Nakubaliana na wewe kwa kiwango kikubwa.Uhusiano upo mkubwa sana kati ya skill ya mama na mwanawe mana inakua genetically inherited be carefully consider many factors not only uzuri pia na upstairs yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe kwa kiwango kikubwa.Uhusiano upo mkubwa sana kati ya skill ya mama na mwanawe mana inakua genetically inherited be carefully consider many factors not only uzuri pia na upstairs yake
Kuna uhusiano wa ki-urithi kati ya uwezo wa akili ya mtoto na uwezo wa akili ya mama.wataalam wanadai kuwa mtoto ana uwezekano mkubwa wa kurithi akili ya mama kwa 75% na baba humrithisha mtoto kwa 25% tu.kwa hiyo ukioa mke butu una hatari ya kuzalisha mabumunda.teh teh. Namaanisha watoto wenye uwezo mdogo ea i.q.
The moms didn't have to be geniuses
They had to be married (although there was an exception made for at least one single mother), but the mothers did not have to take an IQ test or go through any genetic screening.
mimi sina hakika sana na hizo tafiti zinazodai akili ya mtu 75% hurithi toka kwa mama. Nionavyo ni hakuna njia ya kujua kwa uhakika kama hivyo ndivyo ama sivyo.
Majuzi juzi tu hapa lisa ling wa cnn alikuja na documentary yake this is life with lisa ling na moja ya mada katika hizo docus ilikuwa "a sperm bank just for supersmart people".
Kwa kifupi ni kwamba, hiyo sperm bank ilikuwa inakusanya mbegu za wanaume ambao ni majiniasi na kuzihifadhi na kuziuza kwa wanawake wanaotaka kuzaa watoto wenye akili.
Cheki kipande cha makala ya cnn kilivyosema:
Binafsi naamini sayansi bado haiko settled kwenye hilo jambo la urithi wa akili. Kwa makala nzima ya cnn bofya hapa.
inawezekana maana nakuna kipimo kaalum cha kupima i.q ila wanajaribu tu kuhusianisha kati ya umri wa makuzi na umri wa akili mf. Mtoto mwenye umri wa makuzi miaka kumi na nne akichezea matope inasemekana umri wake wa akili huwianishwa na umri wa mtoto wa miaka 3 ambaye ndiye anastahili kuchezea matope.na hivyo i.q ya mtoto yule itawekwa kwenye kundi la iq za chini.(hapa hakuna kamashine ka kupimia teh teh.)
Huu uzi unaonekana watu wanakometi tu, kiushidani bila kufikiri kwa kina.,
mkuu utafiti hapa umekometi tu ili kutimiza wajibu(hapo hongera) lakn nakuona umekometi bila kufanya utafiti wowote hata kwenye ubongo au kulejea katika muonekano wa hali ya kawaida.
mkuu utatifi nakuomba fanya utafiti kwa watoto waliozaliwa na wakinamama wanaofanya kazi ya kufundisha shuleni. but remember usiache kuleta feedback
samani mkuu kama nimetumia lugha ya kuuzi.
Ina maana baba hana mchango wowote kwenye akili. Huwa wanasema mama anachangia nusu ya chromosomes na baba nusu kufanya 46 ambako humo kuna kila kitu.Kisayansi ndio...
Japo watu wanaweza kupinga...
Unajua kuna wanawake wana akili lakini hawakuwa na access na shule...
Hivyo usiseme mimi nina akili lakini mama yangu si msomi...
Nilisoma article nyingi tu zina prove kuwa akili ya mtoto inatoka kwa mama...
ndio hivyo tena...Ina maana baba hana mchango wowote kwenye akili. Huwa wanasema mama anachangia nusu ya chromosomes na baba nusu kufanya 46 ambako humo kuna kila kitu.
Ina maana baba hana mchango wowote kwenye akili. Huwa wanasema mama anachangia nusu ya chromosomes na baba nusu kufanya 46 ambako humo kuna kila kitu.
So children have 50% of each of their parents' DNA, but that doesn't translate into 50% of their traits. Which parent a child most resembles is basically down to chance, but their overall genetic make-up has an equivalent contribution from each parent. A child is no more likely to resemble their father than their mother.
Thank your parents if you're smart: Up to 40% of a child's intelligence is inherited, researchers claim
- New estimate is lower than those given by previous studies
- Researchers analysed DNA and IQ test results from 18,000 children
- They suggest a range of genes may affect intelligence cumulatively
Up to 40 per cent of a child's intelligence is passed down from the parents, according to a new study.
The finding from the largest ever genetic study of childhood intelligence adds yet more fuel to the debate over whether intelligence is a product of nature or nurture.
Using genetic data and IQ scores of thousands of children from four countries, researchers from the University of Queensland found attempted to separate out the environmental effects.
They found that between 20 and 40 per cent of the variation in childhood IQ is due to genetic factors, less than the 40 to 50 per cent suggested by previous research.
Basi haya..tupinge urafiki tangia leo...
Kama binti kilaza na wewe kilaza, definitely mtoto atakua kilaza! Ila ukiwa genius basi watoto watakuwa size ya kati na wachache vilaza na wengine magenius
We hujawahi shangaa watoto wa mama professor na baba professor wanakuwa magenius, ila ikitokea wamepata kilaza anakuwa kilaza kwelikweli
Je ni haki kutumia matokeo ya darasani/shule kama njia pekee ya kujua intelijensia ya mtu?