Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
hao ni wapagan kama wewe
Embu ficha ujinga wako mbele za watu34:13
Kwanza nianze kwa kusema kuwa hiyo Tafsiri yako english version (34:13) sio sahihi nafikiri umeitoa kwenye Quran iliyoghushiwa!. Kwa bahati nzuri naweza kusoma Quran ya kiingereza pia hivyo naelewa ninachokisema
Kwa kifupi; Hiyo sura inamuongelea Mfalme Suleiman (Mtume Suleiman) ambaye alipewa uwezo na Mungu wa kuamrisha watu, Majini na hata upepo ukamtii. Kwenye Sura hiyo, Inasema Mfalme suleiman aliweza kuwa amrisha majini wamtengenezee kile anachopenda, kama vilivyotajwa hapo juu ila haikusema " so that people look at them and follow their example of worshipping Allah (hiyo imeghushiwa)
Mapepo ndio yaliagizwa na Allah yakajenge msikitini na Kuweka masanamu
Ni amri ya Allah
Old is gold.Vibibi huwa vinacare sana
Sijui umekuaje
Mapepo ndio yaliagizwa na Allah yakajenge msikitini na Kuweka masanamu
Ni amri ya Allah
Wewe ni wa kanisa lipi?hao ni wapagan kama wewe
au hujui uislamu umeanzishwa na ukatoliki?
Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia
wewe ni boga ulichoandika ni making.hauna ushahidi wahayo usemayo. Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
Nafikiri wewe ndio mjinga wa Mwisho ambaye huna hata elementary knowledge ya QuranEmbu ficha ujinga wako mbele za watu
Ibn Abbas anapoongea wewe ficha mkia na ujifiche chini ya meza , huyo ni binadamu yake muhammad
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Kama yale yaliompanda "Mungu" siku 40, au "Mungu" wako wewe sio Yesu?Mapepo ndio yaliagizwa na Allah yakajenge msikitini na Kuweka masanamu
Ni amri ya Allah
Mapepo ndio yaliagizwa na Allah yakajenge msikitini na Kuweka masanamu
Ni amri ya Allah
Sio "twasema". Wewe kabla ya kubatizwa ulikuwa dini ipi?Waislam bna. Naskia pia mwasema kila mtu alizaliwa akiwa muislam.
Wewe ni mjinga na mpuuzi Koran lazima itegemee tafsir bila tafsir hakuna bina chini ya Jua anaweza elewa KoranNafikiri wewe ndio mjinga wa Mwisho ambaye huna hata elementary knowledge ya Quran
Namaanisha ukisha weka sura (ref ya Quran) SURAT SABAA 34:13 hapo hakuna mtu yeyote anayetakiwa kuwa reference mbadala na hata kama angekuwa ni mtoto wa mtume; reference pekee inayotumika ni hiyo ya Quran SURAT SABAA 34:13
Mapepo ndio yaliagizwa na Allah yakajenge msikitini na Kuweka masanamu
Ni amri ya Allah
Biblia ipi na mstari upi?Hapana, ndivyo ilivyoandikwabktk Biblia.
ndio ulivyodanganywa na masheikhSema Vatican, tutakuelewa, si unaelewa ndio chimbuko la Ukristo huko
Sio "twasema". Wewe kabla ya kubatizwa ulikuwa dini ipi?
Unajuwa maana ya Uislam?
Msela alimuoa mdogo wake BONDITA😀😀mie nadhani, yule binti hakuingiliwa akiwa na umri ule.
Ni kama aliwekwa akiba chini ya ULINZI shirikishi, Mpaka wakati wa umri sahihi ili aliwe na mkuu akiwa bado bikira.
Nimeshakujibu , kanisa lolote linaloamini utatu mtakatifu Mimi ndio wa kabisa hiyoKama yale yaliompanda "Mungu" siku 40, au "Mungu" wako wewe sio Yesu?
Wewe wa kanisa lipi?
ZABURI 49:6-7Huyo hawaombi wafu, anawaombea wafu.
Nimesoma Quran na Biblia Vizuri hivyo ninajua ninacho kiandikaWewe ni mjinga na mpuuzi Koran lazima itegemee tafsir bila tafsir hakuna bina chini ya Jua anaweza elewa Koran
Nimekwambia Ibn Abbas anapoongea wewe ficha mkia na ujifiche chini ya kiti
Huyu ni binadamu yake muhammad
MHUBIRI 9:5Huyo hawaombi wafu, anawaombea wafu.
Kijana Rudi madrasa hujui Koran weweNimesoma Quran na Biblia Vizuri hivyo ninajua ninacho kiandika
yaani hata kwa akili ya darasa la nne, huwezi kuweka ref 34:13 halafu uandike kitu ambacho hakipo kwenye hiyo reference. Nyie ndio mnapotosha waumini huko mahekaluni mkijiona mnaelewa kuliko wengine!
Ukitaka kutumia hiyo tafsiri yako ya Kimagumashi; ungeacha kuweka hiyo reference ili uwadanganye wajinga wenzako!
Inaonekana walikulawiti,pole sana, leo zenji imekuwa ya waitaliano tenaUnaongelea Zanzibar, kwani Zanzibar ni msikiti au Kanisa? Huelewi jinsi Wataliano walivyojazana huko? Unafikiri watu wa Vatikano watakileta nini zaidi ya ufuska na ushoga?
Sisi tunaongelea ndani ya makanisa, dunia nzima, watu wanalawitiana kama hawana akili vizuri, hulijuwi hilo?