Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?

Naona kuna uhusiano mkubwa sana wa akili pamoja na tabia za mama kwa mtoto na hasa ndugu wa mama, nikimaanisha wajomba. mienendo na akili za mama na za ndugu zake kwa kiasi kikubwa zitarithiwa na watoto na mifano iko mingi sana ukiingia mitaani.
 
Ngoja nikusaidie kidogo - ni 'cramming'.

Swali, hivi mtu mwenye uwezo wa ku cram vitu na akavikumbuka kwa usahihi wa hali ya juu, uwezo wake huo si ishara ya uwezo wa akili yake?

Ndio anakua na uwezo mzuri lakini anaweza vile vile mambo mengine yakampiga chenga vile vile
 
Pf Muhongo karithi ya nani??Maana huwa simuelewi mimi.
 
Kisayansi ndio...
Japo watu wanaweza kupinga...
Unajua kuna wanawake wana akili lakini hawakuwa na access na shule...
Hivyo usiseme mimi nina akili lakini mama yangu si msomi...

Nilisoma article nyingi tu zina prove kuwa akili ya mtoto inatoka kwa mama...

hilo nakua na mashaka nalo maana nina binam yangu alikua bure kabisa shuleni,alishindwa mara 2 kufaulu kidato cha pili,akahamishwa shule akajitahidi form 4 akapata sifuri,yani alikua na uwezo mdogo sana darasani na hata baba ake alikua analisema hilo.

Lakini amezaa watoto bright hatari,mmoja alikua kati ya watoto waliofanya vizuri darasa la 7 na kidato cha nne,na wengine wanafanya vizuri sana shuleni.

Sasa unawezaje kusema kuhusu huyo?
 
umeona eeeh mtu kama mambo ya darasani yanampiga chenga huwezi kusema ana iq nzuri
na hata hao wasioenda shule kuna mambo flani flani lazima wanakuwa na utambuzi wa hali ya juu kuthibitisha iq zao

Kuna watu hapa duniani ambao darasani hawakufanya vizuri na sasa wanakubalika kuwa ni baadhi ya majiniasi waliowahi kutokea hapa duniani.

Huwezi kuhoji uwezo wa kiakili wa Winston Churchill ambaye alifeli mara mbili entrance exam ya Royal Military College, huwezi kuhoji uwezo wa kiakili wa Benjamini Franklin, huwezi kuhoji uwezo wa kiakili wa Charles Darwin, hata Albert Einstein ambaye naye hakuwa mzuri darasani na ambaye alifeli entrance exam ya Polytechnic Institute ya Zurish hutathubutu kuhoji uwezo wa ubongo wake.
 
hilo nakua na mashaka nalo maana nina binam yangu alikua bure kabisa shuleni,alishindwa mara 2 kufaulu kidato cha pili,akahamishwa shule akajitahidi form 4 akapata sifuri,yani alikua na uwezo mdogo sana darasani na hata baba ake alikua analisema hilo.

Lakini amezaa watoto bright hatari,mmoja alikua kati ya watoto waliofanya vizuri darasa la 7 na kidato cha nne,na wengine wanafanya vizuri sana shuleni.

Sasa unawezaje kusema kuhusu huyo?

Kila theory in exceptional cases...

Ndio maana wanaanza na 'other things being equal...'

Sasa ukifanya maamuzi kutegemea exceptions unajua risk yake...
 
hilo nakua na mashaka nalo maana nina binam yangu alikua bure kabisa shuleni,alishindwa mara 2 kufaulu kidato cha pili,akahamishwa shule akajitahidi form 4 akapata sifuri,yani alikua na uwezo mdogo sana darasani na hata baba ake alikua analisema hilo.

Lakini amezaa watoto bright hatari,mmoja alikua kati ya watoto waliofanya vizuri darasa la 7 na kidato cha nne,na wengine wanafanya vizuri sana shuleni.

Sasa unawezaje kusema kuhusu huyo?

Ndo maana hapo juu nikasema mambo ya akili ya binadamu ni complex sana. Jirani yangu mmoja babake alikuwa profesa wa physics UDSM, mama yake naye profesa wa biology UDSM. Wazazi wote walihitimu na honors shahada zao za kwanza.

Lakini cha kushangaza watoto wao darasani hamna kitu kabisa. Na si darasani tu, hata common sense yao ni below average (kwa mtazamo wangu).
 
Hizo ni exceptions...na unajua plausible reason?
Watu wenye akili kupitiliza huwa hawako conventional...akiambiwa kulia yeye anasema kushoto...
Kwa hiyo wana mtazamo tofauti...na darasani ukiwa tofauti na anayetunga na kusahihisha lazima ufeli...

Ndio maana wanafunzi wengi wanamezea utofauti wao mpaka wamalize shule...

Hapo ndio kufeli kunaweza kukawa ni sababu ya akili zilizozodi badala ya ujinga...ila watu wa hivyo si wengi...

Kuna watu hapa duniani ambao darasani hawakufanya vizuri na sasa wanakubalika kuwa ni baadhi ya majiniasi waliowahi kutokea hapa duniani.

Huwezi kuhoji uwezo wa kiakili wa Winston Churchill ambaye alifeli mara mbili entrance exam ya Royal Military College, huwezi kuhoji uwezo wa kiakili wa Benjamini Franklin, huwezi kuhoji uwezo wa kiakili wa Charles Darwin, hata Albert Einstein ambaye naye hakuwa mzuri darasani na ambaye alifeli entrance exam ya Polytechnic Institute ya Zurish hutathubutu kuhoji uwezo wa ubongo wake.
 
Hizo ni exceptions...na unajua plausible reason?
Watu wenye akili kupitiliza huwa hawako conventional...akiambiwa kulia yeye anasema kushoto...
Kwa hiyo wana mtazamo tofauti...na darasani ukiwa tofauti na anayetunga na kusahihisha lazima ufeli...

Ndio maana wanafunzi wengi wanamezea utofauti wao mpaka wamalize shule...

Kama ni exceptions basi ziko nyingi sana kiasi cha kutokuwa exceptions tena.
 
Malezi...

Ndo maana hapo juu nikasema mambo ya akili ya binadamu ni complex sana. Jirani yangu mmoja babake alikuwa profesa wa physics UDSM, mama yake naye profesa wa biology UDSM. Wazazi wote walihitimu na honors shahada zao za kwanza.

Lakini cha kushangaza watoto wao darasani hamna kitu kabisa. Na si darasani tu, hata common sense yao ni below average (kwa mtazamo wangu).
 
Ndo maana hapo juu nikasema mambo ya akili ya binadamu ni complex sana. Jirani yangu mmoja babake alikuwa profesa wa physics UDSM, mama yake naye profesa wa biology UDSM. Wazazi wote walihitimu na honors shahada zao za kwanza.

Lakini cha kushangaza watoto wao darasani hamna kitu kabisa. Na si darasani tu, hata common sense yao ni below average (kwa mtazamo wangu).

Kweli haya mambo ni complex aisee.
 
It's more than just upbringing.

Intelligence is so much more than academic excellence.

And that, I think, is where most people get it all wrong!
If that is the case...and if I were to choose...mara elfu mwanagu awe na akili kuliko intelligence ya kupata zero darasani...
Maana sipati picha eti nijisifie mwanangu ana IQ kubwa ndio maana anapata zero...kwanza watu wataniona mwehu...
 
Intelligence ya kupata zero darasani ndo nini sasa?

Maana sipati picha eti nijisifie mwanangu ana IQ kubwa ndio maana anapata zero...kwanza watu wataniona mwehu...

Well, maisha ni yako, mwanao ni wako, na muhimu zaidi uchaguzi ni wako.
 
Back
Top Bottom