Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Una maana gan? Mbona wachaga mnajiona sana wakat hamna chochote, unaweza kukuta hata kwenu msomi labda n we tu, et ondoa nakushangaa sana be smart plzPascal naomb hapo kwa wasukume mjiondoe,
Hivi IQ ni kusoma au elimu ya darasani,tena ktk western education? We Nkololo sijui Nyangokolwa mbona unayachanganya haya mambo? Kwahiyo kabla ya mzungu, waafrika wote hawakuwa na hiyo kitu mukiitacho IQ kwakuwa hiyo elimu haikuwepo.Basi kuanzia leo jua kuwa wasukuma wana IQ KUBWA sana , walechelewa kusoma kwasababu ya ufugaji ila kwasasa n moja ya kabila linalokuja juu sana kielemu nchini, we nenda vyuon ukaone idadi ya wasukuma na wako vizr kimasoma balaa , by da way nowdays kuna wasukuma wengi tu wasomi nchini ukilinganisha na makabila mengne na kufikia mwaka 2025 utaniambia idadi yao, mfano wakazi wa mkoa wa simiyu wako vzr sana kielimu hata kiuchumi , wakazi wake wana kipato cha kati:
Paskali,Wanabodi,
Usingizi umekata kutokana na mawazo ya huku kukaza kwa vyuma!, mtu unalala hujui kesho siku itaanza vipi, ukiwa totally empty!. Hivyo faraja yangu pekee ni JF. Nimesoma uzi fulani, nikaanza kuwaza na kujiuliza maswali huku mengine nikijijibu mwenyewe.
Huu ni uzi wa swali kuhusu I.Q za baadhi ya wanasiasa wetu wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, wakiwemo mawaziri, wabunge na wakuu wa mikoa, na vigogo wengine wengi, hivyo nikajiuliza kwanza jee ni kweli hawa wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, jee ni kweli wana low I.Q, au ni mtu tuu ametoa mawazo tofauti, wewe huyapendi, ndio unamtukana ana low I.Q?.
Ndipo nikaanza kujiuliza, jee kuna uwezekano watu wenye I.Q ndogo ni kutokana na makabila yao, kiwango chao umasikini kwenye makuzi, au pia heights zao have something to do with low I.Q, yaani mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi?.
Naomba kukiri zaidi ya kukosa usingizi, nimekuwa inspired na motivated kupandisha bandiko hili kutokana na hoja za mwana jf huyu, jidu-la-mabambasi, katika bandiko lake hili
Juma Nkamia ana tatizo la msingi!
Mkuu Jidu, kwa vile mimi nimefanya kazi na Mhe. Juma Mkamia alipojoin RTD, hivyo naomba nisicomment kuhusu I.Q yake, ila generally kuna uhusiano mkubwa kati ya kiwango cha I.Q na object poverty. Maeneo yenye umasikini uliotopea, I.Q za wengi ziko low!.
Angalia level ya umasikini ukanda wa Pwani, including Zanzibar, mikoa ya Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara, au makabila yenye umasikini uliotopea kama Wagogo, Warangi, Wanyaturu, Wabarbaig, Wasandawe, Wataturu, Wahadzabe, Wazaramo, Wandengereko etc, linganisha na mikoa yanye neema, Kilimanjaro, Bukoba, Mbeya, Iringa, Mwanza, etc, angalia I.Q za Wachagga, Wahaya, Wanyakyusa etc, bila kusahau the royal tribe, Wasukuma, watu wanaokula vizuri, wanakuwa na I.Q kubwa. Makabila ya mlo mmoja, wanakuwa na low I.Q!.
Data zangu ni kwa mujibu wa random sampling ya matokeo ya mitihani ya kidato cha 4!. Hili hata Mwalimu Nyerere aliliona, hivyo hadi leo, japo Tanzania nzima wanafanya mtihani mmoja wa darasa la saba lakini cut off points za kufaulu ni tofauti mikoa na mikoa ili Watanzania wote wapate fursa za kuendelea kielimu. Tungetumia uniform cut off points, shule zote za sekondari zingejaa Wachagga, Wahaya na Wanyakysa na kuna makabila wasingegusa secondari!.
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwasomesha kwa nguvu watoto 4 wa kabila la Wahadzabe, wote walifeli darasa la saba, lakini akalazimisha waende sekondari kwa lazima. Wakasomea pale Pugu, na wote wanne walipata Divisheni Zero!.
Niliwahi kuuliza swali hili, sikupata jibu
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III , Wao ni Div IV na Div Zero Tuu?!.
Ila pia kuna uhusiano kati ya heigh ya mtu na akili zake, mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi!' Anza kuwa observe heights za waropokaji bungeni, utaniambia!'
Hili la watu wafupi, nililizungumza hapa, wanafanya vitu vya ajabu kutafuta recognition ili ku compensate inferiority complex yao inayosababishwa na height!.
Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?
Hili la poverty level na low I.Q lina athari kubwa kisiasa, angalia levels za umasikini kwenye maeneo watu waliochagua upinzani, ulinganishe na ngome za CCM, utakuta kwenye umasikini uliotopea ndizo ngome za CCM, na kule kwenye ehueni, ndio wamewachagua wapinzani, angalia Kilimanjaro, Bukoba, Arusha, Tanga, Iringa, Mbeya etc, mkoa kama Dodoma hauwezi kuchagua upinzani, they are just too poor to understand wanachagua nini!. Hata Singida, Lissu is an exceptional case. Hivyo hii situation ya I.Q level ina effects kwenye siasa zetu, hivyo kuendelea kushinda kwa CCM, has something to do with this na nilisema hapa
Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Hoja zote hizo zinauhusiano na I.Q, na kitu cha ajabu kabisa, kwa kadri vyuma vinavyobana, ndivyo CCM inavyoimarika, mtashuhudia 2020, karibu majimbo yote ya upinzani kama sio yote kabisa huku bara, yatairejesha CCM, upinzani utaanza tena 2025 baada ya rais Magufuli kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati, na kuumaliza umasikini.
NB. Kwenye every general rules, there is always exceptional to the case, hivyo hivyo kuna watu wa makabila masikini wenye high I.Q, na kuna watu wafupi wenye akili ndefu na kuna mijitu mibonge yenye akili fupi and vice versa!.
Paskali
Rejea
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
------------
Mdau field marshall1 amepanua wigo wa mjadala huu. Unaweza kusoma hoja zake na kushiriki mjadala >> Tatizo la ufukara kwa baadhi ya makabila ni mfumo wa maisha (Lifestyles)
Samahani mkuu, usinichukie kwa nitakachokuambia. Kwakuwa bado sijajua ni nini hasa maana ya hiyo IQ, ila kama ikimaanisha "akili by nature" wewe ni miongoni mwa wenye IQ ndogo kabisa, mada ni IQ wewe Unazungumzia tawala na watawala na namna walivyotawala.Pascal sijawahi kupata mwamko wa kuchangia threads zako kama baada ya kusoma hii thread. Kuna makosa machache lakini kwa ujumla umeitendea haki ingawa baadhi yetu watakasirika na kukutukana! Ujinga na umasikini zimekuwa nguzo na silaha za kuendelea kutawala nchi yetu.
Tumekuwa na matatizo ya kiongozi toka awamu ya pili ambayo zaidi imesababishwa na baadhi ya Watanzania wenzetu kujitanguliza wao na makundi yao badala ya nchi. Hatuna process inayo eleweka ya kuandaa viongozi. Kiongozi pekee aliye andaa viongozi alikuwa baba wa taifa lkn hata nao hhawakupata nafasi ngazi ya juu au walikuja kufanya tofauti na matumaini ya wananchi.
Makosa yame tofautiana toka awamu moja kwenda nyingine lakini nadhani ni udhaifu ktk awamu iliyopita,ugomvi wa watawala kuutaka urais kwa njia zote haramu na halisi na ubovu wa Tume ya Uchaguzi na sheria mbaya as uchaguzi sasa unatuonyesha kama nchi ambavyo tumekwama! Sasa tuna watawala waoga mno ambao hawajiamini kabisa na hii ndiyo imepelekea teuzi za ajabu na wateule wa ajabu ajabu!
Nitaendelea...
Kwahiyo IQ ina tegemeana na mirengo na itikadi za watu? Inategemeana na mambo ya wengine labda wasomi wayaonayo mema tu? Mimi kwangu, Sir Lucifer ni mkosaji wa kutokukusudia, akili na uelewa wake uliishia pale, ila kwako waweze waza kwamba alikuwa na Evil mind tangu kuumbwa kwake, na hapo lazima umkosoe muumbaji.Paskali,
Mungu akubariki sana bro. Unaitendea haki taalum na uzoefu wako. Naamini una tu inspire wengi. Am one of them. Wewe I.Q yako ipo vizuri sio kama hizo ulizoziulizia.
Sky Sijawahi kukufuatilia vizuri comments zako kumbe uko vizuri kichwani, IQ yako ipo juu sio kama ya juma nkamiaTukiongelea umasikini wa Kanda na mikoa mleta mada aliyooridhesha hapa tuanzie na historia ya Tanzania na influence ya wakoloni.
Mikoa ya Bukoba, Kilimanjaro, Tanga, Mbeya ni mikoa iliiyobahatika kupata shule za kwanza baada ya wazungu kuleta elimu. Hata Zanzibar.
Tofauti kubwa hapa ni kuwa Zanzibar na Tanga ilimezwa na utamaduni wa ki Arabu kabla ya uzungu.
Pamoja na kuwa shule zilikuwepo lakini wazazi wengi walipata wakati mgumu kuchagua kati ya elimu dunia na elimu akhera.
Kwa dhana ya dini Tanga wamegawanyika sana. Unakuta ukoo mmoja wale walioamua kwenda katika shule za wamissionary walibadili dini.
Utamaduni waawaarabu kwa wakati ule ulikuwa ni biashara na biashara zao nyingi ilikuwa utumwa na kilimo cha minazi. Minazi ikitunzwa vizuri hukaa kwa miaka 50-100. Hivyo ili fanya wazee wapumzike.
Hata hivyo ninaamini mikoa ya Pwani imetoa wazee wengi wakiokuwa na mchango mkubwa katika taifa.
nachapia tu😛Sky Sijawahi kukufuatilia vizuri comments zako kumbe uko vizuri kichwani, IQ yako ipo juu sio kama ya juma nkamia
Kwenye kikundi cha watu au taasisiJambo lolote la hovyohovyo hutumiwa watu wenye akili nyepesi kufksha ujumbe,Mazingira,
Mfumo was Elimu (tamaduni) ni changamoto
Ila kuhusu Juma nkamia anafanya hayo kwa msukumo was aliyemtuma
Tayari ww umeonyesha ni low IQ!IQ inapimwa na nani? Inapimwa na kitu gani? Je, anyepima IQ yeye ana IQ kiasi gani na amepimwa na nani?
Mambo ya wazungu waachieni wao sisi tuendelee na mambo yetu.
Mipasho hii.. Very poor & low IQIQ inapimwa na nani? Inapimwa na kitu gani? Je, anyepima IQ yeye ana IQ kiasi gani na amepimwa na nani?
Mambo ya wazungu waachieni wao sisi tuendelee na mambo yetu.
Basi kuanzia leo jua kuwa wasukuma wana IQ KUBWA sana , walechelewa kusoma kwasababu ya ufugaji ila kwasasa n moja ya kabila linalokuja juu sana kielemu nchini, we nenda vyuon ukaone idadi ya wasukuma na wako vizr kimasoma balaa , by da way nowdays kuna wasukuma wengi tu wasomi nchini ukilinganisha na makabila mengne na kufikia mwaka 2025 utaniambia idadi yao, mfano wakazi wa mkoa wa simiyu wako vzr sana kielimu hata kiuchumi , wakazi wake wana kipato cha kati:
Mipasho hii.. Very poor & low IQ
Kwahiyo wewe umepima IQ yangu umeiona ni Low? How? Au ni mtazamo wako tu? Tusichoshane bana.Tayari ww umeonyesha ni low IQ!
Kipimo kipi kinatumika kupima IQ? Je, IQ ipo kwenye ubongo au kwenye DNA? Je, hicho kipimo kinapima Quantitative data au Qualitative data?Mipasho hii.. Very poor & low IQ
unampimaje mtu IQ mpaka unapata 73%?
pointsSio kweli kuwa IQ ya mtu inakuwa influenced na Kabila.
" Kabila " has nothing to do with IQ.
Kuna wengine kujua tu lugha ndio kunamfanya awe wa kabila alilo nalo baas.
Ila nutrition au Diet inaweza kuinfluence IQ ya mtu hasa mtoto.
Kwa ulaya, karne nyingi za zamani ndizo zilizotoa geniuses wengi maarufu duniani na waliofanya gunduzi mbalimbali. Kama akina Michael Faraday, Albert Einstein, Aristotle, Alexander Bell, Isac Newton, Macnon na wanafalsafa mbalimbali wakubwa.
Miaka hii ambayo kwa ulaya na Amerika chakula kimeboreshwa sana kiubora hatuoni watu wenye IQ kubwa kama zamani.
Wajapan wana IQ kubwa mno na wanasema sababu ni kuwa wanakula sana raw marine organisms
Mtu mwenye IQ kubwa anaweza kuwepo katika kabila lolote lile kiasili ila anaweza asije kujulikana kwasababu ya mazingira yanayomzunguka na jamii anayoishi nayo.
Suala la Wachaga, Wahaya na Wanyakyusa kuwa wengi katika nyanja za elimu linatokana na suala la kihistoria ambalo ni
Uanzishwaji wa makanisa,hospitali, shule, na taasisi nyingi za kielimu katika ardhi yao, uliofanywa na wakoloni
Na ndio maana kuna idadi kubwa sana ya Wakristo walio wasomi kuliko Waislam tangu enzi hizo kwasababu taasisi hizo za elimu, dini na afya zilianzishwa katika mikoa yao, mfano Kilimanjaro, Mbeya, Kagera na hata Arusha pia kuna taasisi nyingi za elimu za wakoloni.
Mikoa yenye waislam wengi (kasoro wagogo tu) ndiyo uliyoiorodhesha katika list ya wenye IQ ndogo kama Mtwara, Lindi, Kondoa(kwa warangi), Wanyaturu.
Pia ingekuwa ni suala la chakula pekee iongezayo IQ basi wasukuma, wahehe na watu wa morogoro wenye vyakula haswa nao wangekuwa wengi vyuoni ila sivyo ilivyo mpaka sasa.
This case is mainly based on historical matter.