Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
MeMwandiko wangu unasemaje madam!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MeMwandiko wangu unasemaje madam!!
Aisee😂😂😂Ukiona mwanaume anavaa vitu artificial ni shoga, anawaiga nyie ili mfanane, hakuna mwanaume mwenye huo upuzi wa kujipodoa
Sema huna hela ya kumpendezesha mwanamke bwana usikimbilie team naturalHahaha unakunywa bingwa [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nooo ni wanaume wachache sana wanavutiwa na wanawake wenye kutumia artificial urembo...
Nakupa hii siri sisi wanaume tunapendezwa sanaaa na wanawake wenye asili yao, kwa kweli huwa mnatupa mvutoo wa ajabu sana mkiwa asili
Mindset yako bado ya kitoto sanaSasa utavaa vitu vya artificial mkienda kuishi wote asubuhi mkiamka vuruguvurugu mwanaume unaanza kujiuliza hivi huyu nimempendea nini, nakupa hiyo siri ba wengine mjue hili
Kila kitu kikiombewa sio dhambi jamaa mbona mnakuwa wainjilisti WA dhambi au dini ya kakobe?!Usimbishie lete ushahidi, kama haya mambo ya artificial hayana ushetani ndani yake kucha na nywele za bandia, hivi unajua majini yanakaa sana kwenye nywele za bandia wewe unajua zimetoka wapi?
Kama unaamini mimi ni Me basi sawa...endelea kuamini.
Madam, kumbe na wewe humuelewi!?
Aisee, na mimi nimejua leoKama unaamini mimi ni Me basi sawa...endelea kuamini.
Ila mimi ni Mwanamke kamili.
😅😅😅 kizazi sana..
Ohooooo....😃😃nitabadilisha hand writting kama huku ndiko mlikofikia..😅😅Madam, kumbe na wewe humuelewi!?
Ohooooo...mwingine tena huyu..😂😂😂Aisee, na mimi nimejua leo
Hana grounds za kunifanya nimueleweHawezi kukuelewa nae ni walewale
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️Wapi wanaovutiwa nao ..
Inaonekana wewe hupendi hayo makorokocho lkni ninauhakika pia kuna wengine wanayapenda.
Lkni pia inasemeka kuwa mnasema hamyapendi hayo ma artnini sijui huko ili kuepuka gharama kwa mwanamke😉😉😉😉😄😄😄 kuwa mkweli hapa😊😊
Nyie mbona mnaongeza wanawake🚶🚶🚶kama Mungu kawaumba hivyo hawajarizika wanaongeza vyakao unadhani wanashindwa vipi kuongeza wanaume [emoji848]
Kwahiyo unazipenda?!wanawake mna kucha zenu zile kama za predator aiseeee
ila kwa upnde fulan huwa zinaamsha amsha haswa wakitugusaga kwenye gu mgongo
Asante Kwa taarifaKama unaamini mimi ni Me basi sawa...endelea kuamini.
Ila mimi ni Mwanamke kamili.
😅😅😅 kizazi sana..
Kabisa 😂😂😂Madam, kumbe na wewe humuelewi!?
nazipenda tu kule kwenye sita kwa sita-huwa zina_boost mambo fulan fulan.Kwahiyo unazipenda?!
Ni kweli madam sina🥂Hana grounds za kunifanya nimuelewe
Asante Kwa taarifa
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️