Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?

Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?

That's the 64K dollar question.

There is no reliable metric.

Si ndo hapo. Pia argument ya intelligence ya mtoto inakuwa inherited kutoka kwa mama yake ina-suggest kuwa potential ya kuwa intelligence ni innate.

Kwamba wewe na mimi tumezaliwa na fixed inheritance inayo- determine maisha yetu ya baadae na kwamba there is nothing we can do about it.

If that was the case, then theories na practices za child development zingekuwa completely redundant.

Bse kama mtoto akizaliwa kwa mama kilaza, whatever that may mean, then automatically nae atakuwa kilaza as there is nothing we can do about.

Na ule usemi wa mtoto uleavyo ndivyo akuavyo ungekuwa irrelevant pia.
 
Ukiangalia sana hata mleta mada unaweza kuwa na IQ ndogo kuliko hata huyo Dada.

Kuna wazee hawajui lolote lakini wamezaa watoto vichwa na wengine ni marais.

Baba take Obama hakuwa na akili kama mwanaye.
 
Tuwekee hiyo sayansi hapa ili tuojionee jinsi wanawake wa Afrika walivyo vilaza.

Kila mtu anazaliwa na genes ambazo ni potential.

Ila mazingira yanaweza kuathiri kama unaweza kufikia level ya juu kabisa of your genetic potential.

Kwa mfano, kama umekuzwa kwenye jamii au familia ambayo ni very supportive kuna uwezekano ku-maximise your potential, though this may not always be the case.

Kama umezaliwa kwenye jamii au familia mbovu, where nobody care about you, then it is likely that genes zako zitakuwa stymied.
 
Ukiangalia sana hata mleta mada unaweza kuwa na IQ ndogo kuliko hata huyo Dada.

Kuna wazee hawajui lolote lakini wamezaa watoto vichwa na wengine ni marais.

Baba take Obama hakuwa na akili kama mwanaye.

Wewe, Barack Obama Sr. alikuwa na M.A. ya Economics kutoka Harvard.

Sasa utasemaje hakuwa na akili kama mwanaye? Obama mdogo ndo kama alifuata nyayo za mdingi kwa kusomea sheria hapo Harvard.

If anything mtu unaweza ku argue kwamba Obama mdogo karithi intelligence ya mdingi wake. Halafu Obama mdogo ana dada yake kwa upande wa baba ambaye ana PhD....so hapo unaweza kuona urithi wa intelligence ulipotoka.

Harvard unaijua unaisikia?
 
Habari.

Niwatakie mapumziko mema ya uhuru wa nchi yetu pendwa Tanganyika,

Turudi kwenye mada,nataka kujua kama kuna uhusiano wa akili (intelligence) mama na mtoto,yaani kama uwezo wa akili wa mama unaweza kua na madhara(effects/impacts) kwa mtoto atakae mzaa.

Kuna binti niko nae kama rafiki,uwezo wake wa darasani ulikua mdogo sana,akili ya darasani ni ndogo sana lakini ni mzuri sana kwa umbile na mwenendo/tabia..

Je anaweza akaja kuzaa watoto wenye akili ndogo darasani kama yeye au watakua tofauti?

Karibuni.

Kumbe wewe kichwa ndo mtu. Google genetics of human being....eg mapacha ni ukoo au genes???
 
hilo nakua na mashaka nalo maana nina binam yangu alikua bure kabisa shuleni,alishindwa mara 2 kufaulu kidato cha pili,akahamishwa shule akajitahidi form 4 akapata sifuri,yani alikua na uwezo mdogo sana darasani na hata baba ake alikua analisema hilo.

Lakini amezaa watoto bright hatari,mmoja alikua kati ya watoto waliofanya vizuri darasa la 7 na kidato cha nne,na wengine wanafanya vizuri sana shuleni.

Sasa unawezaje kusema kuhusu huyo?

Kabadalishiwa mtoto wodini, au watoto wamerithi kwa wajomba/baba
 
Wanaume wengi najua lazima watapingana na hili kwa nguvu zote...

Hasa kama watoto wao kichwani zimo...ni natural...wanataka wawe credited...
 
Wewe, Barack Obama Sr. alikuwa na M.A. ya Economics kutoka Harvard.

Sasa utasemaje hakuwa na akili kama mwanaye? Obama mdogo ndo kama alifuata nyayo za mdingi kwa kusomea sheria hapo Harvard.

If anything mtu unaweza ku argue kwamba Obama mdogo karithi intelligence ya mdingi wake. Halafu Obama mdogo ana dada yake kwa upande wa baba ambaye ana PhD....so hapo unaweza kuona urithi wa intelligence ulipotoka.

Harvard unaijua unaisikia?

Obama hakuwa na akili kihivyo alikwenda Harvard kwa quota system ya Wamarekani weusi lkn kama angechukuliwa kama kawaida hata asingepita!
 
Wanaume wengi najua lazima watapingana na hili kwa nguvu zote...

Hasa kama watoto wao kichwani zimo...ni natural...wanataka wawe credited...

Lakini watu hawapingi tu pasipo na hoja zenye mashiko.

Mimi hapo awali nimetoa mifano ya genius sperm bank ya California ambayo donors wake walikuwa ma genius wa kiume.

Wanawake waliokwenda kupandikiziwa hizo sperm hawakuwa ma genius.

Lakini watoto waliozaliwa walikuwa ma genius.

Wewe kwa akili yako hapo bado utadai hao watoto ni ma genius kwa sababu wamerithi toka kwa mama zao (ambao hawakuwa ma genius)?

Au wewe hilo unalielezeaje?

Au utanibishia kuwa hakukuwepo na genius sperm bank huko California na kwamba watoto waliozaliwa si ma genius?
 
Huyu wa sasa, yule wa kwanza namkubali kwa maana alitokea Afrika na huwezi kufika huko bila ya kuwa kichwa!

Oh well...akili nayo ni relative. Kwako anaweza asiwe na akili kihivyo lakini wengine wakamwona ana akili.
 
Kwa hiyo Obama mdogo hana akili kama za mdingi wake kwa sababu amerithi kutoka kwa mama?

Hayo mambo ya kurithi akili binafsi siyaamini hata kidogo, naamini kwamba kila mtu anazaliwa kivyake na upekee wake, kwa maana kama ingekuwa watoto wanarithi akili za Wazazi wao basi Mtoto wa Kasparov naye angekuwa Bingwa wa chess Duniani, au Mtoto wa Jimi Hendrix naye angekuwa kama baba yake!
 
Si ndo hapo. Pia argument ya intelligence ya mtoto inakuwa inherited kutoka kwa mama yake ina-suggest kuwa potential ya kuwa intelligence ni innate.

Kwamba wewe na mimi tumezaliwa na fixed inheritance inayo- determine maisha yetu ya baadae na kwamba there is nothing we can do about it.

If that was the case, then theories na practices za child development zingekuwa completely redundant.

Bse kama mtoto akizaliwa kwa mama kilaza, whatever that may mean, then automatically nae atakuwa kilaza as there is nothing we can do about.

Na ule usemi wa mtoto uleavyo ndivyo akuavyo ungekuwa irrelevant pia.

Halafu, kama ni kweli mtoto anarithi intelligence (kubwa) kutoka kwa mama, iweje sasa wanasayansi, wanamahesabu, na wavumbuzi wengi ni wa kiume?

Kwa sababu kusema kwamba mtoto anarithi intelligence kutoka kwa mama kuna imply kwamba wamama wengi ndo wana akili (whatever that means) kuliko wababa.

Lakini ukija kwenye fani ambazo zinatambulika kuhitaji akili nyingi zimetawaliwa na wanaume.

How can that be?

Na mtoto akiwa na intelligence ndogo je? Nayo karithi kutoka kwa mama?

I'm yet to be convinced!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
We hakikisha tu unazaa mtoto mwenye nywele maana waswahili tunasema akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Hili la wamama wana akili ni very possible...
Ila duniani kote wanawake wamekuwa wanakandamizwa...
Nimesoma vitabu vya historia...akati kina newton sijui nani wanaandika wanawake walikuwa wakiruhusiwa basi ni ...poems and the like...

Ndio maana Tz kuna shule za kike nowadays zinaongoza...lakini bado...wanawake wengi wamekuwa wakiaminishwa kuwa wao ni second to men...masomo ya science hayajakaa kike etc...

Yani hilo mimi naamini kabisa...wanawake wana akili kuliko wanaume ..ila wenye confidence ni wachache ndio maana hata akili zao wanashindwa kuzi apply...

Mimi mfano college nilikuwa naongoza lakini sijawai kuombwa hata na mate wangu rum nimfundishe...anaenda kwenye mabweni ya wanaume...nilikuwa nikimuangalia nacheka sana...hata sie kwa sie tunadharauliana...

Hapa naposoma office mate wangu ni mwanaume nae Mwafrika...
Wanafunzi wa master wanamsumbua sana awasaidie wakikwama...lakini mimi hawanifuati hata ambao ni wa Tz...sababu ni mwanamke...akati najua huyu mate wangu hana akili kivile...ingawa ana mapozi ya ki genius...

Ingawa wananipunguzia mashuzi...bcos hata mimi sina huo muda japo wangenifata nisingekataa...huwa nikiwaangalia najua why...I am a woman hence not bright...

Halafu, kama ni kweli mtoto anarithi intelligence (kubwa) kutoka kwa mama, iweje sasa wanasayansi, wanamahesabu, na wavumbuzi wengi ni wa kiume?

Kwa sababu kusema kwamba mtoto anarithi intelligence kutoka kwa mama kuna imply kwamba wamama wengi ndo wana akili (whatever that means) kuliko wababa.

Lakini ukija kwenye fani ambazo zinatambulika kuhitaji akili nyingi zimetawaliwa na wanaume.

How can that be?

Na mtoto akiwa na intelligence ndogo je? Nayo karithi kutoka kwa mama?

I'm yet to be convinced!
 
Yani hilo mimi naamini kabisa...wanawake wana akili kuliko wanaume

Kwa vile ni imani yako tu, sawa, wala sitakubishia sana kwa sababu imani ya mtu ni mambo ya kufikirika tu.

Ungekuja na empirical information hapo labda tungeweza kuzijadili na kuzichambua kwa umakini.
 
Back
Top Bottom