Chemiker
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 506
- 108
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasalaam,
Hivi majuzi nilikuwa nasikiliza mada iliyokuwa inatolewa na mtaaalamu mmoja wa saikolojia,
alikuwa anazungumzia suala la Mzio (stress). Msikilizaji mmoja akauliza, tangu baba yake afariki Dunia amekuwa hapati usingizi kabisa je ni mojawapo ya dalili za stress na tiba yake ni nini? .
Mtaalamu alijibu Ndiyo, ni moja ya dalili za stress ila Katika moja ya majibu aliyotoa mtaalamu huyu ni kuwa maji ya uvuguvugu( warm water) ni moja ya tiba za stress
Je, kuna ukweli katika hili kwamba maji ni tiba ya stress?:help:
Mkuu.@Money stunna Tangu lini Dawa ikawa na Ladha nzuri? ukitaka ladha nzuri ya maji kunywa, kunywa maji ya baridi na ukita Dawa kunywa Maji ya Uvuguvugu.
Yaani wewe jamaa ni mdini hadi ndala zako nahisi zinaweza kugoma kuvaliwa na mtu asie muislamu!
Maduka ya waislamu ndo yapi hayo?!
Chemiker nadhani huu ushauri wa kuoga tu bila dawa ya ziada sidhani km utawafaa wengi!c.c King'asti Tangu nizaliwe sijawahi kupata stress hata dalili zake sijawahi zipata!Ila siku chache zilizopita baada ya kuandika hii post, nilipatwa na maswahibu yaliyopelekea nipate stress. Kweli stress ni balaa asikwambie mtu, hufanyi kitu chochote cha maana! Asubuhi na mapema nilioga na 'warm water' kisha nikaonana na psychologist amini uisamini, nilirudi home mwepesi na maisha yalienda kama kawa baada ya siku 3 tu. Kila nilipokuwa nikiogea maji ya uvuguvugu nilipata 'relief' flani. Warm water ni moja ya Natural therapy nzuri sana, kwa kuoga na kunywa.
[h=2]Muujiza ya matibabu kwa maji ya Uvuguvugu kunywa[/h]magonjwa yanatibiwa na maji ya moto
- pumu= asthma
- shinikizo la damu= hbp
- migraine / kichwa= migraine/ headache
- ugonjwa wa sukari= diabetes
- upungufu wa damu= anemia
- maumivu nyuma= back pain
- mawe katika figo= urinary calculus
- maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection
- cholesterol= cholesterol
- baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis
- kiharusi =stroke
- udhaifu wa mwili =sexual and body weakness
- kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue
- tonsili =tonsillitis
- vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)
- mafua/homa =colds, flu & fever
- kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep)
- kichome kwenye roho= heartburn
- kidonda tumboni =stomach ulcer
- kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation
- kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism
- kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)
- magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)
- kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain)
- maradhi ya moyo =heart disease
- saratani= cancer
stress- mkazo wa moyo
- usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period
HAYA WAKUU KUNYWENI MAJI YA UVUGUVUGU KILA SIKU ASUBUHI MCHANA NA USIKU YANATIBU MARADHI MENGI SANA.
Hakuna dawa tamu
Mkuu kahtaan Jaribu kuni understand me nimesema Maji ya Uvuguvugu yanatibu hayo Maradhi niliyoHapa jamaa yangu MziziMkavu utasababisha hivi viji hospitali binafsi vifungwe kwa kukosa wateja!
Manake wabongo wanavyo penda vya mteremko! Duhhh!
Mi naona watadhurika wengi badala ya kupata faida!
Sasa we utaona hata mbongo akigongwa na gari au kuumwa na nyoka pia atakimbilia maji ya uvugu uvugu!
Wewe Unaijuwa hiyo dawa ya Habatil Muluk kazi yake?Au unapenda tu kutaja Dawa wakati kazi yake huijuwi Mkuu kahtaanMi nashauri mwarobaini!
Na habatil muluki!(hii utapata kwenye maduka ya waislamu)
Dawa balaa hizo!
Yaani inatibu magonjwa kama mvua!
Wewe Unaijuwa hiyo dawa ya Habatil Muluk kazi yake?Au unapenda tu kutaja Dawa wakati kazi yake huijuwi Mkuu kahtaan
Chemiker nadhani huu ushauri wa kuoga tu bila dawa ya ziada sidhani km utawafaa wengi!
Kuna watu wanakunywa ile gongo ya moshi! Kuondoa stress lakini wapi!!
Sasa kama kichwa hakiskii gongo hayo maji ya uvugu×2 si itakuwa unamtania tu!?
Kuna vichwa vingine vishakuwa ngangali!
Leteni mbadala km maji yamekataa!