Je, kuna uhusiano wowote kati ya mfumo wa gesi na gear box ya lorry?

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Salaam wanafamilia,

Naonaga mara nyingi dereva akibadili gear kwenye lorry kuna mlio wa gesi kuwa released kama sauti inayotoka akiapply brakes,, naomba kufahamu kama kuna uhusiano wowote wa gear na mfumo wa gesi kwenye trucks,, 🙏🏽
 
Ni upepo bana sio gas
 
Bwana mdogo...gari kubwa znatumia mfumo wa upepo sehem nying kama braking system, clutch system etc ...ndoo mana ina mitungi kazaa kwenye trailer na horse .....sababu kubwa upepo una nguvu kuliko kutumia njia nyingne za braking au gear separations...so kuna tu valve tunato release ile hewa ndo unaskia ww....ulza swali lingne...
 
sio gesi ni upepo na kama ume note vizuri iyo sauti umeiskia kwenye magari makubwa tu.........
iko hivi ili kupunguza ugumu wa kuchange gear wamewaka huo mfumo wa upepo
 
Bwana mdogo...gari kubwa znatumia mfumo wa upepo sehem nying kama braking system, clutch system etc ...ndoo mana ina mitungi kazaa kwenye trailer na horse .....sababu kubwa upepo una nguvu kuliko kutumia njia nyingne za braking au gear separations...so kuna tu valve tunato release ile hewa ndo unaskia ww....ulza swali lingne...
Kwanini ukitumia splitter huo upepo hautoki?
 
Back
Top Bottom