Je, kuna ukweli Juu ya maneno haya kwa wanawake au ni chuki Tu?

Shetani ndio kamwambia mwanamke avae artificial?! Makubwa ๐Ÿšถ๐Ÿšถ
Ni mpango wa shetani katika kutimiza azma yake.

Alianza na mkutano wa Beijing,haki sawa mwanamke na mwanaume..(sasa hapa kuna mambo mengi mno ikiwa ni pamoja na hizo vitu bandia,kuchubua miili..na mengine mengi hata nikiyaelezea sitoeleweka)

Sasa anaenda kwa wanaume.

Unafikiri hapa tulipo tupo salama!!!ni huruma ya Mungu inahitajika tu.
 

Hahaha unakunywa bingwa [emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Nooo ni wanaume wachache sana wanavutiwa na wanawake wenye kutumia artificial urembo...

Nakupa hii siri sisi wanaume tunapendezwa sanaaa na wanawake wenye asili yao, kwa kweli huwa mnatupa mvutoo wa ajabu sana mkiwa asili
 
Sasa utavaa vitu vya artificial mkienda kuishi wote asubuhi mkiamka vuruguvurugu mwanaume unaanza kujiuliza hivi huyu nimempendea nini, nakupa hiyo siri ba wengine mjue hili
 
Shetani ndio kamwambia mwanamke avae artificial?! Makubwa [emoji124][emoji124]
Usimbishie lete ushahidi, kama haya mambo ya artificial hayana ushetani ndani yake kucha na nywele za bandia, hivi unajua majini yanakaa sana kwenye nywele za bandia wewe unajua zimetoka wapi?
 
Hawezi kukuelewa nae ni walewale
 
Eheee nakunywa bingwa bhana..nishafika bingwa ya sita leo 77๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Wooooooozaaaaaaaaahhhhh.....

Kama ni kweli hili ulisemalo basi tunashukuru..tutaanza kubaki na uziri wetu wa asilia aise..
Leo naenda kutafuta mafuta ya samli nianze pakaa ngozi iwe nyororo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 

Chukulia mfano uwepo wa artificial hivi ni mwanaume gani anavutiwa nao, uwepo wa madukani???
 
Chukulia mfano uwepo wa artificial hivi ni mwanaume gani anavutiwa nao, uwepo wa madukani???
Wapi wanaovutiwa nao ..

Inaonekana wewe hupendi hayo makorokocho lkni ninauhakika pia kuna wengine wanayapenda.

Lkni pia inasemeka kuwa mnasema hamyapendi hayo ma artnini sijui huko ili kuepuka gharama kwa mwanamke๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ kuwa mkweli hapa๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
wanawake mna kucha zenu zile kama za predator aiseeee


ila kwa upnde fulan huwa zinaamsha amsha haswa wakitugusaga kwenye gu mgongo
 
Doh, Aya bwana, I agree to disagree in the end
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ