Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

34:13
Kwanza nianze kwa kusema kuwa hiyo Tafsiri yako english version (34:13) sio sahihi nafikiri umeitoa kwenye Quran iliyoghushiwa!. Kwa bahati nzuri naweza kusoma Quran ya kiingereza pia hivyo naelewa ninachokisema

Kwa kifupi; Hiyo sura inamuongelea Mfalme Suleiman (Mtume Suleiman) ambaye alipewa uwezo na Mungu wa kuamrisha watu, Majini na hata upepo ukamtii. Kwenye Sura hiyo, Inasema Mfalme suleiman aliweza kuwa amrisha majini wamtengenezee kile anachopenda, kama vilivyotajwa hapo juu ila haikusema " so that people look at them and follow their example of worshipping Allah (hiyo imeghushiwa)
Embu ficha ujinga wako mbele za watu
Ibn Abbas anapoongea wewe ficha mkia na ujifiche chini ya meza , huyo ni binadamu yake muhammad

Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
 
Nafikiri wewe ndio mjinga wa Mwisho ambaye huna hata elementary knowledge ya Quran
Namaanisha ukisha weka sura (ref ya Quran) SURAT SABAA 34:13 hapo hakuna mtu yeyote anayetakiwa kuwa reference mbadala na hata kama angekuwa ni mtoto wa mtume; reference pekee inayotumika ni hiyo ya Quran SURAT SABAA 34:13 na sio hiyo ya kwako iliyo ghushiwa!
 
Mapepo ndio yaliagizwa na Allah yakajenge msikitini na Kuweka masanamu

Ni amri ya Allah
Kama yale yaliompanda "Mungu" siku 40, au "Mungu" wako wewe sio Yesu?

Wewe wa kanisa lipi?
 
Nafikiri wewe ndio mjinga wa Mwisho ambaye huna hata elementary knowledge ya Quran
Namaanisha ukisha weka sura (ref ya Quran) SURAT SABAA 34:13 hapo hakuna mtu yeyote anayetakiwa kuwa reference mbadala na hata kama angekuwa ni mtoto wa mtume; reference pekee inayotumika ni hiyo ya Quran SURAT SABAA 34:13
Wewe ni mjinga na mpuuzi Koran lazima itegemee tafsir bila tafsir hakuna bina chini ya Jua anaweza elewa Koran

Nimekwambia Ibn Abbas anapoongea wewe ficha mkia na ujifiche chini ya kiti
Huyu ni binadamu yake muhammad
 
Kama yale yaliompanda "Mungu" siku 40, au "Mungu" wako wewe sio Yesu?

Wewe wa kanisa lipi?
Nimeshakujibu , kanisa lolote linaloamini utatu mtakatifu Mimi ndio wa kabisa hiyo

Usitake nirudi kwa muhammad alipo kuwa Lucifer anaongea kwa kinywa chake mpaka aka sujudu kwa kina uza manat na mwingine wa tatu

Muhammad alikuwa full control by the Lucifer
 
Huyo hawaombi wafu, anawaombea wafu.
ZABURI 49:6-7

“Wa hao wanaozitumainia mali zao, Na kujisifia wingi wa utajiri wao; Hakuna mtu awezaye kumkomboa ndugu yake, Wala kumpa Mungu fidia kwa ajili yake”

AKILI KICHWANI KWAKO

UNAFANYA UFUSKA UKISUBIRI UKIFA UOMBEWE,TOKA NJE YA BOX UISLAMU MMETAPELIWA
 
Wewe ni mjinga na mpuuzi Koran lazima itegemee tafsir bila tafsir hakuna bina chini ya Jua anaweza elewa Koran

Nimekwambia Ibn Abbas anapoongea wewe ficha mkia na ujifiche chini ya kiti
Huyu ni binadamu yake muhammad
Nimesoma Quran na Biblia Vizuri hivyo ninajua ninacho kiandika
yaani hata kwa akili ya darasa la nne, huwezi kuweka ref 34:13 halafu uandike kitu ambacho hakipo kwenye hiyo reference. Nyie ndio mnapotosha waumini huko mahekaluni mkijiona mnaelewa kuliko wengine!
Ukitaka kutumia hiyo tafsiri yako ya Kimagumashi; ungeacha kuweka hiyo reference ili uwadanganye wajinga wenzako!
 
Kijana Rudi madrasa hujui Koran wewe
Hakuna binadamu anaweza elewa Koran bila tafsir

Nachowaweza waislamu humu nasoma Koran na nasoma maelezo Yao

Koran ni mashahiri yasiyo na maelezo unaimba tu ila ukitaka maana lazima usome tafsir kama wewe husomi tafsir hakuna unacho Jua kuhusu koran
 
Unaongelea Zanzibar, kwani Zanzibar ni msikiti au Kanisa? Huelewi jinsi Wataliano walivyojazana huko? Unafikiri watu wa Vatikano watakileta nini zaidi ya ufuska na ushoga?

Sisi tunaongelea ndani ya makanisa, dunia nzima, watu wanalawitiana kama hawana akili vizuri, hulijuwi hilo?
Inaonekana walikulawiti,pole sana, leo zenji imekuwa ya waitaliano tena
 
Back
Top Bottom