jina la kiislam ni jina lolote zuri? vp jina la kikristo nalo ni jina lolote zuri? kwa mfano jina kama john au patric vp hilo ni zuri au baya? ni majina ya kiislam? lakini mlengo wa swali langu ni kwa yule aliyesema kwamba hao wanasayansi na wanahisabati kama wakina Algebra walikua waislam ,sasa sijui ameangalia jina au alishuhudia wakiswaliHapana, jina la Kiislaam ni jina lolote zuri, lenye maana nzuri. Siyo jina ambalo hata kulitamka mbele ya watu ni kazi. Mfano mtu anaitwa M'boro. Inahusu nini.
Kuna Waarabu ambao siyo Waislam.
quran imekopi 80% ya bibliaSi kweli, Qur'an imekuja kuyakinisha na kuelezea ukweli kwa uongo uliotungwa na watu.
HUYO MBEA TU ANAPIMAJE WATU WATU WAWILI DHIDI YA MAMILIONI YA WAENDAO HIJA. UJINGA WA RAFIKI ZAKE UNAMUAKISI YEYE NA ANAOAMBATANA NAO.Nisome juu hapo.
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Kuna mwandishi alikiita hicho kitabu aya za shetani,
Mpaka kesho wanamtafuta wamuuwe.
Swali linakuwa gumu
Usibwete na watu wasiojitambua kwenda kuhiji, mbona wanarudi wanazidi kuwa wehu tu!Kama wapo hao basi hawana tofauti na wachungaji wanaojuwa kuna "wajinga ndio waliwao".
Unaifahamu maana ya Hijja na kwanini Waislaam wenye uwezo wanatakiwa waende huko japo mara moja katika uhai wao?
Jionee: World's Famous Footballers Who Went To Makkah To Perform Pilgrimage
Hivi FaizaFoxy una akili kweli? Ni lini ulimsikia Mungu akinena haya maneno, wacha story za vitabu vya kutungwa na watu kutishia wenzao. Kama kweli Quran ni kitabu cha Mungu kwanini Mungu awape watu uwezo wa kutengeneza majini kuua watu au kuwatesa? Mungu si anakataza mauaji, kwanini atuzunguke sie na kumwambia Mohammed aue na kubaka wake za watu at will? Msijipotoshe na hivii vitabu vya kisanii, tumieni akili kuwaza na kujiulizau siyo kuamini tu kila kitu na kuonekana mabox kichwani.1 Mambo ya Nyakati Mlango 21
Tena shetani akasimama juu ya Israeli, akamshawishi Daudi kuwahesabu Israeli.
Hayo maneno ya Mungu au Shetani?
Kuwa au kutokuwa na akili ni subjective. Achana na mimi, nikiwa nazo, nisiwe nazo, wewe zinakusaidia nini?Hivi FaizaFoxy una akili kweli? Ni lini ulimsikia Mungu akinena haya maneno, wacha story za vitabu vya kutungwa na watu kutishia wenzao. Kama kweli Quran ni kitabu cha Mungu kwanini Mungu awape watu uwezo wa kutengeneza majini kuua watu au kuwatesa? Mungu si anakataza mauaji, kwanini atuzunguke sie na kumwambia Mohammed aue na kubaka wake za watu at will? Msijipotoshe na hivii vitabu vya kisanii, tumieni akili kuwaza na kujiulizau siyo kuamini tu kila kitu na kuonekana mabox kichwani.
Nani alikudanganya kuwa Hijja ni Hospitali ya wehu?Usibwete na watu wasiojitambua kwenda kuhiji, mbona wanarudi wanazidi kuwa wehu tu!
Dogo FaizaFoxy sijamtuhumu Mohammed ila nimeongea ukweli kuwa alikuwa mbakaji na hata wewe unalijuwa hili ila hutaki tu kusema. Unataka kuniambia ulikuwa hujuwi kuwa Mohammed alikuwa anaua watu na kubaka wake zao? Hivi unajuwa Mohammed alikufaje na nani alimuua na kwanini walimuua? Faiza hapa ni JF, watu haturopoki ila tuko hapa kuelimisha watu.Kuwa au kutokuwa na akili ni subjective. Achana na mimi, nikiwa nazo, nisiwe nazo, wewe zinakusaidia nini?
Ni vyema kuwa umekubali hayo maneno ya Biblia ni ya kutungwa na watu.
Sasa leta ushahidi kwatuhuma nzito ulizorusha kwa Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam. uliyoyaandika wewe, umejitungia mwenyewe, japo umechukuwa muda kidogo wa kumsoma histria yake huyo uliyemrushia tuhuma nzito namna hiyo?
Unaona, wewe mwenyewe umekuja kujichanganya hapa baada ya kurudi hijja....ni wapi nimesema haya unayonituhumu? Huku si ni kuchanganikiwa baada ya kurudi hijja? Ndiyo haya tunayo ongelea.Nani alikudanganya kuwa Hijja ni Hospitali ya wehu?
Wewe endelea tu kutukana, nafahamu ndivyo kanisa lako mnavyofundishana, kuna nini huko zaidi ya kubaka watoto mpaka Umoja wa Mataifa umelalamika. Sikushangai.Dogo FaizaFoxy sijamtuhumu Mohammed ila nimeongea ukweli kuwa alikuwa mbakaji na hata wewe unalijuwa hili ila hutaki tu kusema. Unataka kuniambia ulikuwa hujuwi kuwa Mohammed alikuwa anaua watu na kubaka wake zao? Hivi unajuwa Mohammed alikufaje na nani alimuua na kwanini walimuua? Faiza hapa ni JF, watu haturopoki ila tuko hapa kuelimisha watu.
Kajisome nilichokujibu. Unaonesha unahororoja tu bila mpango. Usipoteze muda wangu kwa kunitag bila kuwa na cha maana.Unaona, wewe mwenyewe umekuja kujichanganya hapa baada ya kurudi hijja....ni wapi nimesema haya unayonituhumu? Huku si ni kuchanganikiwa baada ya kurudi hijja? Ndiyo haya tunayo ongelea.
Ni yale yale tu, kufuga majini na kutesa wenzaoHabari Waheshimiwa wa JF.
Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa.
Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa kadiri ya mahitaji yao, kitu ambacho hakuwahi kukifanya hapo awali.
Baadaye kidogo akaanza kuagua watu kwa dawa za kisuna. Mwishowe yote yamemshinda, na anaendelea na harakati za kufanya kazi alizokuwa ameziacha baada ya kutoka Kuhiji.
Mtu wa pili ni jirani yangu hapa Arusha, alifanikiwa kwenda kuhiji Makka kwa msaada wa kiongozi mmoja aliyemuahidi kwamba akipita Ubunge atamsapoti kwenda Kuhiji. Hatimaye mambo yalikuwa mazuri na alikwenda kuhiji.
Huyu naye akafanya kama yule rafiki yangu niliyetangulia kumzungumzia, Ni kama miaka 3/4 hivi iliyopita, alikuwa mganga wa kienyeji kabisa. Ila sasa yamemshinda, amerudi kwenye udalali wa viwanja huko Murieti, Njiro B & Kwenye hekaheka za CHAMA.
Je, kuna uhusiano gani kati ya Kwenda HIJJA na HARAHATI ZA UGANGA ama TIBA ZA KISUNA?
Nini kinatoa HAMASA YA KUTOA TIBA YA NAMANA HIYO?
Nakuelewa kabisaWote wezi tu. Unafikiri wajanja wajanja ni wale wanaoitwa "wachungaji" tu?
Wajinga ndio waliwao.
Hao wote na hayo yote uliyoyasema hayapo katika mafundisho ya Uislam.
Uislam umeamrisha watu wasome na ndiyo maana Uislam ukatoa mabingwa wa kila fani. Kwenye medicine tuna Ibn Sinna aka Avicenna. Kwenye sayansi zingine tunao kina Alkhwaarizim aka Algorithm. Tunao Al Jabr (Aljebra).
Sifahamu kwanini wazungu waliwabadili majina yao na kuyafanya yasieleweke kuwa ni ya Waislam?Jiulize wewe kwanini?
Hakuna uhusiano wowote mkuu, HIJJA ni ibada kama zilivyo ibada nyingine na huwa tunategemea mtu akirejea awe mwema zaid , lakin mtu anaenda na anarejea anatumbukia katika ushirikina basi huyo ibada yake haikumfaa chochote, na ni watu wa mlengo wa Bakwata ndio wenye shida hizoHabari Waheshimiwa wa JF.
Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa.
Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa kadiri ya mahitaji yao, kitu ambacho hakuwahi kukifanya hapo awali.
Baadaye kidogo akaanza kuagua watu kwa dawa za kisuna. Mwishowe yote yamemshinda, na anaendelea na harakati za kufanya kazi alizokuwa ameziacha baada ya kutoka Kuhiji.
Mtu wa pili ni jirani yangu hapa Arusha, alifanikiwa kwenda kuhiji Makka kwa msaada wa kiongozi mmoja aliyemuahidi kwamba akipita Ubunge atamsapoti kwenda Kuhiji. Hatimaye mambo yalikuwa mazuri na alikwenda kuhiji.
Huyu naye akafanya kama yule rafiki yangu niliyetangulia kumzungumzia, Ni kama miaka 3/4 hivi iliyopita, alikuwa mganga wa kienyeji kabisa. Ila sasa yamemshinda, amerudi kwenye udalali wa viwanja huko Murieti, Njiro B & Kwenye hekaheka za CHAMA.
Je, kuna uhusiano gani kati ya Kwenda HIJJA na HARAHATI ZA UGANGA ama TIBA ZA KISUNA?
Nini kinatoa HAMASA YA KUTOA TIBA YA NAMANA HIYO?
Hizo ni chuki tu binafasi, mnadanganyana na mnajijaza chuki kwa Uislam bila kifani.Ni yale yale tu, kufuga majini na kutesa wenzao
ahaahahahaaaaa,Hakuna uhusiano wowote mkuu, HIJJA ni ibada kama zilivyo ibada nyingine na huwa tunategemea mtu akirejea awe mwema zaid , lakin mtu anaenda na anarejea anatumbukia katika ushirikina basi huyo ibada yake haikumfaa chochote, na ni watu wa mlengo wa Bakwata ndio wenye shida hizo
Mkereketwa_Huyu:Dogo FaizaFoxy sijamtuhumu Mohammed ila nimeongea ukweli kuwa alikuwa mbakaji na hata wewe unalijuwa hili ila hutaki tu kusema. Unataka kuniambia ulikuwa hujuwi kuwa Mohammed alikuwa anaua watu na kubaka wake zao? Hivi unajuwa Mohammed alikufaje na nani alimuua na kwanini walimuua? Faiza hapa ni JF, watu haturopoki ila tuko hapa kuelimisha watu.