Jeshi gani lililoiba kura! Uwe na heshima kwa jeshi letu.Ndiyo maana jeshi likawa linatumiwa na CCM kwenye chaguzi kuiba kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi gani lililoiba kura! Uwe na heshima kwa jeshi letu.Ndiyo maana jeshi likawa linatumiwa na CCM kwenye chaguzi kuiba kura
Sorry ni jeshi la Burundi lililokuwa limekodiwa na JPMJeshi gani lililoiba kura! Uwe na heshima kwa jeshi letu.
Jeshi gani lililoiba kura! Uwe na heshima kwa jeshi letu.
Wanabodi,
Kama jeshini tuna watu wa dini zote, na wote wana ukakamavu sawa, inamaana wanaopanda kufikia majenerali wangekuwa watu wa dini zote, lakini hali halisi ya wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?
Tanzania ni nchi moja ya Jamhuri ya Muungano yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani, sasa iweje Majenerali wote 8 ni watu wa kutoka upande mmoja tuu wa muungano, ina maana hakuna watu kutoka upande ule wa muungano wetu wenye sifa za kupanda hadi kuwa majenerali?. Yaani majenerali wote ni wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?. NB. Hapa nazungumzia Jeshi, JWTZ na sio Polisi, kule polisi kuna ubaguzi wa urefu, watu wa makabila ya wafupi walikuwa hawaajiriwi polisi zamani.
Na baada ya kumpata jenerali wa kabila langu, kiukweli kabisa hakuniangusha, amepiga mtulinga haswa na kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, je kuna ubaya wowote ikiamuliwa kuanzia sasa, tuwe tunawajaribisha watu wa dini zote kwenye ujenerali na watu wa makabila yote kwenye ujenerali, ili kuupima uchapaji kazi wao, tukiisha jiridhisha kuna makabila ni wachapa kazi, then tunaamua kuanzia sasa, majenerali wote wa jeshi letu ni lazima wawe kutoka makabila fulani tuu ya wachapa kazi, angalau hata wafikie wawili, watatu kama lile kabila jingine, ndipo tuanze affirmative action jeshini kwa kuwajengea uwezo kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyingine ambao hawajapata majenerali wa kutosha na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wananchi wote wa Tanzania, na wa dini zote na makabila yote kuweza kuwa majenerali?.
Nawatakia Jumapili njema ya matawi.
Paskali
Naunga mkono hoja, ila kwenye taasisi zinazogitaji ukakamavu fulani kama JWTZ, wapo Wazanzibari wa kutosha kutimiza hiyo akili?. Niliwahi kuuliza Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Hamza amesema Zanzibar inapata 21% ya Ajira kwenye Taasisi za Muungano
Hamza amesema Zanzibar wanadai haki zao kwa sababu Wao ndio wanaujua ukweli wa Muungano
Hamza amesema Wazanzibari wengi asili yao ni Tanganyika na waliletwa kutoka Uchagani, Kigoma nk kama watumwa ambapo wenye nguvu walipelekwa Ulaya na America na wale dhaifu wakauzwa hapa hapa Zanzibar
Source ITV Dakika 45
Mkuu Ngungenge kwenye hili la ku dig deep, naomba unisaidie, maana mambo mengine ni issues za uwezo!, sina uwezo wa ku dig deep into this!.Wazo lako sio zuri P sababu objective yake sio kusaidia Taifa Bali kuharibu
dig dip utakua Kwanini general wote ni aina fulan hii ni kwa sababu maalumu
Mfumo Kristo uliosisiwa na mkoloni na waliofata wakauendeleza kwa nguvu zote.Mkuu Ngungenge kwenye hili la ku dig deep, naomba unisaidie, maana mambo mengine ni issues za uwezo!, sina uwezo wa ku dig deep into this!.
P
Maadam nchi yetu ni circular state, haina dini, viongozi wetu wana dini, kama ni kweli mkoloni ndio alileta mfumo Kristo na viongozi wetu wakauendeleza, hii inamaanisha hata Mwinyi, JK na sasa Samia, wanaendeleza mfumo Kristo?.Mfumo Kristo uliosisiwa na mkoloni na waliofata wakauendeleza kwa nguvu zote.
Kumbuka, Tanganyika ilikuwa ni koloni la Mjerumani.
Hizi mada zenu sijuagi lengo lake...mwisho wa siku ni kuleta ubaguzi usio na tija...Maadam nchi yetu ni circular state, haina dini, viongozi wetu wana dini, kama ni kweli mkoloni ndio alileta mfumo Kristo na viongozi wetu wakauendeleza, hii inamaanisha hata Mwinyi, JK na sasa Samia, wanaendeleza mfumo Kristo?.
P
Kazi ya media, ukinote jambo lolote ambalo haliko right, ni rukhsa kuhoji, usije kuta kuna kundi fulani la jamii yetu linafanyiwa a systematical marginalisation bila sisi kujijua tukidhani it's just a coincidence!. Dawa ya kulitibu tatizo hili sio kulinyamazia, bali kuliongelea kinagaubaga.Hizi mada zenu sijuagi lengo lake...mwisho wa siku ni kuleta ubaguzi usio na tija...
NB:maisha yetu ni mafupi sana hebu tujikite kuleta amani na upendo miongoni mwetu..Kuna watu kupitia mada zenu za kujenga chuki na taharuki ktk jamii,ndo mnawaandaa kuwa terrors...mbona Kuna mambo mengi TU mazuri yakuzungumzia kuliko hili ulilolileta mtoa mada Pascal Mayalla
Take it from me, kuna makabila uaminifu wao kwenye fedha ni wa mashaka!. Kuna makabila wanawake wao, uaminifu wao kwenye ndoa ni wa mashaka!. Huwezi mlinganisha Mwanamke wa Kikwere na Mwanamke wa Kichagga!. Mwanamke wa kichagga unaweza kumuacha mgombani kumuona ni Krisimasi hadi Krisimasi, na ukamkuta salama!, Mwanamke wa Kikwere lazima aende ngomani!, huko ngomani sasa...!.Uaminifu, uadilifu na uchapa kazi ni tabia binafsi ya mtu haina uhusiano na ukabila.
Nasisitiza tena uaminifu na uadilifu ni tabia binafsi ya mtu na sio ukabila.Take it from me, kuna makabila uaminifu wao kwenye fedha ni wa mashaka!. Kuna makabila wanawake wao, uaminifu wao kwenye ndoa ni wa mashaka!. Huwezi mlinganisha Mwanamke wa Kikwere na Mwanamke wa Kichagga!. Mwanamke wa kichagga unaweza kumuacha mgombani kumuona ni Krisimasi hadi Krisimasi, na ukamkuta salama!, Mwanamke wa Kikwere lazima aende ngomani!, huko ngomani sasa...!.
Hivyo makabila hayalingani!, Wasukuma ni waaminifu sana na wachapa kazi Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya... uhusiano wa kabila la mtu na uchapakazi, na sio uchapakazi tuu, hata ukakamavu, kuna makabila laini laini na makabila wagumu! Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
P