Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
- Thread starter
- #301
Hii vipi, tumshauri nani afute zaidi yako Mkristo usiye na kanisa? Soma...
1 Mambo ya Nyakati Mlango 21
Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi kuwahesabu Israeli.
Hayo maneno ya Mungu au Shetani?
std7 msaidie mwenzako kujibu.
1 Mambo ya Nyakati Mlango 21- 1~17
ni kweli shetani alimshawishi Daudi awahesabu watu. Si Mungu aliyemtuma Daudi kufanya hayo. Daudi aliadhibiwa pamoja na watu wa mji wake.
Lakini mwisho wa kosa lake, tunaona Daudi anaungama pamoja na wazee na kukiri kwamba alikosea.
Mungu Huwakubali Wanyenyekevu & kuwasamehe makosa yao kama ilivyokuwa kwa Daudi.
UWE UNASOMA HABARI YOTE, SIO KUKOSOA KWA KAMSTARI KAMOJA KALIKO USHIKA MOYO WAKO.