wewe zwazwa hujui tohara ilianza miaka kabla ya kristu kuja duniani.
Umefanya utafiti gani ku-justify statement yako.?
Ni dhahiri kuwa ww ni mropokaji usiyejua kuweka L kwenye R.
Rugha=lugha
pumbafu
wewe zwazwa hujui tohara ilianza miaka kabla ya kristu kuja duniani.
Umefanya utafiti gani ku-justify statement yako.?
Ni dhahiri kuwa ww ni mropokaji usiyejua kuweka L kwenye R.
Rugha=lugha
pumbaf
sorry najitambua.nafanya majukum yangu. nibaba pia. kazini kwangu naingiza mshahara wa walimu wa wili kwa lisaa. Kwahiyo.mimi siyo zwazwa mkuu.
Na kuhusu tohara kuanza mda kabra ya kristo siwezi kuku bishia kwani skuwepo kipindi hicho huwa na hadithiwa kwamba kulikuwa na kristo hope uli hadithiwa pia.
kwahiyo ninaamini hadithi inaweza kuwa niya kweli au si kweli mkuu.
ila binafsi Katika tafta tafta yangu huku na kule nilikuja kugundua tohara ni agano la mungu wa Israel na abrahamu
Kwa tafsiri nyingine nikwamba agano lile halini husu Mimi mnyiha wa mbozi kwani Mimi si kizazi Cha abrahamu yule wa Israel.
mimi ni mnyiha wa mbozi Tanzania
Lakini kufuatana na utanda wazi imekuwa nilazima nikate kwa kuhofia kuchekwa na Wana funzi wenzangu kulee shuleni
Lakini baada ya kukuwa na kuwa mtu mzima nilijiuliza swali hili. je Babu yangu alikata?
jibu likaja hakukata na hata baba yake hakukata
Cha ajabu babu alizaa watoto 14 kwa mke wa Kwanza nawa toto 15 kwamke wa pili
nilipo jumlisha Nika gundua babu alizaa watoto 29 Tena woote wazima mpaka Leo na wao hawakufanyiwa tohara, kwa wakiume.
Tena wengi ni copy ya marehemu babu yangu! nikajiuliza je kuwa na mzura Kuna athali gani kwenye Maisha ya mtoto wa kiume ?
Nilipo jaribu kuulizia kwa watu tofauti tofauti nika ambiwa ni uchafu napia Ina punguza maambukizi ya virusi vya ukimwi!
Nikajiuliza je kabra ya yesu ukimwi ulikuwepo?
Nilishindwa kupata jibu
Nika jiuliza Tena je elimu hii tumepewa na Nani?
Nika gundua ni watu walio somea Mambo ya afya.
nikajiuliza Tena na Tena Hawa watu Wana tokea wapi?
Jibu likaja ni watu weupe wale walio tuletea dini,elimu,ustaarabu,"
Na ndiyo hao hao walio tuletea ebora, covid19,na HIV.au ukimwi ,.
na ndiyo hao hao wanao toa elimu ya umhimu wa tohara"
na pia ndiyo hahao walio tuletea condoms, arvs, na ndiyo hao hao wanao fadhiri tohara Tena bule"
Mkuu niliendelea kujiuliza zaidi mzungu huyuhuyu aliye tupa kete. tukampa dhahabu. ndiyo wakutusaidia tufanye tohara bule ili tusipate ukimwi,tuwe wasafi bule kabisaa?
Bila malipo yoyote Yani ukimwi usiwepo. ili asiuze ARVS,condoms, kweli?
Sikuku Bali kirahisi.nikajiuliza pia ukienda kung'oa jino unapewa jino lako mbona ukikata govi haupewi nyama yako?
Baada ya uchunguzi Nika gundua nyama za magovi zinatumika kutengenezea nyuzi
zinatumika
kushonea majeraha ya binadamu na vidonda vya operations za mwili"
nadhani una fahamu magonjwa ya operations yalivyo gharama mkuu.
Sikuishia hapo nilianza kichukunza mwenendo wa mwili wangu hatua kwa hatua
Nika gundua baada ya tohara Kwanza ulefu wa uume wangu ulipungua
Nikachunguza kuhusu maambukizi ya magonjwa ya zinaa yaani STDs Kama Gono, U.T.I, nk
Nika tambua ya kwamba
Mwenye Sweta Ana ambukizwa na asiye na Sweta Ana ambukizwa pia"
Nikaja kuchunguza kuhusu HIV je wenye magovi ndiyo wenye ukimwi?
nikagundua hapana hata wasiyo na magovi Wana ukimwi Tena niwengi kuliko wenye masweta"
Nikaamua kutembelea vijijini Kama Zambia vijijini mbozi vijijini rungwe vijijini mpaka kulee kwa Akina mwandosya
na Kama ulikuwa hujui hayo ndiyo makabila yenye masweta mengi zaidi au labda nikuambie nyanda za juu kusini vijijini
Nika gundua watu wa vijijini 1)wengi afya zao zipo imara
2)ndoa zao zipo sarama
3)kuchepuka kupo lakini si kwa kukosa kufikishwa
hapana ni kule kwa kubadilisha mboga tuu"
na pia ndiyo wanao ongoza kwa kufanya tendo la ndoa mara nyingi zaidi kuliko watu wa mjini/walionfanyiwa tohara
baada ya hapo ndipo nikajiuliza maswali HAYA
1)je tohara ni campaign ya kupunguza NGUVU za KIUME ili kuongeza umalaya kwa wanawake kusudi ukimwi uenee serikali zinunue RVs kutoka kwa Hawa whites Kisha wapae kiuchumi?
2)je tohara ni kwa ajiri ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa kwa lengo la kupunguza ongezeko la mimba jambo litakalo pelekea high population? wakati wao plan yao nikupunguza idadi ya watu duniani kwa mpango wa NWO?
3)JE TOHARA NI BIASHARA YA ngozi ya binadamu inayo tokana na ngozi ndogo ndogo nyingi kuunganishwa Kisha kutokeza ngozi kubwa ya binadamu?
Swali hili niliji uliza
baada ya
1:kuto kuwai kuona dampo la magovi kwenye hospitals kibao
2:kutoa pewa govi lako baada ya kukatwa"
3:huduma hiyo kutolewa bule kwa udhamini wa muzungu au mkloni wa Jana
baada ya kujiuliza maswali yote hayo mkuu ndipo nikaona niilete humu jf labda Nita ambulia chochote kutoka kwa wasomi wa humu ndani
Ndiyo Nika kutana na mwalimu wa kiswahili.anani fundisha tofauti ya R na L.,,"
anania adithia habari za Akina Jesus. lakini hajui chochote kuhusu Akina mwana malundi"
Ana jiita msomi inchi Haina maji na ina maziwa makuu matatu na Hana Cha kusaidia Yuko busy na R NA L
Anajiita msomi inchi Ina makaa ya mawe,gesi, lakini hana wazo la nini kifanyike kupitia HAYA madini tupate umeme na nishati nyingine pumbaafuu 😂😂😂
nimekurudishia mkuu NA KUANZIA LEO JINA LAKO NI tofauti ya R na L