Kuna familia mtoto mmoja kipanga na wanaobaki wote ni vilaza kwelikweli. Naungana na Nyani Ngabu kwamba hii ni game of chances tu.
Inawezekana huyo mmoja "Baba yake" ni kipanga, kitanda hakizai haramu ati.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna familia mtoto mmoja kipanga na wanaobaki wote ni vilaza kwelikweli. Naungana na Nyani Ngabu kwamba hii ni game of chances tu.
Haina ubishi...kama darasani umeenda afu perfomance yako zero...ni ngumu kunishawishi eti una akili...
Hapa utetezi uwe kwa wale walionyimwa elimu kabisa tokana na ubaguzi kijinsia au umasikini...
Kumbuka kuwa mambo ya uwezo darasani yako affected na mambo makuu mawili:
1.Nature
2.Nurture.
Ukiwezza elewa mambo haya mawili kiundani , jibu utakuwa nalo juu ya mada tajwa.
Unajua nyumba kubwa ni kweli wanawake tumekua victim wa tabia mbaya za watoto. Yaani akiwa mjinga au haeleweki basi huyo wako .ndio hivyo tena...
Nimekumbuka tulikuwa na kaka mtukutu...
Baba alikuwa anasema tabia za wajomba zake hizi...
Sie tulokuwa na akili anasema tumerithi kwake...
Hao ndio wanaume...
Mazuri yakwao...mabaya ya wake zao...
Ila mimi kwa observation yangu watoto wa mke kilaza nao wanakuwa kilaza...
Kuna baba alikuwa jirani yetu...
Kichwa kweli...lakini watoto kichwani hamna kitu...nilikuwa nikimuangalia nakumbuka hii theory...
Huyu mbaba alioa jimama la magomeni...ukimwona mkewe utasema ngingi la wapi kumbe mke wa mtu...
Na alikuwa sugar mummy muonga pesa za mumewe...navyoandika alisha rest in peace...
Asante Nyani Ngabu umeanalyse vizuri na ile video uliyoweka nimeiangalia nako nimepata kitu kwa hiyo hii ya usema mama ndiye mwenye chance kubwa ya kumrithisha mtoto genes za maakili ina walakini. Nitazidi kujisomea majarida mbali mbali ili kupata elimu zaidi.
Mmmmh mkuu homework anasimamia housegirl hujui hili. Mama anaangalia homework saa ngapi ikiwa anarudi watoto wameshalala . Halafu kuna wamama hawakwenda shule kwa sababu zisizoweza kuzuilika je hao tuwaite vilaza. Kama ujuavyo siku hizi watoto wanasoma kwa lugha ya kigeni kuanzia primary huyu mama atajua nini humo hata akitaka kusaidia.Na yote yanategemeana hata kama si jibu sahihi...mama kilaza hawezi kum nurture mtoto...nani ata supervise homework?
Ina walakini sana.
Nikiweza kuipata documentary ya CNN kuhusu hiyo genius sperm bank nitaiweka humu.
Watoto waliozaliwa kutoka kwenye hiyo sperm bank wote IQ zao zilikuwa juu. Mama zao wala hawakuwa magenius. Baba zao (hao sperm donors) ndo walikuwa ma genius (walikuwepo NASA scientists, wanafunzi waliohitimu Summa Cum Laude, madaktari, n.k.).
Ndo maana naamini kwamba kama mtu unataka upate chance kubwa ya kuzaa watoto walio vizuri kiakili basi hakikisha walau unazaa na mtu ambaye naye anazo za kumtosha.
Ndio nimeiangalia hiyo documentary na nimewaona na watoto waliotokana na hiyo sperm bank ila mwisho wa yule mtaalamu uliniumiza kifo chake kilinihuzunisha sana. Hiyo intelligence waliyokua wanaitafuta haikutokea kwa hiki kizazi cha kwanza pengine tusubiri watoto wao au wajukuu zao huenda ikajitokeza.Ina walakini sana.
Nikiweza kuipata documentary ya CNN kuhusu hiyo genius sperm bank nitaiweka humu.
Watoto waliozaliwa kutoka kwenye hiyo sperm bank wote IQ zao zilikuwa juu. Mama zao wala hawakuwa magenius. Baba zao (hao sperm donors) ndo walikuwa ma genius (walikuwepo NASA scientists, wanafunzi waliohitimu Summa Cum Laude, madaktari, n.k.).
Ndo maana naamini kwamba kama mtu unataka upate chance kubwa ya kuzaa watoto walio vizuri kiakili basi hakikisha walau unazaa na mtu ambaye naye anazo za kumtosha.
Huo mstari wa mwisho kaka mkubwa ndio hirizi imo humo!!!
Mtu akifuata pedo sijui height na vinginevyo ajiandae tu kwa u miss au wana mitindo!!!
Hahahaha umeua duh lkn mamiss nao wasomi jamaniHuo mstari wa mwisho kaka mkubwa ndio hirizi imo humo!!!
Mtu akifuata pedo sijui height na vinginevyo ajiandae tu kwa u miss au wana mitindo!!!
Na ni common sense tu.
Baba mrefu na mama mrefu more than likely watazaa mtoto aliye mrefu.
Same goes for intelligence if one is to increase his/ her chances of having smart children.
Hahahaha umeua duh lkn mamiss nao wasomi jamani
Kwa mtu smart inapasa aangalie mambo mengi kabla ya kuoa/kuolewa ili kuepuka ukilaza sasa sijui kama hili ni practical
Kweli crazy love ni kaaazi lkn nafikiri badala ya kulaumiana ni vizuri kuangalia mzizi wa tatizo je wao waliwaandaa watoto kua smart . Unajua mambo mengine ni uvivu wa kufikiri tu ndio maana inapaswa wazazi kuwa karibu na watoto na si house girl. Kuna vitabu vya kumsomea mtot ktk umri tofauti tofauti sasa wenzetu walioendelea kwa kiasi flani wanajitahidi ktk hili. Ninaamin wazazi wakitoa muda wao kwa ajili ya watoto toka wakiwa wadogo unaweza ukapata product nzuri kama si excellent.Practically ni wachache wanafuata hili...watu wanaoa tu, wanaolewa tuuu
Ila baada ya crazy love kuzoeleka, na kuwa na watoto, wakiwa na akili utajisifia ...wamenirithi au akili za baba yao hizi...
Same wakiwa vilaza ndio utakapoanza kumwangalia mwenza wako kwa jicho la tatu na kujutia maamuzi yako ya kumuoa au kuolewa nae..
Kuna rafiki yangu mume wake ni rude...wana watoto wanne ...mmoja tu ndio ana akili wengine ni pasua kichwa...yani hadi wanatishiwa kufukuzwa na shule wanazosoma (kibongo bongo si mnajua)
Mume wake anadirika kumtukana kuwa watoto akili wamerithi kwake..akati rafiki yangu yes yuko slow lakini amesoma sababu labda ya mazingira alokulia (babake ni professor mamake hakusoma) na discipline...yuko cool sana...ila naweza sema si smart kihivyo
Mumewe ni kichwa...ndio maana anatafuta sababu why watoto wangu kichwani hakuna kitu...
Mpaka ndoa yao ina shake sababu ya ugomvi wa watoto...
Kweli crazy love ni kaaazi lkn nafikiri badala ya kulaumiana ni vizuri kuangalia mzizi wa tatizo je wao waliwaandaa watoto kua smart . Unajua mambo mengine ni uvivu wa kufikiri tu ndio maana inapaswa wazazi kuwa karibu na watoto na si house girl. Kuna vitabu vya kumsomea mtot ktk umri tofauti tofauti sasa wenzetu walioendelea kwa kiasi flani wanajitahidi ktk hili. Ninaamin wazazi wakitoa muda wao kwa ajili ya watoto toka wakiwa wadogo unaweza ukapata product nzuri kama si excellent.
Huyu anajitahidi sasa yapasa atumie uwezo mwingine zaidi ya huu . Mshauri awambee watoto wake na kuukemea ukilaza unajua wakristo wana njia nyingi za kubadilisha hali. Tena kuna amahala imeandikwa watoto wako watafundishwa na Bwana na tena hawatakua mikia bali kichwa. Na kwingine imeandikwa nimewapeni mamlaka ............We acha tu duniani kuna misalaba...rafiki yangu ana spend muda wake wote kushughulikia watoto wake...
Yani anatia huruma...wewe unasema wazazi hawasaidii homework? Si huyu dada...yani akati mwingine unaweza kumkuta analia ofisini kwake sababu ya watoto na na lawama za mumewe...wanasoma shule expensive na bado walimu wanakuja home kuwafundisha...bado wanakuwa wa mwisho darasani...
Blaming haisaidii...ila wanaume wana hii tabia sana...