Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Mutah ni sexual pleasure ambayo inalipiwa Allah kasema mfanye hii kwa siku tatu au zaidi , Sheria yake ni mtoto ata akizaliwa hana haki yoyote kwa baba na wala hataweza kumjua baba yake
Oooh ndivyo mnayofundishwa kanisani kwenu?
 
Wewe wa kanisa lipi?

Hivi Maryam mama'ke Yesu aliolewa ana miaka mingapi vile?
Umri biblia haijataja ila kwa maneno aliyokuwa anaongea na Gabriel ni wazi alikuwa mtu mzima

Awe askofu awe papa awe yoyote yule ata yule aliembaka mtoto wa miaka 9 wote ni wapuuzi na wabakaji inatakiwa wenye akili timamu tuwakemee na kuwachukulia hatua , either kuwakata uume au kuwanyonga kabisa
 
Sijakuelewa, ndicho nini ukisemacho, naona mara ututukane kuwa ni malaya, mara utupachike majina yasiokuwepo. Unafahamu kanuni za JF kuhusu name calling au hauzifahamu?
Wewe huzifaamu unavyo ita watu majina , jikite kwenye mada acha kuanza kulia Lia

Allah alipo sema mfanye mutah ni maadili kawafundisha?
 
Ni vyema umekiri mna abudu jiwe
Hili tumemaliza
 
Mutah ni mafundisho ya Allah , kanisani yakifundishwa naacha ukristo siku hiyo hiyo
Wewe ni wa kanisa lipi?

Kitabu cha Allah ni Qur'an pekee, weka ushahidi wa hayo mnayojifundisha kanisani, unayoyaita "mutah".
 
Wewe huzifaamu unavyo ita watu majina , jikite kwenye mada acha kuanza kulia Lia

Allah alipo sema mfanye mutah ni maadili kawafundisha?
Mada umeiona juu hapo post namba moja.

Wa kuliliwa ni wewe> Usiyejijuwa? Unaulizwa wa kanisa lipi, unakwepa kujibu. Nomdo ngumu kuingia? Jiregeze tu itaingia.
 
Wewe ni wa kanisa lipi?

Biblia ipi unayoongelea wewe?
 
Kwenye hii dini kumejaa matapeli Sana..wanavaa mapete yao mengi vidole vyote. Kumbe hamna kitu
 
Mada umeiona juu hapo post namba moja.

Wa kuliliwa ni wewe> Usiyejijuwa? Unaulizwa wa kanisa lipi, unakwepa kujibu. Nomdo ngumu kuingia? Jiregeze tu itaingia.
Ndio nimeiona na nimekujibu kulingana na comments zako , uliweka sanamu nikakuwekea muanzilishi wa masanamu ni Allah na Koran imeandika wazi , na pia mnaabudu jiwe

Umekuja kwenye maadili ya Uislamu nikakuuliza Allah alivyo sema mfanye Mutah ni maadili?

Ukaja kwenye maaskofu wananajisi watoto
Nikakwambia wote wanaonajisi watoto mpaka yule Alie najisi mtoto wa miaka 9
Penis should be chopped off
 
Naomba ufute kauli yako kuwa Uislam una mahusiano na sanamu?
kwani nina hakika zaidi ya aya sita kwenye Quran tofauti zinapingana na kauli yako
 
Katika muktadha upi? Kumiliki nyumba ya wageni sio kosa kwamujibu

kama wewe ni mkristo umeshawahi kuwaza kwanini wakristo wanaabudu masanamu? Tena yapo hadi makanisani,
Nimewaza na kukuta muanjilishi wa masanamu ni Allah tena aliweka msikitini

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
 
Naomba ufute kauli yako kuwa Uislam una mahusiano na sanamu?
kwani nina hakika zaidi ya aya sita kwenye Quran tofauti zinapingana na kauli yako
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
 
Naomba ufute kauli yako kuwa Uislam una mahusiano na sanamu?
kwani nina hakika zaidi ya aya sita kwenye Quran tofauti zinapingana na kauli yako
Kafute kauli ya Allah kutengeneza masanamu , Mimi naweka maandiko yenu siongezi sipunguzi na wala siweki tafsir yangu naweka tafsir yenu , unapo nitaka nifute inammana unamtaka Allah na wala sio Mimi
 
Inaelekea tatizo hapa ni lugha ya kiingereza. Rudia kusoma uelewe.Halafu umetumia aya 1 nyingine inayofuata inasemaje?
People adressed in the aya who are them?Who made those statues?Who were keen to be followed?Soma uelewe!!!!
 
Majini yalitumwa na Allah kutengeneza misikiti na Kuweka masanamu ya Malaika ,mitume na watumishi watiifu kwa Allah ili waislamu wayaangalie na kuiga mifano Yao ya kumuabudu Allah mbona kingereza rahisi sana kimetumika

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
 
Ni lugha rahisi lakini hujaelewa.Waliojenga hayo masanamu ni kina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…