Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
cc MziziMkavu,
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ni haki kutumia matokeo ya darasani/shule kama njia pekee ya kujua intelijensia ya mtu?
Haiwezekani kuwa mama ana akili ndogo na mtoto atakaye zaliwana na huyu mama awe kuwa na akili ndogo Mkuu Kichwa Ndio Mtu Kwa mawazo yangu akili kila mtu anazaliwa nayo akili huwezi kurithi kwa baba wala kwa mama maradhi ndio unaweza kurithi au maumbile au uso laikini akili kila mtu anazaliwa nayo kwa fikra zangu.Habari.
Niwatakie mapumziko mema ya uhuru wa nchi yetu pendwa Tanganyika,
Turudi kwenye mada,nataka kujua kama kuna uhusiano wa akili (intelligence) mama na mtoto,yaani kama uwezo wa akili wa mama unaweza kua na madhara(effects/impacts) kwa mtoto atakae mzaa.
Kuna binti niko nae kama rafiki,uwezo wake wa darasani ulikua mdogo sana,akili ya darasani ni ndogo sana lakini ni mzuri sana kwa umbile na mwenendo/tabia..
Je anaweza akaja kuzaa watoto wenye akili ndogo darasani kama yeye au watakua tofauti?
Karibuni.
Bibie Mtende hujambo? nime kumiss siku nyingi ulikuwa upo wapi bibie?
Kwa mtu smart inapasa aangalie mambo mengi kabla ya kuoa/kuolewa ili kuepuka ukilaza sasa sijui kama hili ni practical
Kisayansi ndio...
Japo watu wanaweza kupinga...
Unajua kuna wanawake wana akili lakini hawakuwa na access na shule...
Hivyo usiseme mimi nina akili lakini mama yangu si msomi...
Nilisoma article nyingi tu zina prove kuwa akili ya mtoto inatoka kwa mama...
Habari.
Niwatakie mapumziko mema ya uhuru wa nchi yetu pendwa Tanganyika,
Turudi kwenye mada,nataka kujua kama kuna uhusiano wa akili (intelligence) mama na mtoto,yaani kama uwezo wa akili wa mama unaweza kua na madhara(effects/impacts) kwa mtoto atakae mzaa.
Kuna binti niko nae kama rafiki,uwezo wake wa darasani ulikua mdogo sana,akili ya darasani ni ndogo sana lakini ni mzuri sana kwa umbile na mwenendo/tabia..
Je anaweza akaja kuzaa watoto wenye akili ndogo darasani kama yeye au watakua tofauti?
Karibuni.
unataka kutumia matokeo gani?
unataka kutumia matokeo gani?
Hapo umejibu swali au umeuliza swali? Jibu swali.
Haina ubishi...kama darasani umeenda afu perfomance yako zero...ni ngumu kunishawishi eti una akili...
Hapa utetezi uwe kwa wale walionyimwa elimu kabisa tokana na ubaguzi kijinsia au umasikini...
umeona eeeh mtu kama mambo ya darasani yanampiga chenga huwezi kusema ana iq nzuri
na hata hao wasioenda shule kuna mambo flani flani lazima wanakuwa na utambuzi wa hali ya juu kuthibitisha iq zao
Haiwezekani kuwa mama ana akili ndogo na mtoto atakaye zaliwana na huyu mama awe kuwa na akili ndogo Mkuu Kichwa Ndio Mtu Kwa mawazo yangu akili kila mtu anazaliwa nayo akili huwezi kurithi kwa baba wala kwa mama maradhi ndio unaweza kurithi au maumbile au uso laikini akili kila mtu anazaliwa nayo kwa fikra zangu.
Bibie Mtende hujambo? nime kumiss siku nyingi ulikuwa upo wapi bibie?
Asilimia zaid ya 80 mtoto anarithi ujombani nadhani na mm yuko upande huo..hiyo proven kabisa
But the crucial question, is how do you measure intelligence anyway?
Proven na nani?