Je, Kuna ukomo katika kutii mamlaka za WANADAMU ?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow!

Kuna agizo kabisa Kutoka Kwa Mungu kupitia vinywa vya manabii na vitabu vya kiimani kuwa tunapaswa kuzitii mamlaka, Kwa kuwa mamlaka hizo zimeruhusiwa na Mungu.

Sasa matukio yafuatayo na simulizi ndani ya vitabu vyetu kiimani, zinanipa maswali kuwa, Inawezekana upo ukomo katika kuzitii mamlaka za WANADAMU.

Twende pamoja kupitia matukio haya.

1. Baada ya Wana wa Israel kuongezeka sana nchini mirsri, Pharao anapitisha amri kuwa, muisrael akizaa mtoto wa kiume, mtoto huyo auwawe, yaani mzazi amuue mtoto wake Kwa mikono yake mwenyewe, utii wa mamlaka umekaaje hapo,

Na ikiwa wazazi wa Musa wangetii mamlaka kama ilivyo, Musa angewezaje kuwakomboa Wana wa Israel?

2. Nchi ya Israel inazingirwa na maadui washami, inapitishwa amri malango ya nchi yafungwe, hakuna kuingia Wala Kutoka, wakoma wanne wanakosa chakula sababu watu wamejifungia, wanaamua kuvunja utii wa mamlaka na Kutoka nje ya mipaka ya nchi kutafuta chakula, Mungu anawatumia kuikomboa Nchi Yao. Je utii wa mamlaka uko vipi hapo?

3. Herode anapata habari kuwa king Jesus amezaliwa Bethlehemu, Herode anaamuru watoto wote wa kiume under 5 year wauwawe, Malaika anamtokea Yusuf na kumwambia akimbilie Misri kumwokoa mtoto asiuwawe, wangetii mamlaka, Ukombozi wa WANADAMU ungekuwaje,Je utii wa mamlaka umekaaje hapo?

4. Petro na Paul na wanafunzi wengine wa Yesu wanazuiwa na Amri iliyowekwa na mamlaka kwamba ni marufuku kuhubiri na kulitaja Jina la YESU, Paul na wenzie wanaapa kamwe kutotii Amri hiyo wakidai kuwa Nao wameamrishwa na Mungu wao kuhubiri hivyo hawaezi kutotii Amri ya Mungu Kwa kutii amri ya WANADAMU, utii wa mamlaka za WANADAMU ukoje hapo?

5. Kuna wafanyakazi wanaolipwa kulinda Amani na kusimamia haki, hao hao wanashiriki kubambikia watu kesi za uongo, wakishiriki kuingiza kura fake kwenye Sanduku la kura, Nchi inaingia katika ombwe la uongozi, Kisha matendo maovu yanatamakaki, je upo ukomo kutii mamlaka za aina hii?

Swali: Ni Kwa kiwango Gani ,Kuna ukomo wa kutii mamlaka?

Karibuni 🙏
 
(Muhubiri 3:16)

Nami nikaona tena chini ya jua, Mahali pa HUKUMU upo UOVU, na Mahali pa HAKI upo udhalimu.

Haya ni maneno ya muhubiri mfalme Suleimani, Yeye aliweza kujichunguza na kujifanyia tathmini.
 
Wanatokea watu wanashuka ndani ya Noah, wanakwambia unahitajika kituoni gogoni,

Ukiwauliza ninyi mbona hamna vitambukisho, na I wapi hatia ya kunikamata, wanajaribu kutumia nguvu kukukamata,

Je ni sahihi kutii amri za namna hii, au wananchi warudi kutembea katika vikundi wakiwa na petroli kukabiliana na mazombie haya?
 
Hellow!

Kuna agizo kabisa Kutoka Kwa Mungu kupitia vinywa vya manabii na vitabu vya kiimani kuwa tunapaswa kuzitii mamlaka, Kwa kuwa mamlaka hizo zimeruhusiwa na Mungu.

Sasa matukio yafuatayo na simulizi ndani ya vitabu vyetu kiimani, zinanipa maswali kuwa, Inawezekana upo ukomo katika kuzitii mamlaka za WANADAMU.

Twende pamoja kupitia matukio haya.

1. Baada ya Wana wa Israel kuongezeka sana nchini mirsri, Pharao anapitisha amri kuwa, muisrael akizaa mtoto wa kiume, mtoto huyo auwawe, yaani mzazi amuue mtoto wake Kwa mikono yake mwenyewe, utii wa mamlaka umekaaje hapo,

Na ikiwa wazazi wa Musa wangetii mamlaka kama ilivyo, Musa angewezaje kuwakomboa Wana wa Israel?

2. Nchi ya Israel inazingirwa na maadui washami, inapitishwa amri malango ya nchi yafungwe, hakuna kuingia Wala Kutoka, wakoma wanne wanakosa chakula sababu watu wamejifungia, wanaamua kuvunja utii wa mamlaka na Kutoka nje ya mipaka ya nchi kutafuta chakula, Mungu anawatumia kuikomboa Nchi Yao. Je utii wa mamlaka uko vipi hapo?

3. Herode anapata habari kuwa king Jesus amezaliwa Bethlehemu, Herode anaamuru watoto wote wa kiume under 5 year wauwawe, Malaika anamtokea Yusuf na kumwambia akimbilie Misri kumwokoa mtoto asiuwawe, wangetii mamlaka, Ukombozi wa WANADAMU ungekuwaje,Je utii wa mamlaka umekaaje hapo?

4. Petro na Paul na wanafunzi wengine wa Yesu wanazuiwa na Amri iliyowekwa na mamlaka kwamba ni marufuku kuhubiri na kulitaja Jina la YESU, Paul na wenzie wanaapa kamwe kutotii Amri hiyo wakidai kuwa Nao wameamrishwa na Mungu wao kuhubiri hivyo hawaezi kutotii Amri ya Mungu Kwa kutii amri ya WANADAMU, utii wa mamlaka za WANADAMU ukoje hapo?

5. Kuna wafanyakazi wanaolipwa kulinda Amani na kusimamia haki, hao hao wanashiriki kubambikia watu kesi za uongo, wakishiriki kuingiza kura fake kwenye Sanduku la kura, Nchi inaingia katika ombwe la uongozi, Kisha matendo maovu yanatamakaki, je upo ukomo kutii mamlaka za aina hii?

Swali: Ni Kwa kiwango Gani ,Kuna ukomo wa kutii mamlaka?

Karibuni 🙏
mamlaka zote za dunia zatoka kwa Mungu,
Kutokutii mamlaka na serikali za wanadamu ni kukaidi maagizo ya Mungu 🐒
 
Tunatii mamlaka zinazotisha waovu na kusimamia haki kutawala juu ya nchi, Si udhalimu,

Twende kwenye maandiko:

(Warumi 13:1-7)

1: Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu,Kwa maana hakuna isiyotoka Kwa Mungu, na Ile iliyopo imeamriwa na Mungu.

2: Hivyo amwasiye mwenye mamlaka ,hushindana na agizo la Mungu, nao washindanao watajipatia HUKUMU..

3: Kwa maana watawalao hawatishi watu sababu ya MATENDO MEMA, BALI SABABU YA MATENDO MABAYA.
basi wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake.

4: Kwa kuwa Yeye ni mtumishi wa Mungu kwako Kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa, Kwa maana hauchukui upanga Bure, Kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu,amlipizaye kisasi mtenda mabaya Kwa ajili ya ghadhabu.

5: Kwa hiyo ni LAZIMA kutii, Si Kwa sababu ya Ile ghadhabu tu, ila Kwa sababu ya dhamiri.

6: Kwa sababu hiyo tena mwalipa Kodi, Kwa kuwa wao ni wahudumu wa Mungu, wakidumu katika KAZI iyo hiyo.

7: Wapeni wote HAKI ZAO, mtu wa Kodi, Kodi, mtu wa ushuru, ushuru, astahilie HOFU ,HOFU, astahilie Heshima, Heshima.

....mwisho wa kunukuu....

Sasa HAKI ya kuchagua na kuchaguliwa ni Haki ya kikatiba na kimaandiko, na Sanduku la kura ni sharti liheshimiwe,

Kuwateka na kuwapoteza wanaodai Tume huru ya Uchaguzi Heshima kwenye mchakato wa kupiga kura Kwa HAKI ni udhalimu,

Mamlaka za aina hii ni za kupingwa, sababu hazileti HAKI Bali dhuluma.
 
sasa wewe tii na kung'ang'ana kwenye utapeli wa no reform no elections kama hiyo ndiyo haki ya kikatiba ulochagua gentleman 🐒
 
Serikali inatakiwa kutisha wezi wa kura na wanaopotoa HAKI ndipo ipokee utii Toka Kwa wananchi.

Kukumbatia wizi wa kura ni UOVU ambao sifa hiyo mbaya haipaswi kuonyesha na mamlaka iliyotoka Kwa Mungu.
 
Right can not be given as a gift from the oppressors, it mus be demanded by the oppressed.
Sasa Hawa wanaoiba kura na tukiwauliza kwanini kuiba,

Wanatwambia kuzitii mamlaka kwamba zimetoka juu ni sawa?

Tuhakikishe Sanduku la kura linaheshimiwa , hayo ndio mapenzi ya Mungu.
 
Hellow!

Kuna agizo kabisa Kutoka Kwa Mungu kupitia vinywa vya manabii na vitabu vya kiimani kuwa tunapaswa kuzitii mamlaka, Kwa kuwa mamlaka hizo zimeruhusiwa na Mungu.

Sasa matukio yafuatayo na simulizi ndani ya vitabu vyetu kiimani, zinanipa maswali kuwa, Inawezekana upo ukomo katika kuzitii mamlaka za WANADAMU.

Twende pamoja kupitia matukio haya.

1. Baada ya Wana wa Israel kuongezeka sana nchini mirsri, Pharao anapitisha amri kuwa, muisrael akizaa mtoto wa kiume, mtoto huyo auwawe, yaani mzazi amuue mtoto wake Kwa mikono yake mwenyewe, utii wa mamlaka umekaaje hapo,

Na ikiwa wazazi wa Musa wangetii mamlaka kama ilivyo, Musa angewezaje kuwakomboa Wana wa Israel?

2. Nchi ya Israel inazingirwa na maadui washami, inapitishwa amri malango ya nchi yafungwe, hakuna kuingia Wala Kutoka, wakoma wanne wanakosa chakula sababu watu wamejifungia, wanaamua kuvunja utii wa mamlaka na Kutoka nje ya mipaka ya nchi kutafuta chakula, Mungu anawatumia kuikomboa Nchi Yao. Je utii wa mamlaka uko vipi hapo?

3. Herode anapata habari kuwa king Jesus amezaliwa Bethlehemu, Herode anaamuru watoto wote wa kiume under 5 year wauwawe, Malaika anamtokea Yusuf na kumwambia akimbilie Misri kumwokoa mtoto asiuwawe, wangetii mamlaka, Ukombozi wa WANADAMU ungekuwaje,Je utii wa mamlaka umekaaje hapo?

4. Petro na Paul na wanafunzi wengine wa Yesu wanazuiwa na Amri iliyowekwa na mamlaka kwamba ni marufuku kuhubiri na kulitaja Jina la YESU, Paul na wenzie wanaapa kamwe kutotii Amri hiyo wakidai kuwa Nao wameamrishwa na Mungu wao kuhubiri hivyo hawaezi kutotii Amri ya Mungu Kwa kutii amri ya WANADAMU, utii wa mamlaka za WANADAMU ukoje hapo?

5. Kuna wafanyakazi wanaolipwa kulinda Amani na kusimamia haki, hao hao wanashiriki kubambikia watu kesi za uongo, wakishiriki kuingiza kura fake kwenye Sanduku la kura, Nchi inaingia katika ombwe la uongozi, Kisha matendo maovu yanatamakaki, je upo ukomo kutii mamlaka za aina hii?

Swali: Ni Kwa kiwango Gani ,Kuna ukomo wa kutii mamlaka?

Karibuni 🙏
Kumbuka biblia iliandikwa na wazungu ili kuitawala dunia, mungu yupo mbali sana asee na tumekua tukimsingizia mengi
 
Tukitaka kuelewa juu ya kutii mamlaka tusome Danieli 6:3 -28
Basi Danielii huyo alipata sifa kuliko wakubwa na maliwali, kwa kuwa roho bora ilikuwa ndani yake; naye mfalme akaazimu kumweka juu ya ufalme wote.

4 Basi mawaziri na maamiri wakatafuta sana kupata sababu za kumshitaki Danielii kwa habari za mambo ya ufalme; lakini hawakuweza kuona sababu wala kosa; kwa maana alikuwa mwaminifu, wala halikuonekana kosa wala hatia ndani yake.

5 Ndipo wale watu wakasema, Hatutapata sababu ya kumshitaki Danielii huyo, tusipoipata katika mambo ya sheria ya Mungu wake.

6 Basi wale mawaziri na maamiri wakakusanyika pamoja mbele ya mfalme, wakamwambia hivi, Mfalme Dario, uishi milele.

7 Mawaziri wote wa ufalme, na manaibu, na maamiri, na madiwani, na maliwali wamefanya shauri pamoja ili kuweka amri ya kifalme; na kupiga marufuku, ya kwamba mtu ye yote atakayeomba dua kwa Mungu awaye yote, au kwa mtu awaye yote, katika muda wa siku thelathini, ila kwako, Ee mfalme atatupwa katika tundu la simba.

8 Sasa, Ee mfalme, piga marufuku, ukatie sahihi maandiko haya, yasibadilike, kama ilivyo sheria ya Wamedi na Waajemi, isiyoweza kubadilika.

9 Basi mfalme Dario akayatia sahihi maandiko yale, na ile marufuku.

10 Hata Danielii, alipojua ya kuwa yale maandiko yamekwisha kutiwa sahihi, akaingia nyumbani mwake, (na madirisha katika chumba chake yalikuwa yamefunguliwa kukabili Yerusalemu😉 akapiga magoti mara tatu kila siku, akasali, akashukuru mbele za Mungu wake, kama alivyokuwa akifanya tokea hapo.

11 Basi watu hao wakakusanyika pamoja, wakamwona Danielii akiomba dua, na kusihi mbele za Mungu wake.

12 Ndipo wakakaribia, wakasema mbele ya mfalme katika habari ya ile marufuku ya mfalme; Je! Hukuitia sahihi ile marufuku, ya kwamba kila mtu atakayeomba dua kwa Mungu awaye yote, au kwa mtu awaye yote, katika muda wa siku thelathini, ila kwako, Ee mfalme, atatupwa katika tundu la simba? Mfalme akajibu, akasema, Neno hili ni kweli, kama ilivyo sheria ya Wamedi na Waajemi isiyoweza kubadilika.

13 Basi wakajibu, wakasema mbele ya mfalme, Yule Danielii, aliye mmoja wa wana wa wale waliohamishwa wa Yuda, hakujali wewe, Ee mfalme, wala ile marufuku uliyoitia sahihi, bali aomba dua mara tatu kila siku.

14 Basi mfalme aliposikia maneno haya alikasirika sana, akakaza moyo wake ili kumponya Danielii; akajitaabisha kumwokoa hata jua likachwa.

15 Ndipo watu wale wakakusanyika pamoja mbele ya mfalme, wakamwambia mfalme, Ee mfalme, ujue ya kuwa ni sheria ya Wamedi na Waajemi, lisibadilike neno lo lote lililo marufuku, wala amri yo yote iliyowekwa na mfalme.

16 Basi mfalme akatoa amri, nao wakamleta Danielii, wakamtupa katika tundu la simba. Mfalme akanena, akamwambia Danielii, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya.

17 Likaletwa jiwe, likawekwa mdomoni mwa lile tundu; naye mfalme akalitia muhuri kwa muhuri yake mwenyewe, na kwa muhuri ya wakuu wake, lisibadilike neno lo lote katika habari za Danielii.

18 Kisha mfalme akaenda nyumbani kwake, akakesha usiku kucha, akafunga; na vinanda havikuletwa mbele yake; na usingizi wake ukampaa.

19 Asubuhi mfalme akaondoka mapema, akaenda kwa haraka mpaka penye lile tundu la simba.

20 Naye alipolikaribia lile tundu, akamlilia Danielii kwa sauti ya huzuni; mfalme akanena; akamwambia Danielii, Ee Danielii, mtumishi wa Mungu aliye hai, je! Mungu wako, unayemtumikia daima, aweza kukuponya na simba hawa?

21 Ndipo Danielii akamwambia mfalme, Ee mfalme, uishi milele.

22 Mungu wangu amemtuma malaika wake, naye ameyafumba makanwa ya simba, nao hawakunidhuru; kwa kuwa mbele zake mimi nalionekana kuwa sina hatia; tena, mbele yako, Ee mfalme, sikukosa neno.

23 Basi mfalme akafurahi sana, akaamuru wamtoe Danielii katika lile tundu. Ndipo Danielii akatolewa katika lile tundu, wala dhara lo lote halikuonekana mwilini mwake, kwa sababu alikuwa anamtumaini Mungu wake.

24 Mfalme akaamuru, nao wakawaleta wale watu waliomshitaki Danielii, wakawatupa katika tundu la simba, wao, na watoto wao, na wake zao; na wale simba wakawashinda wakaivunja mifupa yao vipande vipande, kabla hawajafika chini ya tundu.

25 Ndipo mfalme Dario akawaandikia watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, waliokaa juu ya uso wa dunia; Amani na iongezeke kwenu.

26 Mimi naweka amri, ya kwamba katika mamlaka yote ya ufalme wangu watu watetemeke na kuogopa mbele za Mungu wa Danielii; maana yeye ndiye Mungu aliye hai, adumuye milele, na ufalme wake ni ufalme usioharibika, na mamlaka yake itadumu hata mwisho.

27 Yeye huponya na kuokoa, hutenda ishara na maajabu mbinguni na duniani, ndiye aliyemponya Danielii na nguvu za simba.

28 Basi Danielii huyo akafanikiwa katika enzi ya Dario, na katika enzi ya Koreshi, Mwajemi.
 
Wanatokea watu wanashuka ndani ya Noah, wanakwambia unahitajika kituoni gogoni,

Ukiwauliza ninyi mbona hamna vitambukisho, na I wapi hatia ya kunikamata, wanajaribu kutumia nguvu kukukamata,

Je ni sahihi kutii amri za namna hii, au wananchi warudi kutembea katika vikundi wakiwa na petroli kukabiliana na mazombie haya?
Mazombie ni wananchi sio hao watekaji mkuu! Nitakuwa sahihi?
 
Rubbish
 
Serikali inatakiwa kutisha wezi wa kura na wanaopotoa HAKI ndipo ipokee utii Toka Kwa wananchi.

Kukumbatia wizi wa kura ni UOVU ambao sifa hiyo mbaya haipaswi kuonyesha na mamlaka iliyotoka Kwa Mungu.
kwenye chaguzi za Tanzania wizi wa kura ni dhana potofu isiyo ya kweli miongoni mwa wanasiasa wasiokubalika kwa wananchi, ili waonewe huruma.

Chaguzi za Tanzania mara zote hushirikisha wale tu waliokidhi sifa, vigezo na masharti ya kikatiba kugombea.

Na uchaguzi hufanyika kwa uhuru, kwa haki na kwa uwazi zaidi ndio maana hapajawahi kutokea ghasia za baada ya uchaguzi Tanzania, na hazitawahi kuja kutokea, kutokana na mazingira ya usawa yaliyopo katika siasa na demokrasia ya Tanzania.

Kumbuka,
uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania ni Oct mwaka huu2025🐒
 
CCM wanaanza kuwagawa watanzania kwa upuuzi wao wa kubaka uchaguzi kila siku. Hivi wanajua kweli ukubwa wa tatizo wanalolitengeneza?. Hivi wanadhani m23 imezuka huko congo? Hivi wanajifunza nini pale wananchi wanapowashangilia m23. Haya, vyombo vya ulinzi na usalama MSIWACHEKEE HAWA CCM, JWTZ MACHAFUKO YAKIINGIA NCHINI SIFA YENU YA UBORA KATIKA ULINZI ITAKUWA WAPI?. Ati imefika mahali wanauwa watanzania kisa kupindua matokeo ya mwenyekiti wa kijiji au kitongoji. Jamani sisi wote ni watanzania. SASA narudi kwenye mada na kushauri hivi, JESHI LA POLISI HALITAKIWI KUTII AGIZO lote batili la kuvunja katiba, na kupora haki ya kuchagua ya wananchi. Mkiendelea kuwachekea ccm, hapo mbele kuna giza na kila mtu atapata maumivu. Wenye hekima jitokezeni mwokoe taifa. Mzee Waryoba hata kama wanakupuuza, endelea kunena baba na historia itakunena maana wewe husemi kwaajili yako bali yetu.
 
Tukitaka kuelewa juu ya kutii mamlaka tusome Danieli 6:3 -28
Basi Danielii huyo alipata sifa kuliko wakubwa na maliwali, kwa kuwa roho bora ilikuwa ndani yake; naye mfalme akaazimu kumweka juu ya ufalme wote.

4 Basi mawaziri na maamiri wakatafuta sana kupata sababu za kumshitaki Danielii kwa habari za mambo ya ufalme; lakini hawakuweza kuona sababu wala kosa; kwa maana alikuwa mwaminifu, wala halikuonekana kosa wala hatia ndani yake.

5 Ndipo wale watu wakasema, Hatutapata sababu ya kumshitaki Danielii huyo, tusipoipata katika mambo ya sheria ya Mungu wake.

6 Basi wale mawaziri na maamiri wakakusanyika pamoja mbele ya mfalme, wakamwambia hivi, Mfalme Dario, uishi milele.

7 Mawaziri wote wa ufalme, na manaibu, na maamiri, na madiwani, na maliwali wamefanya shauri pamoja ili kuweka amri ya kifalme; na kupiga marufuku, ya kwamba mtu ye yote atakayeomba dua kwa Mungu awaye yote, au kwa mtu awaye yote, katika muda wa siku thelathini, ila kwako, Ee mfalme atatupwa katika tundu la simba.

8 Sasa, Ee mfalme, piga marufuku, ukatie sahihi maandiko haya, yasibadilike, kama ilivyo sheria ya Wamedi na Waajemi, isiyoweza kubadilika.

9 Basi mfalme Dario akayatia sahihi maandiko yale, na ile marufuku.

10 Hata Danielii, alipojua ya kuwa yale maandiko yamekwisha kutiwa sahihi, akaingia nyumbani mwake, (na madirisha katika chumba chake yalikuwa yamefunguliwa kukabili Yerusalemu😉 akapiga magoti mara tatu kila siku, akasali, akashukuru mbele za Mungu wake, kama alivyokuwa akifanya tokea hapo.

11 Basi watu hao wakakusanyika pamoja, wakamwona Danielii akiomba dua, na kusihi mbele za Mungu wake.

12 Ndipo wakakaribia, wakasema mbele ya mfalme katika habari ya ile marufuku ya mfalme; Je! Hukuitia sahihi ile marufuku, ya kwamba kila mtu atakayeomba dua kwa Mungu awaye yote, au kwa mtu awaye yote, katika muda wa siku thelathini, ila kwako, Ee mfalme, atatupwa katika tundu la simba? Mfalme akajibu, akasema, Neno hili ni kweli, kama ilivyo sheria ya Wamedi na Waajemi isiyoweza kubadilika.

13 Basi wakajibu, wakasema mbele ya mfalme, Yule Danielii, aliye mmoja wa wana wa wale waliohamishwa wa Yuda, hakujali wewe, Ee mfalme, wala ile marufuku uliyoitia sahihi, bali aomba dua mara tatu kila siku.

14 Basi mfalme aliposikia maneno haya alikasirika sana, akakaza moyo wake ili kumponya Danielii; akajitaabisha kumwokoa hata jua likachwa.

15 Ndipo watu wale wakakusanyika pamoja mbele ya mfalme, wakamwambia mfalme, Ee mfalme, ujue ya kuwa ni sheria ya Wamedi na Waajemi, lisibadilike neno lo lote lililo marufuku, wala amri yo yote iliyowekwa na mfalme.

16 Basi mfalme akatoa amri, nao wakamleta Danielii, wakamtupa katika tundu la simba. Mfalme akanena, akamwambia Danielii, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya.

17 Likaletwa jiwe, likawekwa mdomoni mwa lile tundu; naye mfalme akalitia muhuri kwa muhuri yake mwenyewe, na kwa muhuri ya wakuu wake, lisibadilike neno lo lote katika habari za Danielii.

18 Kisha mfalme akaenda nyumbani kwake, akakesha usiku kucha, akafunga; na vinanda havikuletwa mbele yake; na usingizi wake ukampaa.

19 Asubuhi mfalme akaondoka mapema, akaenda kwa haraka mpaka penye lile tundu la simba.

20 Naye alipolikaribia lile tundu, akamlilia Danielii kwa sauti ya huzuni; mfalme akanena; akamwambia Danielii, Ee Danielii, mtumishi wa Mungu aliye hai, je! Mungu wako, unayemtumikia daima, aweza kukuponya na simba hawa?

21 Ndipo Danielii akamwambia mfalme, Ee mfalme, uishi milele.

22 Mungu wangu amemtuma malaika wake, naye ameyafumba makanwa ya simba, nao hawakunidhuru; kwa kuwa mbele zake mimi nalionekana kuwa sina hatia; tena, mbele yako, Ee mfalme, sikukosa neno.

23 Basi mfalme akafurahi sana, akaamuru wamtoe Danielii katika lile tundu. Ndipo Danielii akatolewa katika lile tundu, wala dhara lo lote halikuonekana mwilini mwake, kwa sababu alikuwa anamtumaini Mungu wake.

24 Mfalme akaamuru, nao wakawaleta wale watu waliomshitaki Danielii, wakawatupa katika tundu la simba, wao, na watoto wao, na wake zao; na wale simba wakawashinda wakaivunja mifupa yao vipande vipande, kabla hawajafika chini ya tundu.

25 Ndipo mfalme Dario akawaandikia watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, waliokaa juu ya uso wa dunia; Amani na iongezeke kwenu.

26 Mimi naweka amri, ya kwamba katika mamlaka yote ya ufalme wangu watu watetemeke na kuogopa mbele za Mungu wa Danielii; maana yeye ndiye Mungu aliye hai, adumuye milele, na ufalme wake ni ufalme usioharibika, na mamlaka yake itadumu hata mwisho.

27 Yeye huponya na kuokoa, hutenda ishara na maajabu mbinguni na duniani, ndiye aliyemponya Danielii na nguvu za simba.

28 Basi Danielii huyo akafanikiwa katika enzi ya Dario, na katika enzi ya Koreshi, Mwajemi.
Kumbe mamlaka zilizo kinyume na maagizo ya Mungu, kinyume na HAKI ni za kuzipuuza.
 
Kumbuka biblia iliandikwa na wazungu ili kuitawala dunia, mungu yupo mbali sana asee na tumekua tukimsingizia mengi
Adam pale bustani ya Eden alitumia BIBLIA ipi?

Neno la Mungu limo ndani ya Kila mwanadamu, ni katika dhamira yake kutenda mema na kuchukia mabaya.

Wizi wa kura ni jambo ovu, na Si lazima upite shule ndipo ujue kuiba kura ni udhalimu.
 
Back
Top Bottom