Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
- Thread starter
-
- #301
Hii vipi, tumshauri nani afute zaidi yako Mkristo usiye na kanisa? Soma...
1 Mambo ya Nyakati Mlango 21
Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi kuwahesabu Israeli.
Hayo maneno ya Mungu au Shetani?
std7 msaidie mwenzako kujibu.
Mnadanganyana tu. Kitabu chetu ni Qur'an sio huo ujinga mnaojitungia na kujaza majina ya watu.
kuingiliana wanaume kwa wanaume kupo kanisani, tena makasisi wenu dunia nzima, kila lilipo kanisa, wanawaingilia watoto wadogo mpaka Umoja wa Mataifa wamepiga kelele, jionee hii; UN denounces Vatican over child abuse and demands immediate action
Wewe wa kanisa lipi? Nikupe ushahidi.
Vipi, "mungu" alipokufa, kwa mafundisho ya Kikristo, nani aliiendesha dunia?
Eti Mungu anajaribiwa na ibilisi, nyie mnakufuru nyie kufata ujinga huo.
NIMEGUNDUA KUWA WANAOMCHUKIA PAULO NA YESU NI KWA SABABU SHETANI NAYE NI MWISLAMHaswaa, hayo mjiulize nyie mnaojidai Yesu kafa kwa ajili ya kuwakomboa dhambi zenu.
Eti ni kweli kila anetundikwa mtini kalaaniwa?
Huo labda Ukristo. Umeisoma Qur'an?
Wewe wa kanisa lipi? Nikupe ushahidi.
KUJIITA MWISLAMU AMA KUSILIMU HAKUTAKUSAIDIA MAANA JEHANAMU LAZIMA UTUPWE USHAHIDI QURA 6:158 TAFASIRI YA ABDULLAH SALEH AL-FARY USHAHIDI HUU HAPA KWA HIYO POLENI SANA WOTE WAISLAMU MAANA KUJIITA MWISLAMU HAKUTAKUOKOA NA JEHANAMU"twasema". Wewe kabla ya kubatizwa ulikuwa dini ipi?
Unajuwa maana ya Uislam?
Mutah ni sexual pleasure ambayo inalipiwa Allah kasema mfanye hii kwa siku tatu au zaidi , Sheria yake ni mtoto ata akizaliwa hana haki yoyote kwa baba na wala hataweza kumjua baba yake
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Ya kuambiwa changanya na yako.KUJIITA MWISLAMU AMA KUSILIMU HAKUTAKUSAIDIA MAANA JEHANAMU LAZIMA UTUPWE USHAHIDI QURA 6:158 TAFASIRI YA ABDULLAH SALEH AL-FARY USHAHIDI HUU HAPA KWA HIYO POLENI SANA WOTE WAISLAMU MAANA KUJIITA MWISLAMU HAKUTAKUOKOA NA JEHANAMU
MUHAMMAD SIYO MWOKOZI NA MTETEZI WAKO SIKU YA KIYAMA USHAHIDI HUU HAPA
HIZI AYA ZA QUR'AN 3:85 NA QUR'AN 3:19 ZINAWADANGANYA MAANA QUR'AN 6:158 MWISLAMU LAZIMA UTUPWE JEHANAMU PAMOJA NA HADITHI ZINATHIBITISHA HILO
Qur'an 3:85. Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.
Qur'an 3:18 Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
ALLAH KASEMA MWISLAMU LAZIMA UIENDE JEHANAMU USHAHIDI HUU CHINI KWA HIYO KUJIITA MWISLAMU HAKUTISHI USHAHIDI HUU CHINI
QURAN TAFASIRI YA ABDULLAH SALEH AL-FARSY
Quran 6:158 Wanangoja jengine ila wawafikie Malaika,[kuwatoa roho] au iawafikie [adhabu kamali) ya Mola wako Mlezi, au zifike baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi? Siku zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi, kuamini hapo hakutomfaa mtu[kafiri] kuamini imani yake ambaye hakuwa ameamini zamani au Mwislamu ambaye hakuchuma kheri katika Uislamu wake Basi Ngojeni, nasi pia tunangoja. [TAFASIRI YA ABDULLAH SALEH AL-FARSY ]
View attachment 2168748
View attachment 2168749
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Naona maneno ya Qur'an yanakushinda, sasa unaleta vikatuni vya kejeli za kijinga. Huo ndiyo Ukristo unavyokufundisha?Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Std7:Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Inakushangaza hiyo, umesahau Yesu alikumbwa na Ibilisi kwa siku 40? Sasa fikiri, mungu wako kakumbwa na shetani. Jinni la kishetani si wewe mmojawapo? Unajisahau? Au huelewi maana ya Jinni nikupe darsa?
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Unaleta mafundisho ya Kikristo? Huwezi ku i replace Qur'an kwa maneno ya watu. Kumbuka hilo.NIMEGUNDUA KUWA WANAOMCHUKIA PAULO NA YESU NI KWA SABABU SHETANI NAYE NI MWISLAM
View attachment 2168742
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Hizo porojo zako kopi na pesti za maandiko ya binaadam wenzako hazikusaidii kuukimbia ukweli.
Na wewe pia ni mateka tu. HujielewiSi hao tu. Kuna wengi sana, jiulize kwanini wanabadilishwa majina?
Hawajaishia huko tu, hata hapa kwetu Afrika wametoka mabingwa wa Kiislam, mbona hatuwasomi hapa kwetu? Kuna kina Ibn Batuta, walioiandika Kilwa na pwani ya Afrika Mashariki kabla ya 'akina" Vasco Da Gama.
Kuna bint wa Kiislaam aliyeanziaha chuo kikuu cha kwanza kabisa duniani, anaitwa Fatma Al Fikhri, unalijuwa hilo?
Unafahamu kuwa hii uijuayo sasa kama Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar? Mbona hatuyasomi hayo?
Unajuwa kuwa Mbantu kihistoria ni mtu wa kuja tu pwani ya Afrika Mashariki? Mbona hatuyasomi hayo? Aliwakuta kina nani Mbantu alipokuja pwani ya Afrika Mashariki? Ushajiuliza hayo?
Ilikuwaje, utawala wa Kabka na huko Uganda na Kagera vazi la heshima na la asili kwao kuwa ni kanzu? Umeshayasoma hayo? Mbona hayasemwi?
Umeshajiuliza kwanini vazi la heshima kwa wahehe ni kanzu, yes, kanzu hizi za Waislam.
Umeshajiuliza kwanini kuna miji mikubwa chini ya bahari ya Kilwa, hatujulishwi historia yake na wana historia wa Chuo Kikuu cha Dar wapo huko wanafanya tafiti?
Umeshajiuliza kwanini mabaki ya Kilwa yamewekwa kwenye uriti wa dunia na yanalindwa na Umoja wa Mataifa yasiharibiwe? Je ni nani walioacha hayo mabaki na kuna historia ipi hapo?
Umeshajiuliza kama kuna mabaki hapo Kilwa, vipi kuhusu Pwani yote ya Tanzania?
Kuhus Qur'an kama ulivyochomekea mwisho hapa...
Hapana, kitabu hakijaungwa na yeyote zaidi ya aliyeshushiwa aya hizo, akisema aya hii husomwa hivi, kabla ya hii na hii husomea hivi baada ya hii na hii ni aya sura hii na hii ni aya ya sura fulani.
1) Umeisoma Qur'an?
2) Wewe ni wa kanisa lipi?
Qur'an imeshushwa kwa miaka 23 kidogo kidohgo kwa Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam. Utapoisoma na utapo uelewa mpamgilio wake kisayansi ndipo utakapoelewa kuwa si Abubakar (Alayhi Salaam), si Muhammad (Salla Allahu Alayhi Wasalaam) kuwa ndio walioandika au kupanga Qur'an ilivyo. Qur'an ni muujiza unaoishi, ilivyo ni "beyond any human comprehension". Isome usiogope, na ukitaka kufahamu zaidi ntakupa vipande vidogo dogo vya muujiza wake, usiopingika.
Kwa kuanzia, basi haufikirii hata kidogo, vipi hii Qur'an iwe ndicho kitabu pekee duniani kilichohifadhiwa na watu wengi zaidi na ndicho kitabu pekee kipo kwa lugha moja tu lakini kinahifadhiwa na watu wa lugha tofauti tofauti duniani? Huo pekee ni muujiza. Kipi kingine chenye hayo?
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
kwi kwi kwi teh teh teh. Hapa vipi, alijisahau?Yn 10:17-18 SUV
Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
Hii swali kubwa na zuri sana. Hapa ndiyo inafaa kuchambua hizi dini ili kuthibitisha kama maandiko hayo yaliletwa kwa ajili ya watu wote au ni yalilenga huko kwao tu. Ningeomba reference kwenye quaran au biblia kama Kuna majina y a makabila au miji ya TanzaniaWw ni mtekwa wa wakoloni wa kiarabu. Mimi si mtekwa Wa Watawala hao. Unaongea ya Qur'an maana Ndio waliokutekea akili
Qur'an ya watu wote wakati haijaandika hata haiwatambui wasukuma, wamakonde, wazaneko, wakurya n. K ila inawatambua Manabii wa Waisraeli huko. Malaika n. K Wewe mzanaki,mchaga, mpare, upo wapi kwenye Qur'an hiyo ya watu wote unayoinadi
Biblia na Quran si Kwa Ajili ya watu wote ndugu yangu. Hivyo vitabu vimeandika Tamaduni za Watu wa kale wa Israel na makabila ya Huko na Imani zao tu.Hii swali kubwa na zuri sana. Hapa ndiyo inafaa kuchambua hizi dini ili kuthibitisha kama maandiko hayo yaliletwa kwa ajili ya watu wote au ni yalilenga huko kwao tu. Ningeomba reference kwenye quaran au biblia kama Kuna majina y a makabila au miji ya Tanzania