Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?

Hili la wamama wana akili ni very possible...
Ila duniani kote wanawake wamekuwa wanakandamizwa...

Hahahahaha. Watu intelligent wanakandamizwa na wasio intelligent?

Niammbie women are emotionally intelligent than men hapo sitakupinga.

Women are intelligent kwenye ku-multitask; hapo naweza kukubali pia.

Mfano, mwanamke anaweza kuongea safi huku akipiga mswaki; lakini kwa mwanaume ni ngumu.

Kama intelligence ya mtoto wa kiume is exclusively from his/her mum, kwa nini wasiweze kuwa na emotional intelligence, ku-multitask, nk?

Halafu bado narudi pale pale: unapimaje intelligence ya mtu? Kwa vigezo vipi?
 
Halafu, kama ni kweli mtoto anarithi intelligence (kubwa) kutoka kwa mama, iweje sasa wanasayansi, wanamahesabu, na wavumbuzi wengi ni wa kiume?

Kwa sababu kusema kwamba mtoto anarithi intelligence kutoka kwa mama kuna imply kwamba wamama wengi ndo wana akili (whatever that means) kuliko wababa.

Lakini ukija kwenye fani ambazo zinatambulika kuhitaji akili nyingi zimetawaliwa na wanaume.

How can that be?

Na mtoto akiwa na intelligence ndogo je? Nayo karithi kutoka kwa mama?

I'm yet to be convinced!

Kwenye huu mjadala umetawaliwa na feminism perspective.

Mfano, nyumba kubwa anadai kuwa "Wanaume wengi najua lazima watapingana na hili kwa nguvu zote...Hasa kama watoto wao kichwani zimo...ni natural...wanataka wawe credited..."

Hapa anajaribu kutumia "conflict approach to reinforce gender roles and inequalities, highlighting the role of patriarchy in maintaining the oppression of women. Source: Boundless. "The Feminist Perspective." Boundless Sociology. Boundless, 03 Jul. 2014. Retrieved 11 Dec. 2014.

Halafu Septemba mwaka huu, study moja imekuta "kuwa genetic variants associated with cognitive performance found no specific gene directly responsible for intelligence. Rather it's the sum of many indirect genes and of the environment" - Cornelius A. Rietveld, et al (September 8, 2014). "Common genetic variants associated with cognitive performance identified using the proxy-phenotype method". Proceedings of the National Academy of Science of the United States of America.

Ndiyo maana mie bado na-emphasise kuwa mazingira yanachangia sana kwenye intelligence ya mtu.
 
Na unakataa kuwa hakuna shule za kike Tz zinawaburuta wanaume...au umeamua kufanya selective reading?

Unakataa kuwa wanawake hawapendi masomo ya science ..na si kwamba eti wanaya feli
Kwa vile ni imani yako tu, sawa, wala sitakubishia sana kwa sababu imani ya mtu ni mambo ya kufikirika tu.

Ungekuja na empirical information hapo labda tungeweza kuzijadili na kuzichambua kwa umakini.
 
Na unakataa kuwa hakuna shule za kike Tz zinawaburuta wanaume...

Naona umeamua kuwa very subjective sasa.

Kama ni hivyo, basi nakumbuka enzi hizo Msalato walikuwa wanaongoza kwa A za history nchini, lakini tokea yule mwalimu (mwanaume) aondoke akahama na A zake.

Anyway, hata mwanamke mwanzako anadai kuwa "[her] success was not based so much on any great intelligence but on great common sense" - Helen Gurley Brown

Kuna dada mmoja ametuforwadia email jana kama nakumbuka Harvard wamefanya hiyo research, kuwa hata wanafunzi wana wa rate ma professor wa kike lowly simply because they are women...ngoja niicheki niwawekee link...
Yani wanaona raha kuona mwanaume yuko mbele anafundisha si mwanamke...

Kuna dada alikuwa anafanya consultancy ya NEPAD alikuwa organizer wa conference moja juzi kati huko Ethiopia...
Sasa ili ku keep time akawa anatumia cards zilizoandikwa muda...yani ile 5 minutes remained...
Anakwambia alishangaa baba mmoja wa Ethiopia aliyekuwa ana present ku feel offended ...alipouliza watu wakamwambia yeye ni mwanamke...huko kwao mwanamke hawezi fanya alichofanya...huwezi kumwambia mwanamme aache kuongea wakati wewe ni mwanamke...kazi kweli kweli...

Sasa mtu wa hivyo unaweza mwambia wanawake wana akili kama au kuliko wanaume akakubali???
Atakwambia wana akili za kupika...

Na hizi research mnazoweka hapa si final say..wanasayansi wanatofautiana...and sometimes they agree to disagree...

Kwenye huu mjadala umetawaliwa na feminism perspective.

Mfano, nyumba kubwa anadai kuwa "Wanaume wengi najua lazima watapingana na hili kwa nguvu zote...Hasa kama watoto wao kichwani zimo...ni natural...wanataka wawe credited..."

Hapa anajaribu kutumia "conflict approach to reinforce gender roles and inequalities, highlighting the role of patriarchy in maintaining the oppression of women. Source: Boundless. "The Feminist Perspective." Boundless Sociology. Boundless, 03 Jul. 2014. Retrieved 11 Dec. 2014.

Halafu Septemba mwaka huu, study moja imekuta "kuwa genetic variants associated with cognitive performance found no specific gene directly responsible for intelligence. Rather it's the sum of many indirect genes and of the environment" - Cornelius A. Rietveld, et al (September 8, 2014). "Common genetic variants associated with cognitive performance identified using the proxy-phenotype method". Proceedings of the National Academy of Science of the United States of America.

Ndiyo maana mie bado na-emphasise kuwa mazingira yanachangia sana kwenye intelligence ya mtu.
 
[h=1]Best Way for Professors to Get Good Student Evaluations? Be Male.[/h]
Many in academia have long known about how the practice of student evaluations of professors is inherently biased against female professors. Students, after all, are just as likely as the public in general to have the same ugly, if unconscious, biases about women in authority. Just as polling data continues to show that a majority of Americans think being a man automatically makes you better in the boss department, many professors worry that students just automatically rate male professors as smarter, more authoritative, and more awesome overall just because they are men. Now, a new study out North Carolina State University shows that there is good reason for that concern.

One of the problems with simply assuming that sexism drives the tendency of students to giving higher ratings to men than women is that students are evaluating professors as a whole, making it hard to separate the impact of gender from other factors, like teaching style and coursework. But North Carolina researcher Lillian MacNell, along with co-authors Dr. Adam Driscoll and Dr. Andrea Hunt, found a way to blind students to the actual gender of instructors by focusing on online course studies. The researchers took two online course instructors, one male and one female, and gave them two classes to teach. Each professor presented as his or her own gender to one class and the opposite to the other.

The results were astonishing. Students gave professors they thought were male much higher evaluations across the board than they did professors they thought were female, regardless of what gender the professors actually were. When they told students they were men, both the male and female professors got a bump in ratings. When they told the students they were women, they took a hit in ratings. Because everything else was the same about them, this difference has to be the result of gender bias.

"The difference in the promptness rating is a good example for discussion," MacNell explains in the press release for the study. "Classwork was graded and returned to students at the same time by both instructors. But the instructor students thought was male was given a 4.35 rating out of 5. The instructor students thought was female got a 3.55 rating." Considering that professors were rated on a five-point scale, losing an entire point on the "promptness" question just because students think you're female is a major hit.

This particular study is small, so we shouldn't get carried away about its results. But it certainly suggests an important avenue for future research. Students penalized the perceived female professor in all 12 categories, including in qualities that women are usually assumed to excel at, such as being caring and respectful. This comports with other studies that show that while female professors are judged somewhat less harshly if they conform more to female stereotypes, men still get bonus points for showing up male.

Amanda Marcotte is a Brooklyn-based writer and DoubleX contributor. She also writes regularly for the Daily Beast, AlterNet, and USA Today.

male_professor.jpg.CROP.promo-mediumlarge.jpg

SOurce: Gender bias in student evaluations: Professors of online courses who present as male get better marks.
 
Kuna dada alikuwa anafanya consultancy ya NEPAD alikuwa organizer wa conference moja juzi kati huko Ethiopia...
Sasa ili ku keep time akawa anatumia cards zilizoandikwa muda...yani ile 5 minutes remained...
Anakwambia alishangaa baba mmoja wa Ethiopia aliyekuwa ana present ku feel offended ...alipouliza watu wakamwambia yeye ni mwanamke...huko kwao mwanamke hawezi fanya alichofanya...huwezi kumwambia mwanamme aache kuongea wakati wewe ni mwanamke...kazi kweli kweli...

Sasa mtu wa hivyo unaweza mwambia wanawake wana akili kama au kuliko wanaume akakubali??? Atakwambia wana akili za kupika...

Ndo maana nikakuambia hapo juu kuwa success may not necessarily base on intelligence but on common sense.

Angetumia common sense kwa kuyasoma mazingira kwanza na siyo kungia na akili zake za kutumia cards zilizoandikwa muda.

Jamii zinatofautiana. Unaweza kufanya kitu hapa ukaonekana very intelligent lakini ukaenda kufanya kwa wengine na kuonekana kilaza.

Kabla ya kutumia intelligence yako soma kwanza mazingira ya jamii husika.

As Ernest Hemingway once said, "An intelligent man is sometimes forced to be drunk to spend time with his fools."

Same may apply to an intelligent woman.

Na hizi research mnazoweka hapa si final say..wanasayansi wanatofautiana...and sometimes they agree to disagree...

Neither you have a final say. In fact, tunacho-argue baadhi yetu hapa ni kwamba, it is not conclusively proved that intelligence ya mtoto inatoka kwa mama yake. Ndo maana tunanajaribu kuweka findings mbalimbali kujaribu kuonyesha kuwa the matter is not settled yet.

Mfano, Kuna study inasema kuwa "men and women who described themselves as smart, intelligent, logical and imaginative reported thinking about sex more often, fantasizing about sex, and having sex more often than people who did not see themselves as smart or intellectual. They also usually had a wider scope of sexual experiences, including experience with role-playing and other Kinky activities." Thompson, Mark (2010). "3". Who Should You Have Sex With. Sourcebooks Casablanca. p. 78.

Kama wewe unaji described as "smart, intelligent, logical and imaginative" woman would you agree with this? Kwa sababu kuna utafiti mwingine unadai kuwa "people with higher education levels generally have lower numbers of sexual partners" - Friedman, L.F. (2011). "Intelligent Intercourse". Psychology Today.
 
Ungekuwa wewe time keeper ungewaacha watumie muda wapendavyo...kisa mwanamke atakiwi kumwambia mwanaume stop? Na kumbuka NEPAD si ya wa Ethiopia peke yao...other men hawaku feel offended....

Wewe ungemshauri afanyeje?

And about sex...yes ...I enjoy sex very much! with my partner of course...ni kwa sababu ya sina aibu...na naweza ku initiate...Kuna mtu aliniuliza unaweza kuoga na mumeo...nilimshangaa sikummaliza...kumbe kuna wanandoa wanajificha...te te te...

Siwezi kuwasemea wengine ila hata comments za hapa JF zinaweza kukupa picha jinsi watu wanavyoishi maisha boring when it comes to husband and wife...akati mimi najisevia...

Mara ooohhh kifo cha mende tu kwa mchepuko staili zote....huwa hata sielewi wanaongea kiswahili au kichina

Hiyo kitu ni kweli na ndio maana wanasema kama una binti mwenye akili unatakiwa uwe nae karibu sana maana ni wadadisi mno.

Na kusema watu wenye higher level of education wana lower sex partners haina maana frequency ya sex pia ni low...kwani kuwa na partners wengi ni sifa au umalaya?

Kuwa na partners wengi ni kuwa na low self esteem...unadhani ukiwapanga ndio value yako nayo inapanda...(marketable)...mtu mwenye self esteem haitaji third party kumwambia kuwa mzuri akati kuna kioo...anajiamini....

Ndo maana nikakuambia hapo juu kuwa success may not necessarily base on intelligence but on common sense.

Angetumia common sense kwa kuyasoma mazingira kwanza na siyo kungia na akili zake za kutumia cards zilizoandikwa muda.

Jamii zinatofautiana. Unaweza kufanya kitu hapa ukaonekana very intelligent lakini ukaenda kufanya kwa wengine na kuonekana kilaza.

Kabla ya kutumia intelligence yako soma kwanza mazingira ya jamii husika.

As Ernest Hemingway once said, "An intelligent man is sometimes forced to be drunk to spend time with his fools."

Same may apply to an intelligent woman.

Neither you have a final say. In fact, tunacho-argue baadhi yetu hapa ni kwamba, it is not conclusively proved that intelligence ya mtoto inatoka kwa mama yake. Ndo maana tunanajaribu kuweka findings mbalimbali kujaribu kuonyesha kuwa the matter is not settled yet.

Mfano, Kuna study inasema kuwa "men and women who described themselves as smart, intelligent, logical and imaginative reported thinking about sex more often, fantasizing about sex, and having sex more often than people who did not see themselves as smart or intellectual. They also usually had a wider scope of sexual experiences, including experience with role-playing and other Kinky activities." Thompson, Mark (2010). "3". Who Should You Have Sex With. Sourcebooks Casablanca. p. 78.

Kama wewe unaji described as "smart, intelligent, logical and imaginative" woman would you agree with this? Kwa sababu kuna utafiti mwingine unadai kuwa "people with higher education levels generally have lower numbers of sexual partners" - Friedman, L.F. (2011). "Intelligent Intercourse". Psychology Today.
 
Just as polling data continues to show that a majority of Americans think being a man automatically makes you better in the boss department,

My experience is that wanawake wengi ndo hawapendi kuwa na boss mwanamke.

Many would prefer to have a male as their boss.

Tukibaki huko huko Marekani ulikotolea mfano wako "The survey, which collected responses from 1,032 adults living in the U.S., found women were more likely than men to want a male boss: 39 percent of women wanted to be led by a man, compared with 26 percent of men. Source: Women Dislike Having Female Bosses More Than Men Do - Businessweek

many professors worry that students just automatically rate male professors as smarter, more authoritative, and more awesome overall just because they are men.

Nimesoma article nzima lakini haisemi kama hao wanafunzi ni wa kiume au wa kike.

Who knows, may be female students also "rate male professors as smarter, more authoritative, and more awesome overall just because they are men"?
 
Na unakataa kuwa hakuna shule za kike Tz zinawaburuta wanaume...au umeamua kufanya selective reading?

Hahahaa wewe haki ya mungu tena sikubali kama ulikuwa mzuri darasani. I'm sorry to say that but you don't come across as that intelligent.

Hakuna popote pale nilipodokeza kuwa "hakuna shule za kike Tz zinawaburuta wanaume" (whatever the hell that means).

Sasa wewe hilo la mimi kukataa umelitoa wapi? Maana mimi nilichosema ni kwamba siwezi kukubishia imani yako. Na nikasema wazi kuwa ungeleta empirical information basi hapo tungeweza kujadili mambo kwa kina.

Hahahaaa you are too funny.

Anyhow, matokeo ya shule za wasichana za Tanzania si ushahidi wa kutosha, kuridhisha, kushawishi na kuhitimisha kwamba wanawake wana akili kuliko wanaume.

Sasa, kama hiyo ndiyo hoja yako basi mimi nakukatalia kata kata. And I hope you have the wherewithal to process nuance otherwise we won't get anywhere with this discussion.

Unakataa kuwa wanawake hawapendi masomo ya science ..na si kwamba eti wanaya feli

Nimekataa wapi kuwa "wanawake hawapendi masomo ya science"?

Unaweza kunionyesha nilipokataa? Maana nahisi hujaelewa kabisa nilichokiandika.
 
Na kama umenipata nilianza kwa kusema hata mimi mate wangu alikuwa tayari kuwa taken advantage of na wanaume kuliko kuni consult na anajua nilikuwa naongoza class...

Wanawake wanadharauliwa na both men and women...women ni kwa kuwa wameaminishwa mwanamke hawezi...sasa wewe ni nani mpaka ujifanye kama mwanaume?

Yani niliwahi fanya research mkoa wa Mara niliweza kufanya FGD na wanaume..kitu ambacho sikutarajia kama kingekuwa rahisi..wanawake walikataa kata kata kuwa recruited...na hata nilipowasoma usoni niliona dharau zao...

My experience is that wanawake wengi ndo hawapendi kuwa na boss mwanamke.

Many would prefer to have a male as their boss.

Tukibaki huko huko Marekani ulikotolea mfano wako "The survey, which collected responses from 1,032 adults living in the U.S., found women were more likely than men to want a male boss: 39 percent of women wanted to be led by a man, compared with 26 percent of men. Source: Women Dislike Having Female Bosses More Than Men Do - Businessweek

Nimesoma article nzima lakini haisemi kama hao wanafunzi ni wa kiume au wa kike.

Who knows, may be female students also "rate male professors as smarter, more authoritative, and more awesome overall just because they are men"?
 
Ungekuwa wewe time keeper ungewaacha watumie muda wapendavyo...kisa mwanamke atakiwi kumwambia mwanaume stop?

Hata kama huyo speaker angekuwa mwanamke siyo fresh kumwambia tuu "stop". B'se wengine wanaweza kutafisri kama ni harsh, controlling and sometimes you may end up annoying the speaker.

Na kumbuka NEPAD si ya wa Ethiopia peke yao...other men hawaku feel offended....

But the event was taking place in Ethiopia, ambapo culture yao ingeweza kuwa tofauti na culture ya hao wanaume wengine.

Wewe ungemshauri afanyeje?

Atumie common sense. People are different. Kutana nao kando, jitambulishe kwao wafafanulie format ya shughuli yenyewe na kila mmoja atapewa dakika ngapi, na utaonyesha sign gani kama muda umefika.

Hakikisha wote wanakubaliana na hiyo sign; kama wapo ambao hawakubaliani waulize wangependa utumie sign gani kama ishara ya muda wao kuisha.

Kutumia card may be annoying siyo tuu kwa mwanaume bali pia kwa mwanamke.

Pia zipo signs ambazo unaweza kuzitumia bila audience kutambua, provided that umeongea na speaker in advance.

"Intelligence is the ability to adapt to change" - Stephen Hawking

And about sex...yes ...I enjoy sex very much! with my partner of course...ni kwa sababu ya sina aibu...na naweza ku initiate...Kuna mtu aliniuliza unaweza kuoga na mumeo...nilimshangaa sikummaliza...kumbe kuna wanandoa wanajificha...te te te...

Ndo maana kuna ripoti inadai ubakaji kuongezeka ndani ya ndoa.

Hiyo kitu ni kweli na ndio maana wanasema kama una binti mwenye akili unatakiwa uwe nae karibu sana maana ni wadadisi mno...

Mtoto wa kike na wa kiume should be treated equally. Sioni sababu ya kuwa karibu zaidi na mtoto wa kike b'se ana akili na kumtupa wa kiume mwenye akili simply because ni wa kiume. They should all receive the same treatment, except treatments ambazo ziko dedicated kwa mtoto wa jinsia ya kike au ya kiume.

Otherwise, usije ukawa kama yule mama aliyetaka kumpeleka mtoto wa kike akafanyiwe maombi kwa kuwa too clever and inquisitive.
 
Kama hatukubaliana intelligence inapimwaje...hakuna mjadala hapa ni gumzo...
Kama akili hazipimwi kwa ufaulu....sidhani kama kuna haja ya kuendelea ku discsuu hii mada...
Kumbuka nilikuuliza mwanao anaweza akapa zero afu ukajisifia ana akili na watu wakakuona uko sawa?

Na kingine sina muda wa kujibu mtu mstari kwa mstari...sina huo muda...na naweza hata kuamua kutojibu kabisa...

Kama wewe unapoamua kuni quote one line ...same with me...

naagalia linalonihusu...mengine napotezea...na wakati mwingine wala sisomi line by line...sina huo muda...

Kuwa sina akili...wewe wasema...na wewe ukisema sipungukiwi wala kuongezewa chochote....

Hahahaa wewe haki ya mungu tena sikubali kama ulikuwa mzuri darasani. I'm sorry to say that but you don't come across as that intelligent.

Hakuna popote pale nilipodokeza kuwa "hakuna shule za kike Tz zinawaburuta wanaume" (whatever the hell that means).

Sasa wewe hilo la mimi kukataa umelitoa wapi? Maana mimi nilichosema ni kwamba siwezi kukubishia imani yako. Na nikasema wazi kuwa ungeleta empirical information basi hapo tungeweza kujadili mambo kwa kina.

Hahahaaa you are too funny.

Anyhow, matokeo ya shule za wasichana za Tanzania si ushahidi wa kutosha, kuridhisha, kushawishi na kuhitimisha kwamba wanawake wana akili kuliko wanaume.

Sasa, kama hiyo ndiyo hoja yako basi mimi nakukatalia kata kata. And I hope you have the wherewithal to process nuance otherwise we won't get anywhere with this discussion.

Nimekataa wapi kuwa "wanawake hawapendi masomo ya science"?

Unaweza kunionyesha nilipokataa? Maana nahisi hujaelewa kabisa nilichokiandika.
 
Hili swali wamuulize JK si alienda kupima akili yake halafu akatangaza.
 
And what made you assume that she did not introduce the rules before ....????
Sijawai ona eti mtu aanze tu kunyoosha kibendera...how would people know what it means when you just flag number 5...? Ni viburi tu vya wa Ethiopia...hicho kitu ni kidogo sana...hakuna ambaye angejua ina advance kwenye international conference mtu anakuwa offended na time keeper... in fact ni utaratibu mzuri kuliko kuambiwa stop bila kupewa tahadhari few minutes ili u wind up....

Hata kama huyo speaker angekuwa mwanamke siyo fresh kumwambia tuu "stop". B'se wengine wanaweza kutafisri kama ni harsh, controlling and sometimes you may end up annoying the speaker.

But the event was taking place in Ethiopia, ambapo culture yao ingeweza kuwa tofauti na culture ya hao wanaume wengine.

Atumie common sense. People are different. Kutana nao kando, jitambulishe kwao wafafanulie format ya shughuli yenyewe na kila mmoja atapewa dakika ngapi, na utaonyesha sign gani kama muda umefika.

Hakikisha wote wanakubaliana na hiyo sign; kama wapo ambao hawakubaliani waulize wangependa utumie sign gani kama ishara ya muda wao kuisha.

Kutumia card may be annoying siyo tuu kwa mwanaume bali pia kwa mwanamke.

Pia zipo signs ambazo unaweza kuzitumia bila audience kutambua, provided that umeongea na speaker in advance.

"Intelligence is the ability to adapt to change" - Stephen Hawking

Ndo maana kuna ripoti inadai ubakaji kuongezeka ndani ya ndoa.

Mtoto wa kike na wa kiume should be treated equally. Sioni sababu ya kuwa karibu zaidi na mtoto wa kike b'se ana akili na kumtupa wa kiume mwenye akili simply because ni wa kiume. They should all receive the same treatment, except treatments ambazo ziko dedicated kwa mtoto wa jinsia ya kike au ya kiume.

Otherwise, usije ukawa kama yule mama aliyetaka kumpeleka mtoto wa kike akafanyiwe maombi kwa kuwa too clever and inquisitive.
 
Kama hatukubaliana intelligence inapimwaje...hakuna mjadala hapa ni gumzo...

Okay.

Kama akili hazipimwi kwa ufaulu....sidhani kama kuna haja ya kuendelea ku discsuu hii mada...

Okay

Kumbuka nilikuuliza mwanao anaweza akapa zero afu ukajisifia ana akili na watu wakakuona uko sawa?

Uliniuliza wapi?

Na kingine sina muda wa kujibu mtu mstari kwa mstari...sina huo muda...na naweza hata kuamua kutojibu kabisa...

Unadai huna muda wa kujibu. Lakini una muda wa kuandika vitu irrelevant. Nimekuuliza maswali hapo juu na hujajibu. Umeshindwa!

Kama wewe unapoamua kuni quote one line ...same with me...

Huh?

naagalia linalonihusu...mengine napotezea...na wakati mwingine wala sisomi line by line...sina huo muda...

Lakini muda wa kuninukuu na kuandika vitu irrelevant unao! Unashangaza.

Kuwa sina akili...wewe wasema...na wewe ukisema sipungukiwi wala kuongezewa chochote....

That's axiomatic.

Back to my questions:

Nimekataa wapi kuwa "wanawake hawapendi masomo ya science"?

Unaweza kunionyesha nilipokataa? Maana nahisi hujaelewa kabisa nilichokiandika.
 
Na kama umenipata nilianza kwa kusema hata mimi mate wangu alikuwa tayari kuwa taken advantage of na wanaume kuliko kuni consult na anajua nilikuwa naongoza class...

Now, how that is supposed to be a man problem?

Wanawake wanadharauliwa na both men and women...women ni kwa kuwa wameaminishwa mwanamke hawezi...sasa wewe ni nani mpaka ujifanye kama mwanaume?

Narudia tena Women HATE each other (in the office at least...): Females co-operate better with male bosses, study finds | Daily Mail Online

They may lack the competitive streak of their male colleagues but women are loath to work together. A study found two women are less likely to co-operate than two men when one is more powerful than the other. Similarly, two females of different rank are less likely to work together than a man and a woman.

The finding contradicts the widely held belief that women's nurturing nature makes it natural for them to help each other out, while men are too competitive to have time for each other.

Researchers said that men may be wired to put their differences aside in order to form alliances. Women, however, are most comfortable with people who are on the same level as them.

Yani niliwahi fanya research mkoa wa Mara niliweza kufanya FGD na wanaume..kitu ambacho sikutarajia kama kingekuwa rahisi..wanawake walikataa kata kata kuwa recruited...na hata nilipowasoma usoni niliona dharau zao...

May be those women were more intelligent na kukataa kutumika for free. lol
 
Hapa uliandika nini?

Halafu, kama ni kweli mtoto anarithi intelligence (kubwa) kutoka kwa mama, iweje sasa wanasayansi, wanamahesabu, na wavumbuzi wengi ni wa kiume?

Kwa sababu kusema kwamba mtoto anarithi intelligence kutoka kwa mama kuna imply kwamba wamama wengi ndo wana akili (whatever that means) kuliko wababa.

Lakini ukija kwenye fani ambazo zinatambulika kuhitaji akili nyingi zimetawaliwa na wanaume.

How can that be?

Na mtoto akiwa na intelligence ndogo je? Nayo karithi kutoka kwa mama?

I'm yet to be convinced!
 
Men's problem kwa sababu thru vitabu vya dini na sheria nyingine mwanamke ameelezwa kuwa ni second...second...second...na mwanamke akaamini hivyo...waandishi wote hao mpaka wa katiba ni wanaume...

HAta mtoto ukimwambia mjinga lazima a behave like one...

Back
Top Bottom