Je, kuna ukweli Juu ya maneno haya kwa wanawake au ni chuki Tu?

Je, kuna ukweli Juu ya maneno haya kwa wanawake au ni chuki Tu?

Hahaha unakunywa bingwa [emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Nooo ni wanaume wachache sana wanavutiwa na wanawake wenye kutumia artificial urembo...

Nakupa hii siri sisi wanaume tunapendezwa sanaaa na wanawake wenye asili yao, kwa kweli huwa mnatupa mvutoo wa ajabu sana mkiwa asili
Sema huna hela ya kumpendezesha mwanamke bwana usikimbilie team natural
 
Sasa utavaa vitu vya artificial mkienda kuishi wote asubuhi mkiamka vuruguvurugu mwanaume unaanza kujiuliza hivi huyu nimempendea nini, nakupa hiyo siri ba wengine mjue hili
Mindset yako bado ya kitoto sana
Kwani we unampenda mwanamke Kwa kuvaa artificial stuffs au Kwa tabia na vitu vingine ambavyo vitakuwezesha kuishi nae??
Maana tangu kipindi cha akina Farao, Cleopatra wanawake wengi walikuwa wanavaa atificials
 
Usimbishie lete ushahidi, kama haya mambo ya artificial hayana ushetani ndani yake kucha na nywele za bandia, hivi unajua majini yanakaa sana kwenye nywele za bandia wewe unajua zimetoka wapi?
Kila kitu kikiombewa sio dhambi jamaa mbona mnakuwa wainjilisti WA dhambi au dini ya kakobe?!
Kasome Biblia kitabu cha agano jipya, Mtume Paulo alisema, hata mkila vitu vya kufisha havitawadhuru🙏
Pia mkiwekea mikono vitu vya sanamu mkaombea havitawadhuru🙏
Sasa kama hizo nywele, kucha umenunua umeviombea umefunga madhabahu ya shetani Kwa Damu ya Yesu na kuvitakasa Huyo shetani unaempigia promo atakaa wap?!🚶🚶
Acha Imani haba ndugu,🚶
 
Wapi wanaovutiwa nao ..

Inaonekana wewe hupendi hayo makorokocho lkni ninauhakika pia kuna wengine wanayapenda.

Lkni pia inasemeka kuwa mnasema hamyapendi hayo ma artnini sijui huko ili kuepuka gharama kwa mwanamke😉😉😉😉😄😄😄 kuwa mkweli hapa😊😊
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
 
Back
Top Bottom