Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Wazo lako sio zuri P sababu objective yake sio kusaidia Taifa Bali kuharibu
Umesikia wap watu wa kabila Fulani au dini Fulani wakigombea nafasi za General jeshini ??
Jeshi letu linafanya kazi kwa miiko na nidhamu
Madaraka ndani ya jeshi hayatolewi kama favour ni cv iliyo tukuka ndiyo inakubeba
Kama vilianza viashiria vya ukabila jeshini basi vikomeshwe Afande anabaki kuwa Afande regardless kabila au dini yake
Nchi Ina muhuli 6
Makabila yako 120
Inawezekanaje kila kabila kutoa general ..?
Kingine dig dip utakua Kwanini general wote ni aina fulan hii ni kwa sababu maalumu
 
Naunga mkono hoja, ila kwenye taasisi zinazogitaji ukakamavu fulani kama JWTZ, wapo Wazanzibari wa kutosha kutimiza hiyo akili?. Niliwahi kuuliza Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
P
 
Wazo lako sio zuri P sababu objective yake sio kusaidia Taifa Bali kuharibu
dig dip utakua Kwanini general wote ni aina fulan hii ni kwa sababu maalumu
Mkuu Ngungenge kwenye hili la ku dig deep, naomba unisaidie, maana mambo mengine ni issues za uwezo!, sina uwezo wa ku dig deep into this!.
P
 
Mfumo Kristo uliosisiwa na mkoloni na waliofata wakauendeleza kwa nguvu zote.

Kumbuka, Tanganyika ilikuwa ni koloni la Mjerumani.
Maadam nchi yetu ni circular state, haina dini, viongozi wetu wana dini, kama ni kweli mkoloni ndio alileta mfumo Kristo na viongozi wetu wakauendeleza, hii inamaanisha hata Mwinyi, JK na sasa Samia, wanaendeleza mfumo Kristo?.
P
 
Maadam nchi yetu ni circular state, haina dini, viongozi wetu wana dini, kama ni kweli mkoloni ndio alileta mfumo Kristo na viongozi wetu wakauendeleza, hii inamaanisha hata Mwinyi, JK na sasa Samia, wanaendeleza mfumo Kristo?.
P
Hizi mada zenu sijuagi lengo lake...mwisho wa siku ni kuleta ubaguzi usio na tija...

NB:maisha yetu ni mafupi sana hebu tujikite kuleta amani na upendo miongoni mwetu..Kuna watu kupitia mada zenu za kujenga chuki na taharuki ktk jamii,ndo mnawaandaa kuwa terrors...mbona Kuna mambo mengi TU mazuri yakuzungumzia kuliko hili ulilolileta mtoa mada Pascal Mayalla
 
Kazi ya media, ukinote jambo lolote ambalo haliko right, ni rukhsa kuhoji, usije kuta kuna kundi fulani la jamii yetu linafanyiwa a systematical marginalisation bila sisi kujijua tukidhani it's just a coincidence!. Dawa ya kulitibu tatizo hili sio kulinyamazia, bali kuliongelea kinagaubaga.
P
 
Uaminifu, uadilifu na uchapa kazi ni tabia binafsi ya mtu haina uhusiano na ukabila.
Take it from me, kuna makabila uaminifu wao kwenye fedha ni wa mashaka!. Kuna makabila wanawake wao, uaminifu wao kwenye ndoa ni wa mashaka!. Huwezi mlinganisha Mwanamke wa Kikwere na Mwanamke wa Kichagga!. Mwanamke wa kichagga unaweza kumuacha mgombani kumuona ni Krisimasi hadi Krisimasi, na ukamkuta salama!, Mwanamke wa Kikwere lazima aende ngomani!, huko ngomani sasa...!.

Hivyo makabila hayalingani!, Wasukuma ni waaminifu sana na wachapa kazi Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya... uhusiano wa kabila la mtu na uchapakazi, na sio uchapakazi tuu, hata ukakamavu, kuna makabila laini laini na makabila wagumu! Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
P
 
Nasisitiza tena uaminifu na uadilifu ni tabia binafsi ya mtu na sio ukabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…