Je, kuna uhusiano kati ya tohara na upungufu wa nguvu za kiume na hatari ya maambukizi ya VVU?

Hakuna kata kimoja ambacho kinasababishwa na hilo hapo, ni imani yako tu hata uspofanyiwa tohara ngoma utapata na vumbi utatumia , ishu za nguvu za kiume zina cause nyingi sana lakini sio sababu hiyo
 
[emoji23][emoji23]Aibu gani boss wangu Dada zako dar wanalia Hawa shibi au nawewe mwanaume wa dar???[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Ndugu kwani mjini ni dar pekee ake!!? Mbona kila mkoa una mjini!?? Hata huo mkoa unaoishi una mjini je wanawakw hawalalamiki?

Tohara ni nzuri inasaidia sna kujinga na magonjwa ya ngono hata ukimwi kwa sababu ya ugumu ya ile sehemu ya kichwa cha Abudalah panakuwa vigumu kupata majeraha au michubuko ambayo ndo chanzo cha kuambukizwa bakiteria waaababishao magongwa

Ila sishaur kumfanyia mtoto mdogo sana chini ya miaka 10 Tohara sio vizuri sana wengine hupata vibamia na upungufu wa kiume kwa sababu hii sio Doctor ila ni mtazamo wangu tu na imani yangu kama mnavojua unachokiamini huwa au hutokea hata ukihisi kuumwa hata kama huumwi baada ya mda tu utajisikia kuumwa kweli.
 
Hakuna kata kimoja ambacho kinasababishwa na hilo hapo, ni imani yako tu hata uspofanyiwa tohara ngoma utapata na vumbi utatumia , ishu za nguvu za kiume zina cause nyingi sana lakini sio sababu hiyo
Sawa mkuu tunaomba elimu pia juu ya hizo causes na jinsi ya kuzi tatua

kwani hili tatizo lime kuwa janga kwa sasa
 
Ahsante mkuu🙏🙏🙏
 
Sawa mkuu tunaomba elimu pia juu ya hizo causes na jinsi ya kuzi tatua

kwani hili tatizo lime kuwa janga kwa sasa
NI kweli hata mimi one time ilinikuta ila wakasema ni depression, kama wiki mbili hivi sikuweza kupiga show ila nilivyotuliza akili mambo yakarudi kama kawa mpaka leo
Kuhusu causes nyingine mpaka tutafute google maana sio mtaalam sana wa hayo
 
NI kweli hata mimi one time ilinikuta ila wakasema ni depression, kama wiki mbili hivi sikuweza kupiga show ila nilivyotuliza akili mambo yakarudi kama kawa mpaka leo
Kuhusu causes nyingine mpaka tutafute google maana sio mtaalam sana wa hha
Nimekuelewa una maanisha Hali hiyo Ina tokana na kuto kujiamini
 
Tohara haikuwepo nchini?? Katahiriwe kwanza halafu uendelee na utafiti.
 
Rishe = lishe, hasubuhi = asubuhi, ugari = ugali
 
Sasa kama kuandika tu kiswahili huwezi tutaaamini vipi huo utafiti wako? Na huo utafiti ulihusisha watu wangapi na kwa muda gani? Pia ilihusisha vijiji vingapi na miji mingapi?
Niutafiti binafsi na skuwa na uhakika nao ndiyo maana nikataka kujua kupitia forums nikiamini kumawatu watakuwa

Wana ujuzi au uzoefu na hili lakini nakuta mswahili anani kosoa kiswahili badala ya kuniambia juu ya like ninacho taka kujua

But Any way nashukuru thanx for you cooperation
 
Comparation = cooperation? Huu uzi wako ilitakiwa uwe na point za kisomi sio hizi porojo zako. Maswali marahisi kabisa nimekuuliza unajibu ni utafiti binafsi... ina maana utafiti binafsi haufuati kanuni za utafiti? Unafahamu jina KOTHARI?
 
SHUKRANI na naomba kujuzwa kuhusu KOTHARI tafadhari Kama itakupendeza
 
Comparation = cooperation? Huu uzi wako ilitakiwa uwe na point za kisomi sio hizi porojo zako. Maswali marahisi kabisa nimekuuliza unajibu ni utafiti binafsi... ina maana utafiti binafsi haufuati kanuni za utafiti? Unafahamu jina KOTHARI?
Unajua sisi wengine tulisha gundua kwamba elimu tunayo pewa ni kitu kilicho andikwa au kuandaliwa na watu
Kwa tafsiri nyingine nikwamba unalazimishwa kumeza kitu ambacho kimeandaliwa namtu mwingine

haijarishi nikweli au si kweli
Na nilazima ufanye hivyo kwasababu usipo fanya hivyo utaferi mtihani na mtiani ndiyo maisha yako

hivyo ndivyo mlivyo aminishwa nyie wasomi wa darasani

Lakini sisi huku tuna jua kwamba mwanadamu nidhaifu na anaweza kukosea Kwanini nimwamini hata kwenye swala la maisha yangu binafsi?

Ndipo tunapo kuja kugundua kwamba Kuna Uhuru wakufikilia

Kwamba Wewe huwezi kuniwekea mpaka Mimi wakufikili nje ya elimu yako

kwasababu Mimi Sina mtihani wa kuferi au kufauru

mfano msomi unaniambia condom inazuia maambukizi ya HIV kwa asilimia 60 labda

Mimi nitakuambia Wewe msomi kwamba condom sio Kinga Wala tohara sio Kinga ya HIV utani bishia?
Una weza kuwa msomi na ukakosa hekima bado ni kazi bure
Labda nikuulize unafahamu tofauti Kati ya hekima na elimu?
 
Haijarishi = haijalishi, kuferi = kufeli, kufauru = kufaulu, kufikilia = kufikiria.... kama hukwenda shule ni vema ukakaa kimya mbele ya wasomi. Comments zako naziona tu kama takataka. Kuandika kiswahili tu hujui sasa huo utafiti wako uliwezaje kufanya? Halafu achana na mambo ya hekima na busara kwenye mambo ya kitaaluma. Wewe hadhi yako ni ya kupiga stori vijiweni sio kuanzisha uzi humu.
 
Sawa naomba endelea kunifundisha na nipo tayali kujifunza🙏🙏

Napia sjaenda shule kwahiyo sio msomi na ndiyonmaana nimeanza kwa kuuliza kwamba je

tohara,inahusiana na na vvu? Kusudi wasomi kama wewe mni elimishe nielewe

sasa naomba tuachane na mambo ya sperings kwa sasa tuta fundishana baadae lengo langu lankwanza nataka kujua

1)Je kuna uhusiano kati ya tohara na upungufu wa nguvu za kiume na maambukizi ya ukimwi??

2)Lakini pia umeniuliza kuhusu kothari/KOTHARI nimekujibu sijui naomba unieleweshe hujani jibu sasa naludia tena kuku uliza nini maana ya KOTHARI?

3)nimekuuliza tena hivi mimi ambaye sjasoma je! nikikuambia kondomu sio kinga ya ukimwi utabisha?

3)tohara sio kinga ya ukimwi utabisha?

Naomba unijibu hayo tafadhali🙏🙏
 
Stori=story🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…