Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Duh umenipa kazi nimeanza research rasmi nikimaliza ntakuja na majibu na mifano...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama utakua makini utafahamu kua Mwenye Uzi hajataja dini wala kabila LA MTU we umejuaje kama anazungumzia hiv0
 
CinC ndo nini...."Commander in Cheat" kama huyu wa sasa ama? Halaf kabila lenu si tayari.mnaye huyu kilaza wa sasa? Au huyu ni Mhutu?
 
Acha udini wewe hata enzi za kiku boi mambo yalikuwa hivihivi...bakwata yenyewe inajipendekeza . Tatizo ni kutosoma na kutopenda kazi ngumu,wanaona bora kuwa dalali au kushinda kijiweni kuliko kupiga kazi. Kulima kwenyewe kwakivivu,kufuga hakuna alimradi hawataki jasho nduguzako.
 
FaizaFoxy aje atusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika responsiblity execution kuna kitu kinaitwa "Chain of Command" order should be flow from top to down kina ustadhi dini yao inahubiri equal treatment no one is superior than Allah rejea islamic states kumekuepo na makundi yanayokinzana sababu kila mtu kambale.
 
Kwahiyo kumeza mabomu ndio ukakamavu

God first
 
Unamkataza mwenzako udini kisha nawe unaleta udini!?
 
Inaonekana unajua mengi mkuu. Muislam haswa alieikiri dini yake basi kwake dini yake ni muhimu kuliko chochote. Kumbuka nimesema "muislam alieikiri dini yake" sio Alhadi Mussa mpiga dili
 

Kabila la wanajeshi....
Kuna kabila Tra.....
Siku hizi kuna kabila la Usalama....
 
Kwani kule kwa Jecha taasisi nyingi zilikuwa zinaongozwa na wakristo?

Sent using Nokia 6
 
Kwanza kihistoria watu wa ukanda ule ndio walikua wengi na waliendelea kubebana wao kwa wao linapotokea swala la nafasi za ajira na upandishwaji wa vyeo jeshini. Kwa upande wa dini,watu wa dini flani waliwekeza zaidi kwenye elim akhera ambayo sio kigezo KABISA katika kupandishwa ranks tofauti wa walioadopt elimu ya western ambacho ni kigezo muhimu kabisa cha kupanda cheo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

KWANZAJESHI LENYE NGUVU AFRICA NI MISRI . HALAFU JESHI LA ISLAMIC STATE LIMEWEZA KUPAMBANA SYRIA MPAKA WAKAINGIA IRAQ NAO NI JESHI LILOJIKUSANYA KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI LAKINI LILIKUWA STRONG. AFGHANISTAN JESHI LA TALABANI WALIPAMBANA NA WAVAMIZI WA RUSSIA MPAKA RUSSIA ILIKIMBIA .TALABANI WANA PAMBANA NA MAREKANI NA NATO TANGU 2011 MPAKA LEO NATO WANAOMBA KUJITOA WAMERIKANI WAPO HOI NENDA KAONYESHWE MAKABURI YA WAMERIKANI WALIOKUFA AFGHAN STAN NI SAWA NA ENEO LA KINONDONI YOTE MPAKA LEO TALABANI HAWATAKI SULUHU WANATAKA NA WANAENDELEA NA MAPAMBANO BADO SIJAKUELEZA UKAKAMAVU WA SOMALIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…