokusudia kuandika kina mantiki. In brevity, hueleweki.
Mbona kavu wewe ! wacha kuharibu topics ! huna hoja ingia mitini usituchafulie !