Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cramping capacity!!!??? ha ha ha ha ha! sijui Diva Beyonce karithi kwa nani?
Nina mifano mingi ya uswahilini kwetu ambapo unaona kabisa bimkubwa kilaza lkn mtoto wake kila term anachukua nafasi ya kwanza Kwasababu ya bidii yake ya kujisomea ambayo inakuza upeo wake
Well, kwa nini huyo mtoto asiweze kurithi hizo akili toka kwa baba wakati baba naye anachangia asilimia 50 ya uwepo wa huyo mtoto?
Ndio Maana nikasema IQ inahusika kwa kiasi kikubwa na mazingira pia zaidi ya kurithi. Hata kama Mzazi au wazazi walikuwa wana akili kama mtoto hakulelewa kwenye mazingira ya kuboost IQ yake ni kazi bure
Mimi nimesoma na watoto wa profesa na dokta,baba profesa muhimbili na mama daktari lkn walikuwa viraza kwelikweli darasani
Mimi nadhani ni game of chances tu. Kwa sababu, kama nilivyotolea mfano hapo awali, nilikuwa na jirani ambao wazazi wote wawili ni maprofesa tena kwenye fani za sayansi lakini watoto wao hata common sense hawakuwa nazo achilia mbali akili za darasani.
Na nina dada-binamu ambaye mama yake hata kusoma vizuri hajui lakini sasa hivi huyo binti yupo chuoni akisomea shahada ya usanifu majengo. Mdingi wake naye si mwenye 'akili' nyingi kivile - ni mjeda tu wa V tatu.
Sasa hapo utaona kabisa kuwa huyo binti hakurithi toka kwa mama wala baba. Who knows karithi toka kwa nani.
Halafu, sidhani kama ni lazima sana kurithi akili toka kwa mtu. Nadhani hata wewe mwenyewe tu DNA yako inaweza ikawa configured kihivyo, kwamba ukawa na maakili mengi tu.
Pamoja na hayo, bado naamini katika uwezekano wa mtu kurithi akili kutoka kwa wazazi wote wawili kuwa ni mkubwa zaidi kuliko kurithi kutoka kwa babu au bibi au hiyo ya DNA yako mwenyewe.
Ukiangalia sana hata mleta mada unaweza kuwa na IQ ndogo kuliko hata huyo Dada.
Kuna wazee hawajui lolote lakini wamezaa watoto vichwa na wengine ni marais.
Baba take Obama hakuwa na akili kama mwanaye.
Habari.
Niwatakie mapumziko mema ya uhuru wa nchi yetu pendwa Tanganyika,
Turudi kwenye mada,nataka kujua kama kuna uhusiano wa akili (intelligence) mama na mtoto,yaani kama uwezo wa akili wa mama unaweza kua na madhara(effects/impacts) kwa mtoto atakae mzaa.
Kuna binti niko nae kama rafiki,uwezo wake wa darasani ulikua mdogo sana,akili ya darasani ni ndogo sana lakini ni mzuri sana kwa umbile na mwenendo/tabia..
Je anaweza akaja kuzaa watoto wenye akili ndogo darasani kama yeye au watakua tofauti?
Karibuni.
Ni swali zuri sana. Kwa kifupi tu jibu ni ndiyo, uhusiano upo. Inaombwa ieleweke kuwa kila mtoto anayezaliwa lazima arithi toka kwa wazazi wake ili kizazi kisipotee. Mtoto anaweza kurithi toka kwa wazazi wake moja kwa moja (baba na mama) au toka kwa ancestors (babu/bibi) wake au hata nyuma ya hawa. Kikubwa tunachopaswa kujua ni kwamba, uwezekano wa kurithi huwa mkubwa toka kwa wazazi wako kabisa, na kubwa zaidi, mama ndiye mwenye nafasi kubwa zaidi (80%) ya kumrithisha mwanaye kuliko baba, ambaye mara nyingi baba hurithisha kwa 20% kwa wastani.
Ndiyo maana kabla ya kuoa mchunguze sana mtarajiwa wako upande wa mamaake, yaani wajomba na mama zake wadogo/wakubwa. Hii itakupa picha fulani juu ya mkeo anaweza kukuzalia watoto wa namna gani.
Asante
mmmh!!
Habari.
Niwatakie mapumziko mema ya uhuru wa nchi yetu pendwa Tanganyika,
Turudi kwenye mada,nataka kujua kama kuna uhusiano wa akili (intelligence) mama na mtoto,yaani kama uwezo wa akili wa mama unaweza kua na madhara(effects/impacts) kwa mtoto atakae mzaa.
Kuna binti niko nae kama rafiki,uwezo wake wa darasani ulikua mdogo sana,akili ya darasani ni ndogo sana lakini ni mzuri sana kwa umbile na mwenendo/tabia..
Je anaweza akaja kuzaa watoto wenye akili ndogo darasani kama yeye au watakua tofauti?
Karibuni.
Mbona umeguna atoto
kwahiyo hizo iq za wajomba na mama zitakuwa zinapimwaje??? sie ambao shule haikupanda ndio hatuolewi????
Hahahaaaa, swali zuri sana atoto. Mjomba ni ndugu wa mama yako, hivyo wamerithi toka kwa mama yao mmoja. Hivyo kama wajomba wako vizuri kiakili, maana yake hata dada yao(mamaako) naye pia aghalabu atakuwa intelligent. Kuwa na IQ nzuri siyo lazima uende shule. Mtu mwenye IQ nzuri utamuona hata katika kutoa maamuzi, uwezo wa kujieleza n.k utamjua tu. Hii ni sayansi siyo maneno yangu jamani
khaaah!!! kwahiyo kabla ya kuoa unaanza research, ukiona hewa anatafuta mwingine!! au unaanza research ndio kupenda kunafuatia??? mbona kazi mnayo sasa!
Kwa hiyo kumbe akina sie ambao tulifeli shuleni si kosa letu.
Tumerithi ukiazi toka kwa mama.
duh, sasa ukifuata uzuri upstairs ni uji - ni hatari sana kwa watoto watarajiwa maana bila akili kuishi dunia ya sasa ni ngumu mno.uwezekano upo watoto mara nying iq wanarithi kwa mama
duh, sasa ukifuata uzuri upstairs ni uji - ni hatari sana kwa watoto watarajiwa maana bila akili kuishi dunia ya sasa ni ngumu mno.