Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,711
Uhusiano upo mkubwa sana kati ya skill ya mama na mwanawe mana inakua genetically inherited be carefully consider many factors not only uzuri pia na upstairs yake
Hakuna....
Aiseee!!!!!
Wewe akili zako umerithi toka kwa nani?
Nime rithi kote kote kwa kweli
Uhusiano upo mkubwa sana kati ya skill ya mama na mwanawe mana inakua genetically inherited be carefully consider many factors not only uzuri pia na upstairs yake
Je ni haki kutumia matokeo ya darasani/shule kama njia pekee ya kujua intelijensia ya mtu?
Je ni haki kutumia matokeo ya darasani/shule kama njia pekee ya kujua intelijensia ya mtu?
darasani kama ziro lazima uwekewe mashaka
uwezekano upo watoto mara nying iq wanarithi kwa mama
Hapo inaweza kutumika kuelezea uelewa wa mtu sio cramping capacity mana hiyo inatosha kumuelewa huyu mtu ana uwezo gani kuelewa hata mambo madogo hata kujielezea kawaida kwenye normal issues za maisha utaelewa tu kama ka shindwa kwenye vitu vidogo usitarajie vikubwa ataviweza
Hiyo nini maana yake?
Dah typing error ilikua craming
Haina ubishi...kama darasani umeenda afu perfomance yako zero...ni ngumu kunishawishi eti una akili...
Hapa utetezi uwe kwa wale walionyimwa elimu kabisa tokana na ubaguzi kijinsia au umasikini...
ku kremu si kitu kibaya...kunaonyesha kuwa mtu ana good memory...
Mara nyingi watu huanza na ku kremu afu ndio wanakuja kwenye kuelewa...