tilmikha
JF-Expert Member
- Feb 27, 2013
- 496
- 604
Mtoa mada alilenga kuonesha udhaifu uliopo upande wa watu wa dini fulani kwa kutumia vyeo vya jeshi, hivo hata hilo suali lake hali justfy kile alichokifananisha. Mfano nilio utoa ni proof hakuna uhusiano kati ya uimara wa watu wa dini fulani kwa kutumia vyeo vya jwtz. Hebu tazama vita ya Afghanistan, Rudi kipindi kile Marekani Wali invade Somalia, Tazama Russia walipo invade Afghanistan nini kilichotokea. Kwa ufupi hoja yake ni dhaifu na haina mashiko
Hii haiwezi kutoa justification yoyote kwa sababu hata hilo jeshi la serikali linalotolewa jasho na Al shaabab ni wa dini ile ile kama ya hao Al shaabab