waha wana tatizo gani mkuuni sawa na waha uwapeleke jeshin. ndo mana jeshi cku hiz hayapo kama zaman
[emoji375][emoji375]
madhara ya kukariri haya.....Acha udini wewe hata enzi za kiku boi mambo yalikuwa hivihivi...bakwata yenyewe inajipendekeza . Tatizo ni kutosoma na kutopenda kazi ngumu,wanaona bora kuwa dalali au kushinda kijiweni kuliko kupiga kazi. Kulima kwenyewe kwakivivu,kufuga hakuna alimradi hawataki jasho nduguzako.
yeye amepiga chenga kutamka. Unajua maana ya JWTZ? Jeshi la Wakurya Tanzania....................kama utakua makini utafahamu kua Mwenye Uzi hajataja dini wala kabila LA MTU we umejuaje kama anazungumzia hiv0
Wanabodi,
Hii ni thread ya swali
Jee Kuna Uhusiano Wowote Kati ya Dini na Majeshi?. Jee Kuna Watu wa Dini Fulani ni Wazuri Zaidi Jeshini Kuliko Dini Nyingine?.
Kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote waliotangulia, inawezekana huu uchapa kazi wake unatokana na kutoka kabila la wachapakazi?.
Katika kuwadurufu Wakuu wa Majeshi waliotangulia, kuna kitu strange nimekinote.
Wakuu hawa ni Jenerali Mirisho Sarakikya, Jenerali Abdalah Twalipo, Jenerali David Musuguri, Jenerali Ernest Mwita Kiaro, Jenerali Robert Mboma, Jenerali George Waitara, Jenerali Davis Mwamunyange, wa sasa Jenerali Venance Mabeyo.
Wote wana majina ya kiashiria ni watu wa dini fulani, isipokuwa mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo. Tena huyu Twalipo, mimi nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambalo pia jina la kishiria cha dini fulani, usikute hilo jina la Abdalah ni jina tuu kama Anna Abdalah, au Jaji Ramadhani?.
Swali ni je kuna uwezekano watu wa dini fulani ni wakakamavu zaidi kuliko dini nyingine ndio maana wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, kama jeshini tuna watu wa dini zote, inamaana wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?, jee wapo lakini hawana sifa za ujenerali au wapo na wanasifa lakini wanabaguliwa hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.
Jee ukakamavu nao una uhusiano na dini ya mtu?
.
Na tukija kwenye makabila, jee pia kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?. Kwa nini watu wa makabila fulani fulani ndio wajae majeshini na kupata hadi kuwa majenerali?. Yaani Majenerali wote ni watu wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?.
Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, majerali watutu, sio tuu walitoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja, sasa kuna unaya wowote, na mimi nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikatafuta angalau generali wa kabila langu, hata kama rank yake ilikuwa chini, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, lakini kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, ikaamuliwa kuanzia sasa, majerali wawe kutoka kabila fulani angalau hata watatu kama lile kabila jingine, wakati huo tukifanya affirmative action jeshini kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyine ambao hawajapata majenerali, na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wote kuweza kuwa majenerali?.
Nawatakia Jumapili njema ya matawi.
P
Hoja nzuri
Jibu hakua aina yoyote ya ukakamavu zudi ya dini fulani...
Wakina Abdallah mliwaminya kujiendeleza sasa mnaanza kuwasimanga.... Mlisahau milango ya ridhkii mtoaji ni Muumba mbingu na ardhi mkifunga mlango mmoja mingine iko wazi...
Uliwahi jiuliza jeshi lingekuwa na CDF Rugangila Rweyemamu Mutagurwa Kamugisha ingekuwaje???Wanabodi,
Hii ni thread ya swali
Jee Kuna Uhusiano Wowote Kati ya Dini na Majeshi?. Jee Kuna Watu wa Dini Fulani ni Wazuri Zaidi Jeshini Kuliko Dini Nyingine?.
Kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote waliotangulia, inawezekana huu uchapa kazi wake unatokana na kutoka kabila la wachapakazi?.
Katika kuwadurufu Wakuu wa Majeshi waliotangulia, kuna kitu strange nimekinote.
Wakuu hawa ni Jenerali Mirisho Sarakikya, Jenerali Abdalah Twalipo, Jenerali David Musuguri, Jenerali Ernest Mwita Kiaro, Jenerali Robert Mboma, Jenerali George Waitara, Jenerali Davis Mwamunyange, wa sasa Jenerali Venance Mabeyo.
Wote wana majina ya kiashiria ni watu wa dini fulani, isipokuwa mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo. Tena huyu Twalipo, mimi nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambalo pia jina la kishiria cha dini fulani, usikute hilo jina la Abdalah ni jina tuu kama Anna Abdalah, au Jaji Ramadhani?.
Swali ni je kuna uwezekano watu wa dini fulani ni wakakamavu zaidi kuliko dini nyingine ndio maana wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, kama jeshini tuna watu wa dini zote, inamaana wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?, jee wapo lakini hawana sifa za ujenerali au wapo na wanasifa lakini wanabaguliwa hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.
Jee ukakamavu nao una uhusiano na dini ya mtu?
.
Na tukija kwenye makabila, jee pia kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?. Kwa nini watu wa makabila fulani fulani ndio wajae majeshini na kupata hadi kuwa majenerali?. Yaani Majenerali wote ni watu wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?.
Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, majerali watutu, sio tuu walitoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja, sasa kuna unaya wowote, na mimi nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikatafuta angalau generali wa kabila langu, hata kama rank yake ilikuwa chini, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, lakini kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, ikaamuliwa kuanzia sasa, majerali wawe kutoka kabila fulani angalau hata watatu kama lile kabila jingine, wakati huo tukifanya affirmative action jeshini kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyine ambao hawajapata majenerali, na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wote kuweza kuwa majenerali?.
Nawatakia Jumapili njema ya matawi.
P
Hahahahahaha Mkuu umeua
Bali ni wachumia dini.tatizo kubwa la waislamu sio wachumia tumbo
KWANZAJESHI LENYE NGUVU AFRICA NI MISRI . HALAFU JESHI LA ISLAMIC STATE LIMEWEZA KUPAMBANA SYRIA MPAKA WAKAINGIA IRAQ NAO NI JESHI LILOJIKUSANYA KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI LAKINI LILIKUWA STRONG. AFGHANISTAN JESHI LA TALABANI WALIPAMBANA NA WAVAMIZI WA RUSSIA MPAKA RUSSIA ILIKIMBIA .TALABANI WANA PAMBANA NA MAREKANI NA NATO TANGU 2011 MPAKA LEO NATO WANAOMBA KUJITOA WAMERIKANI WAPO HOI NENDA KAONYESHWE MAKABURI YA WAMERIKANI WALIOKUFA AFGHAN STAN NI SAWA NA ENEO LA KINONDONI YOTE MPAKA LEO TALABANI HAWATAKI SULUHU WANATAKA NA WANAENDELEA NA MAPAMBANO BADO SIJAKUELEZA UKAKAMAVU WA SOMALIA
Wanabodi,
Hii ni thread ya swali
Jee Kuna Uhusiano Wowote Kati ya Dini na Majeshi?. Jee Kuna Watu wa Dini Fulani ni Wazuri Zaidi Jeshini Kuliko Dini Nyingine?.
Kufuatia Mkuu wetu wa Majeshi wa sasa kufanya kazi nzuri iliyotukuka Jeshini kuliko wakuu wengine wote waliotangulia, inawezekana huu uchapa kazi wake unatokana na kutoka kabila la wachapakazi?.
Katika kuwadurufu Wakuu wa Majeshi waliotangulia, kuna kitu strange nimekinote.
Wakuu hawa ni Jenerali Mirisho Sarakikya, Jenerali Abdalah Twalipo, Jenerali David Musuguri, Jenerali Ernest Mwita Kiaro, Jenerali Robert Mboma, Jenerali George Waitara, Jenerali Davis Mwamunyange, wa sasa Jenerali Venance Mabeyo.
Wote wana majina ya kiashiria ni watu wa dini fulani, isipokuwa mmoja tuu, Generali Abdalah Twalipo. Tena huyu Twalipo, mimi nilisoma darasa moja na binti yake akiitwa Flora Twalipo ambalo pia jina la kishiria cha dini fulani, usikute hilo jina la Abdalah ni jina tuu kama Anna Abdalah, au Jaji Ramadhani?.
Swali ni je kuna uwezekano watu wa dini fulani ni wakakamavu zaidi kuliko dini nyingine ndio maana wengi huko majeshini ni watu wa dini fulani?, kama jeshini tuna watu wa dini zote, inamaana wanao panda hadi kufikia top rank ya majenerali, kwa nini wengi wawe wa dini fulani hiyo hiyo?, kwani hao wa dini nyingine kwa nini hawawi majenerali?, jee wapo lakini hawana sifa za ujenerali au wapo na wanasifa lakini wanabaguliwa hivyo majenerali wengi kuwa watu wa dini moja?.
Jee ukakamavu nao una uhusiano na dini ya mtu?
.
Na tukija kwenye makabila, jee pia kuna makabila wachapakazi wanaoweza mitulinga ya Jeshini, na makabila mengine kazi za Jeshini ni kituo cha polisi?. Kwa nini watu wa makabila fulani fulani ndio wajae majeshini na kupata hadi kuwa majenerali?. Yaani Majenerali wote ni watu wa makabila ya bara tuu, yaani watu wa Pwani na visiwani hawawezi kupanda na kuwa majenerali?.
Nauliza hivi makusudi ili baadae huko mbele ya safari, tusije kulaumiana, kati ya majenerali wote 8 wa jeshi letu, tangu tumepata uhuru, majerali watutu, sio tuu walitoka mkoa mmoja, bali ni watu wa kabila moja, sasa kuna unaya wowote, na mimi nikibahatika kuwa CinC wa majeshi yetu, nami nikatafuta angalau generali wa kabila langu, hata kama rank yake ilikuwa chini, nikamuongezea muda kidogo wa kustaafu jenerali aliyepo ambaye muda wake umekwisha, kisha nikampandisha vyeo chap chap jererali wa kabila langu, lakini kufuatia good track record ya utekelezaji wake wa mambo makubwa, ikaamuliwa kuanzia sasa, majerali wawe kutoka kabila fulani angalau hata watatu kama lile kabila jingine, wakati huo tukifanya affirmative action jeshini kwa kuwapandisha vyeo chap chap watu wa dini nyine ambao hawajapata majenerali, na kuwajaribisha watu wa makabila mengine kwenye vyeo vya juu, ili Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania, liwe ni jeshi la wote kuweza kuwa majenerali?.
Nawatakia Jumapili njema ya matawi.
P
misri ni himaya kubwa tangu abraham hajazaliwa,imepigana vita vingi mnoMisri??? Ha ha ha ..... soma YOM KIPPUR WAR
HAO wengine mbinu zao ni synonymous na guerrilla warfare. Conventional warfare haijawahi wasitiri dakika 15. Vietcong vs FRENCH ARMY na USA, Maoists vs Japanese Imperial Army etc, na hao Al Shabab ni walewale. Sawa na mbinu za mbweha, fisi et al. Conventional warfare hawadumu sekunde. Sasa wewe ukiwana uadui na yule alie mwoga kupindukia alafu AKAKUVIZIA na kukutia kisu takoni YEYE ndo mbabe au?