Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Akili za darasani au shule zinaweza zisiwe akili za maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, alifeli au hakufeli entrance exam ya Polytechnic Institute ya Zurish?
Mi sikubaliani na hayo kwani watoto wanarithi tabia kutoka kwa wazazi wote na tena nusu kwa nusu. Pia huwezi pima intelligence ya mtu kwa uwezo wa darasani tu. Intelligence ya mtu inatakiwa ipimwe katika vitu vyote vinavyo mfanya huyu mtu kuishi katika mazingira ya aina zote. Hebu mfano majibu ya profesa wenu muhongo pamoja na ukubwa wa CV yake unaweza sema ni intelligent? Mimi katika kumsikiliza kwangu naona anakosa skill flani ambayo haipatikani darasani. Je? Unasemaje kwa mtu kama Steve jobs ambae hats chuo hakuhitimu utasema alikua less intelligent? Kama Intelligence ingekua inherited kirahisi kama msemavyo basi leo tungekua tunawasikia watoto wa akina Eisten tu na watu wengine kama wao. Acheni kumdanganya mtoa mada. Intelligence ya mtu hutegemea mazingira uliyo Julia muhusika.
Ndiyo maana hatupati watu wa bunifu kwasababu ya mawazo kama haya. Yaani wewe unashindwa hata kutambua vipaji mbalimbali vya wanao na kuwaendeleza na kuwaguide ipasavyo unabaki kuwamezesha jambo moja tu darasani. Watu jiniasi duniani ni wale walii fika mahali wakatumia mazingira yao vizuri bila kuwaza grade zao darasani beside formal education is narrow na inaua vipaji vya watoto na uwezo wao wa kufikiri because always they think what they are going to attain in they final exams.
Kwa vigezo vyao alifeli lakini inaonekana walitaka aende shule ambayo inamfaa zaidi..
Kwa hiyo kuwa intelligent kwako lazima uwe good public speaker? maana naona unamponda Muhongo kwa kumsikiliza...basi sawa
Uhusiano unaweza kuwepo na usiwepo.
Na si kwa mama tu, hata baba, babu, bibi, mjomba, shangazi na wengineo.
Mtu unaweza kurithi akili za babu yako kutoka vizazi kadhaa vilivyopita na unaweza kurithi moja kwa moja toka kwa wazazi.
Ni mambo yasiyotabirika kirahisi ingawa uwezekano wa kurithi kutoka kwa wazazi ni mkubwa zaidi kuliko wazazi wa vizazi vilivyopita.
Njia moja wapo ya kukufahamu wewe ninani is through what you speak in public. Nimeandika mengi umeliona hilo tu?
Nilisoma article nyingi tu zina prove kuwa akili ya mtoto inatoka kwa mama...
Na pia kuna majarida kadhaa yenye kuhusianisha ukubwa wa nyonga za mwanamke na uwezo wa kiakili wa watoto wazaliwao...
Wenye nyonga kubwa hutoa watoto werevu zaidi ya wale wenye nyonga ndogo...
Are you referring to me or Muhongo...lol...(maana unaongelea speech na hujawai niona naongea)
You want me to feel shy/ashamed...?
Ungejua unae argue nae kadata ungejaribu kwingine...
Lakini inaonekana unavutiwa na mwandiko wangu...ndio maana umeamua kuni follow...lol
Mkubwa, kama ulikuwa kiazi shuleni si kosa lako ati:becky:
Mmmmnnnnhhh...article nyingi ngapi?
Basi sie black tungeongoza kwa akili duniani...
je ni haki kutumia matokeo ya darasani/shule kama njia pekee ya kujua intelijensia ya mtu?
Basi haya..tupinge urafiki tangia leo...Siyo wewe nilikua nasema kama itatokea ha ha ha haaa! Napenda ku argue na wadada waliodata kama wewe maana at the end I will learn something. Ila naamini una lugha nzuri tu that's all.
Nimeshawahi kuweka uzi hapa MMU...
But hey...nyonga ni nini?...isije kuwa sijaelewa chochote hapa...inaweza kuwa ni upana wa kiuno...lol