kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Nime rithi kote kote kwa kweli
So una akili za kike na za kiume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nime rithi kote kote kwa kweli
Hili la wamama wana akili ni very possible...
Ila duniani kote wanawake wamekuwa wanakandamizwa...
Halafu, kama ni kweli mtoto anarithi intelligence (kubwa) kutoka kwa mama, iweje sasa wanasayansi, wanamahesabu, na wavumbuzi wengi ni wa kiume?
Kwa sababu kusema kwamba mtoto anarithi intelligence kutoka kwa mama kuna imply kwamba wamama wengi ndo wana akili (whatever that means) kuliko wababa.
Lakini ukija kwenye fani ambazo zinatambulika kuhitaji akili nyingi zimetawaliwa na wanaume.
How can that be?
Na mtoto akiwa na intelligence ndogo je? Nayo karithi kutoka kwa mama?
I'm yet to be convinced!
Kwa vile ni imani yako tu, sawa, wala sitakubishia sana kwa sababu imani ya mtu ni mambo ya kufikirika tu.
Ungekuja na empirical information hapo labda tungeweza kuzijadili na kuzichambua kwa umakini.
Na unakataa kuwa hakuna shule za kike Tz zinawaburuta wanaume...
Kwenye huu mjadala umetawaliwa na feminism perspective.
Mfano, nyumba kubwa anadai kuwa "Wanaume wengi najua lazima watapingana na hili kwa nguvu zote...Hasa kama watoto wao kichwani zimo...ni natural...wanataka wawe credited..."
Hapa anajaribu kutumia "conflict approach to reinforce gender roles and inequalities, highlighting the role of patriarchy in maintaining the oppression of women. Source: Boundless. "The Feminist Perspective." Boundless Sociology. Boundless, 03 Jul. 2014. Retrieved 11 Dec. 2014.
Halafu Septemba mwaka huu, study moja imekuta "kuwa genetic variants associated with cognitive performance found no specific gene directly responsible for intelligence. Rather it's the sum of many indirect genes and of the environment" - Cornelius A. Rietveld, et al (September 8, 2014). "Common genetic variants associated with cognitive performance identified using the proxy-phenotype method". Proceedings of the National Academy of Science of the United States of America.
Ndiyo maana mie bado na-emphasise kuwa mazingira yanachangia sana kwenye intelligence ya mtu.
Kuna dada alikuwa anafanya consultancy ya NEPAD alikuwa organizer wa conference moja juzi kati huko Ethiopia...
Sasa ili ku keep time akawa anatumia cards zilizoandikwa muda...yani ile 5 minutes remained...
Anakwambia alishangaa baba mmoja wa Ethiopia aliyekuwa ana present ku feel offended ...alipouliza watu wakamwambia yeye ni mwanamke...huko kwao mwanamke hawezi fanya alichofanya...huwezi kumwambia mwanamme aache kuongea wakati wewe ni mwanamke...kazi kweli kweli...
Sasa mtu wa hivyo unaweza mwambia wanawake wana akili kama au kuliko wanaume akakubali??? Atakwambia wana akili za kupika...
Na hizi research mnazoweka hapa si final say..wanasayansi wanatofautiana...and sometimes they agree to disagree...
Ndo maana nikakuambia hapo juu kuwa success may not necessarily base on intelligence but on common sense.
Angetumia common sense kwa kuyasoma mazingira kwanza na siyo kungia na akili zake za kutumia cards zilizoandikwa muda.
Jamii zinatofautiana. Unaweza kufanya kitu hapa ukaonekana very intelligent lakini ukaenda kufanya kwa wengine na kuonekana kilaza.
Kabla ya kutumia intelligence yako soma kwanza mazingira ya jamii husika.
As Ernest Hemingway once said, "An intelligent man is sometimes forced to be drunk to spend time with his fools."
Same may apply to an intelligent woman.
Neither you have a final say. In fact, tunacho-argue baadhi yetu hapa ni kwamba, it is not conclusively proved that intelligence ya mtoto inatoka kwa mama yake. Ndo maana tunanajaribu kuweka findings mbalimbali kujaribu kuonyesha kuwa the matter is not settled yet.
Mfano, Kuna study inasema kuwa "men and women who described themselves as smart, intelligent, logical and imaginative reported thinking about sex more often, fantasizing about sex, and having sex more often than people who did not see themselves as smart or intellectual. They also usually had a wider scope of sexual experiences, including experience with role-playing and other Kinky activities." Thompson, Mark (2010). "3". Who Should You Have Sex With. Sourcebooks Casablanca. p. 78.
Kama wewe unaji described as "smart, intelligent, logical and imaginative" woman would you agree with this? Kwa sababu kuna utafiti mwingine unadai kuwa "people with higher education levels generally have lower numbers of sexual partners" - Friedman, L.F. (2011). "Intelligent Intercourse". Psychology Today.
Just as polling data continues to show that a majority of Americans think being a man automatically makes you better in the boss department,
many professors worry that students just automatically rate male professors as smarter, more authoritative, and more awesome overall just because they are men.
Na unakataa kuwa hakuna shule za kike Tz zinawaburuta wanaume...au umeamua kufanya selective reading?
Unakataa kuwa wanawake hawapendi masomo ya science ..na si kwamba eti wanaya feli
My experience is that wanawake wengi ndo hawapendi kuwa na boss mwanamke.
Many would prefer to have a male as their boss.
Tukibaki huko huko Marekani ulikotolea mfano wako "The survey, which collected responses from 1,032 adults living in the U.S., found women were more likely than men to want a male boss: 39 percent of women wanted to be led by a man, compared with 26 percent of men. Source: Women Dislike Having Female Bosses More Than Men Do - Businessweek
Nimesoma article nzima lakini haisemi kama hao wanafunzi ni wa kiume au wa kike.
Who knows, may be female students also "rate male professors as smarter, more authoritative, and more awesome overall just because they are men"?
Ungekuwa wewe time keeper ungewaacha watumie muda wapendavyo...kisa mwanamke atakiwi kumwambia mwanaume stop?
Na kumbuka NEPAD si ya wa Ethiopia peke yao...other men hawaku feel offended....
Wewe ungemshauri afanyeje?
And about sex...yes ...I enjoy sex very much! with my partner of course...ni kwa sababu ya sina aibu...na naweza ku initiate...Kuna mtu aliniuliza unaweza kuoga na mumeo...nilimshangaa sikummaliza...kumbe kuna wanandoa wanajificha...te te te...
Hiyo kitu ni kweli na ndio maana wanasema kama una binti mwenye akili unatakiwa uwe nae karibu sana maana ni wadadisi mno...
Hahahaa wewe haki ya mungu tena sikubali kama ulikuwa mzuri darasani. I'm sorry to say that but you don't come across as that intelligent.
Hakuna popote pale nilipodokeza kuwa "hakuna shule za kike Tz zinawaburuta wanaume" (whatever the hell that means).
Sasa wewe hilo la mimi kukataa umelitoa wapi? Maana mimi nilichosema ni kwamba siwezi kukubishia imani yako. Na nikasema wazi kuwa ungeleta empirical information basi hapo tungeweza kujadili mambo kwa kina.
Hahahaaa you are too funny.
Anyhow, matokeo ya shule za wasichana za Tanzania si ushahidi wa kutosha, kuridhisha, kushawishi na kuhitimisha kwamba wanawake wana akili kuliko wanaume.
Sasa, kama hiyo ndiyo hoja yako basi mimi nakukatalia kata kata. And I hope you have the wherewithal to process nuance otherwise we won't get anywhere with this discussion.
Nimekataa wapi kuwa "wanawake hawapendi masomo ya science"?
Unaweza kunionyesha nilipokataa? Maana nahisi hujaelewa kabisa nilichokiandika.
Hata kama huyo speaker angekuwa mwanamke siyo fresh kumwambia tuu "stop". B'se wengine wanaweza kutafisri kama ni harsh, controlling and sometimes you may end up annoying the speaker.
But the event was taking place in Ethiopia, ambapo culture yao ingeweza kuwa tofauti na culture ya hao wanaume wengine.
Atumie common sense. People are different. Kutana nao kando, jitambulishe kwao wafafanulie format ya shughuli yenyewe na kila mmoja atapewa dakika ngapi, na utaonyesha sign gani kama muda umefika.
Hakikisha wote wanakubaliana na hiyo sign; kama wapo ambao hawakubaliani waulize wangependa utumie sign gani kama ishara ya muda wao kuisha.
Kutumia card may be annoying siyo tuu kwa mwanaume bali pia kwa mwanamke.
Pia zipo signs ambazo unaweza kuzitumia bila audience kutambua, provided that umeongea na speaker in advance.
"Intelligence is the ability to adapt to change" - Stephen Hawking
Ndo maana kuna ripoti inadai ubakaji kuongezeka ndani ya ndoa.
Mtoto wa kike na wa kiume should be treated equally. Sioni sababu ya kuwa karibu zaidi na mtoto wa kike b'se ana akili na kumtupa wa kiume mwenye akili simply because ni wa kiume. They should all receive the same treatment, except treatments ambazo ziko dedicated kwa mtoto wa jinsia ya kike au ya kiume.
Otherwise, usije ukawa kama yule mama aliyetaka kumpeleka mtoto wa kike akafanyiwe maombi kwa kuwa too clever and inquisitive.
Kama hatukubaliana intelligence inapimwaje...hakuna mjadala hapa ni gumzo...
Kama akili hazipimwi kwa ufaulu....sidhani kama kuna haja ya kuendelea ku discsuu hii mada...
Kumbuka nilikuuliza mwanao anaweza akapa zero afu ukajisifia ana akili na watu wakakuona uko sawa?
Na kingine sina muda wa kujibu mtu mstari kwa mstari...sina huo muda...na naweza hata kuamua kutojibu kabisa...
Kama wewe unapoamua kuni quote one line ...same with me...
naagalia linalonihusu...mengine napotezea...na wakati mwingine wala sisomi line by line...sina huo muda...
Kuwa sina akili...wewe wasema...na wewe ukisema sipungukiwi wala kuongezewa chochote....
Na kama umenipata nilianza kwa kusema hata mimi mate wangu alikuwa tayari kuwa taken advantage of na wanaume kuliko kuni consult na anajua nilikuwa naongoza class...
Wanawake wanadharauliwa na both men and women...women ni kwa kuwa wameaminishwa mwanamke hawezi...sasa wewe ni nani mpaka ujifanye kama mwanaume?
Yani niliwahi fanya research mkoa wa Mara niliweza kufanya FGD na wanaume..kitu ambacho sikutarajia kama kingekuwa rahisi..wanawake walikataa kata kata kuwa recruited...na hata nilipowasoma usoni niliona dharau zao...
Halafu, kama ni kweli mtoto anarithi intelligence (kubwa) kutoka kwa mama, iweje sasa wanasayansi, wanamahesabu, na wavumbuzi wengi ni wa kiume?
Kwa sababu kusema kwamba mtoto anarithi intelligence kutoka kwa mama kuna imply kwamba wamama wengi ndo wana akili (whatever that means) kuliko wababa.
Lakini ukija kwenye fani ambazo zinatambulika kuhitaji akili nyingi zimetawaliwa na wanaume.
How can that be?
Na mtoto akiwa na intelligence ndogo je? Nayo karithi kutoka kwa mama?
I'm yet to be convinced!
Now, how that is supposed to be a man problem?
Narudia tena Women HATE each other (in the office at least...): Females co-operate better with male bosses, study finds | Daily Mail Online
They may lack the competitive streak of their male colleagues but women are loath to work together. A study found two women are less likely to co-operate than two men when one is more powerful than the other. Similarly, two females of different rank are less likely to work together than a man and a woman.
The finding contradicts the widely held belief that women's nurturing nature makes it natural for them to help each other out, while men are too competitive to have time for each other.
Researchers said that men may be wired to put their differences aside in order to form alliances. Women, however, are most comfortable with people who are on the same level as them.
May be those women were more intelligent na kukataa kutumika for free. lol