Je, kuna ukweli katika hili?

Je, kuna ukweli katika hili?

Inawezekana ikawa ni moja ya tiba! Ila hapo kwenye ''bracket am afraid to utter a word.'' Ila nimekupata! @ kahtaan



Mi nashauri mwarobaini!

Na habatil muluki!(hii utapata kwenye maduka ya waislamu)

Dawa balaa hizo!

Yaani inatibu magonjwa kama mvua!
 
Wasalaam,

Hivi majuzi nilikuwa nasikiliza mada iliyokuwa inatolewa na mtaaalamu mmoja wa saikolojia,
alikuwa anazungumzia suala la Mzio (stress). Msikilizaji mmoja akauliza, tangu baba yake afariki Dunia amekuwa hapati usingizi kabisa je ni mojawapo ya dalili za stress na tiba yake ni nini? .

Mtaalamu alijibu Ndiyo, ni moja ya dalili za stress ila Katika moja ya majibu aliyotoa mtaalamu huyu ni kuwa maji ya uvuguvugu( warm water) ni moja ya tiba za stress

Je, kuna ukweli katika hili kwamba maji ni tiba ya stress?:help:

Asante kwa taarifa na ushaur wenye tiba.

ila mzio ni allergy sio stress kama wewe ulivyoweka hapa.

ahsante.
 
Asante carter kwa 'correction' nilipitiwa kidogo, ni Kweli Mzio= Allergy na Msongo=stress.



Asante kwa taarifa na ushaur wenye tiba.

ila mzio ni allergy sio stress kama wewe ulivyoweka hapa.

ahsante.
 
Yaani wewe jamaa ni mdini hadi ndala zako nahisi zinaweza kugoma kuvaliwa na mtu asie muislamu!
Maduka ya waislamu ndo yapi hayo?!

Teh teh teh teh!
King'asti maneno yako mara nyingine yananipa raha kwa sana!

Nimeamua kukupa na ka "like" ka haraka haraka!

Wala mi si mdini ki hivyo ila kusema kuwa maduka ya waislamu nina maana maduka ya dawa za kiarabu yalioko kariakoo!

Ha ha ha ha!
Wala uskonde bibie! Mi na wasio na dini mbona hata msosi tunapiga pamoja!?

Yaani tukiwa na ma aunt km wewe kumi hivi humu jf, mbona ingekuwa ni kucheka tu!?
 
Last edited by a moderator:
c.c King'asti Tangu nizaliwe sijawahi kupata stress hata dalili zake sijawahi zipata!Ila siku chache zilizopita baada ya kuandika hii post, nilipatwa na maswahibu yaliyopelekea nipate stress. Kweli stress ni balaa asikwambie mtu, hufanyi kitu chochote cha maana! Asubuhi na mapema nilioga na 'warm water' kisha nikaonana na psychologist amini uisamini, nilirudi home mwepesi na maisha yalienda kama kawa baada ya siku 3 tu. Kila nilipokuwa nikiogea maji ya uvuguvugu nilipata 'relief' flani. Warm water ni moja ya Natural therapy nzuri sana, kwa kuoga na kunywa.
Chemiker nadhani huu ushauri wa kuoga tu bila dawa ya ziada sidhani km utawafaa wengi!
Kuna watu wanakunywa ile gongo ya moshi! Kuondoa stress lakini wapi!!

Sasa kama kichwa hakiskii gongo hayo maji ya uvugu×2 si itakuwa unamtania tu!?
Kuna vichwa vingine vishakuwa ngangali!

Leteni mbadala km maji yamekataa!
 
Last edited by a moderator:
[h=2]Muujiza ya matibabu kwa maji ya Uvuguvugu kunywa[/h]
magonjwa yanatibiwa na maji ya moto

- pumu= asthma


- shinikizo la damu= hbp


- migraine / kichwa= migraine/ headache


- ugonjwa wa sukari= diabetes


- upungufu wa damu= anemia


- maumivu nyuma= back pain


- mawe katika figo= urinary calculus


- maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection


- cholesterol= cholesterol


- baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis


- kiharusi =stroke


- udhaifu wa mwili =sexual and body weakness


- kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue


- tonsili =tonsillitis


- vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)


- mafua/homa =colds, flu & fever


- kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep)


- kichome kwenye roho= heartburn



- kidonda tumboni =stomach ulcer


- kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation


- kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism


- kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)


- magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)


- kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain)


- maradhi ya moyo =heart disease


- saratani= cancer


stress- mkazo wa moyo


- usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period


HAYA WAKUU KUNYWENI MAJI YA UVUGUVUGU KILA SIKU ASUBUHI MCHANA NA USIKU YANATIBU MARADHI MENGI SANA.

Hapa jamaa yangu MziziMkavu utasababisha hivi viji hospitali binafsi vifungwe kwa kukosa wateja!

Manake wabongo wanavyo penda vya mteremko! Duhhh!

Mi naona watadhurika wengi badala ya kupata faida!

Sasa we utaona hata mbongo akigongwa na gari au kuumwa na nyoka pia atakimbilia maji ya uvugu uvugu!
 
Last edited by a moderator:
Hapa jamaa yangu MziziMkavu utasababisha hivi viji hospitali binafsi vifungwe kwa kukosa wateja!

Manake wabongo wanavyo penda vya mteremko! Duhhh!

Mi naona watadhurika wengi badala ya kupata faida!

Sasa we utaona hata mbongo akigongwa na gari au kuumwa na nyoka pia atakimbilia maji ya uvugu uvugu!
Mkuu kahtaan Jaribu kuni understand me nimesema Maji ya Uvuguvugu yanatibu hayo Maradhi niliyo

orodhesha hapo juu sikusema Maji ya Uvuguvugu yanatibu eti Mtu akigongwa na Gari atumie Maji ya Uvuguvugu. Ukiweza

kuniamini niamini usipoweza kuniamini hayo ni Majangaa yako mwenyewe, ukiumwa wewe nenda Hospitali kamuone Daktari kwa

wale wasiokuwa na uwezo wa kuwaona Ma-Daktari ndio wanaweza kutumia hayo Maji ya Uvuguvugu kama Dawa kwa

hayo Maradhi niliyo Orodhesha hapo kazi kwako Mkuu kahtaan. Kwa Ushahidi ya kuwa Mjai ni Dawa soma hapa chini.

Qur'ani Tukufu SURA 21-30. Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini?




TAFSIRI YA QUR'AN Tukufu SURA 21-30

30. Wenye kukufuru wamepofuka, na hawaoni kuwa mbingu na ardhi hapo mwanzo zilikuwa zimeshikamana. Kwa uwezo wetu tukazibambandua mbali mbali. Na tukajaalia kutokana na maji, ambayo hayo si kitu hai, kila chenye uhai kutokana na hayo hayo. Basi je! Baada ya yote haya wangali kupuuza tu, na hawaamini kuwa bila ya shaka yoyote hapana mungu isipo kuwa Sisi?

"Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na

tukajaalia kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini?" Aya hii ina maana ya kisayansi yenye kutilia nguvu nadhariya

ya ilimu za kisasa katika kuumbwa sayari na ardhi. Nayo ni kuwa mbingu na ardhi asili yao zilikuwa zimeshikamana. Na

ukweli wa sayansi zinazo kubaliwa ni kuwa hakika ziliambatana, na sayansi mbali mbali zinathibitisha hayo. Na zipo

nadhariya nyengine kadhaa wa kadhaa ambazo kwazo zaweza kuelezea dhaahiri ya mambo haya. Lakini bado kuthibiti

nadhariya mojapo kwa njia ya mkato kwa wanazuoni kwa kuwafikiana wote. Kwa kuonyesha mfano tutaja nadhariya mbili:


Nadhariya ya Kwanza: Imekhusu kuumbwa kwa mfumo wa jua (Solar System). Kwa mfano imethibiti kuwa mawingu

au umande ulio zunguka jua ulianza kuenea kwenye anga lilio baridi, na chembechembe za gasi zinazo fanya hayo

mawingu au moshi zikakusanyika kwenye chembechembe za vumbi linalo kwenda kwa kasi kubwa. Kisha

chembechembe hizo zikawa zinagongana na zinarindika, na huku ndani yake zikawamo gasi nzito, na kukazidi

kurindika na kujumuika kwa kupita mamilioni na mamilioni ya makarne mpaka zikafanyika sayari na mwezi na ardhi

kwa umbali unao stahiki. Na yajuulikana kuwa huko kukusanyika na kurindika huzidisha mbinyo (Pressure), na huo

huzidisha joto. Na gamba la ardhi lilipo ingia kupoa, na wakati zilipo ripuka volkano ardhi ikapata mvuke wa maji na

gasi ya Carbon dioxide ilio tokana na miripuko ya volkano...na katika iliyo saidia kupatikana Oxygen katika hewa baada

ya hapo ni nishati na nguvu za miyale ya jua kwa njia ya mwanga juu ya mimea na majani ya mwanzo.

Ama Nadhariya ya Pili: Imekhusiana na uumbaji wa ulimwengu kwa jumla, ambao kwa mukhtasari unaelezwa na kauli

yake Mtukufu: "Zilikuwa zimeambatana", yaani zimeshikamana na kuwa kitu kimoja. Na hayo ndiyo yaliyo fikilia mwishoni ilimu za sayansi katika uumbaji wa ulimwengu. Nayo ni kwamba kabla ya kufikilia sura yake hii ya sasa

ulikuwa kama donge lilio kusanyika lenye kutisha, la mkusanyiko wa chembechembe zenye kuambatana chini ya

mbinyo pressure, hata akili haiwezi kuifikiria. Na hizi sayari zote na nyota zilioko mbinguni hivi leo tunazo ziita mfumo

wa jua solar system zilikuwa ni mkusanyiko wa donge moja lisilo zidi 1/2 diameter yake maili milioni tatu. Na neno

lake Mwenyezi Mungu: "Tukazibambandua" linafahamisha ule mripuko mkubwa wa mwanzo wa ki-nuclear ukazalisha uumbaji wa anga na sayari za namna mbali mbali tunazo ziita kwa pamoja "Mfumo wa Jua" au Solar System.


"Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai": Aya hii imethibitisha uhakika wa kisayansi ulio thibitishwa na ncha

mbali mbali za ilimu. Imethibitisha Cytology, sayansi ya "cells", (khalaya), kwamba maji ni muhimu kabisa katika

ujengaji wa "cells" zote za vitu vilivyo hai, ikiwa mimea au wanyama. Na ilimu ya "Kimyaa", Chemistry kwamba maji

ni lazima yapatikane katika vitendo na mageuko yoyote katika viumbe vilivyo hai. Basi hayo maji ama yawe ni kiungo,

kitu cha kusaidia, au cha kuwamo ndani ya kitendo, au ni matokeo yake.



Na imethibitisha ilimu ya viungo physiology kwamba maji ni dharura kwa viungo kufanya kazi yao. Bila ya hayo maji hautodhihiri uhai katika viungo.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Unaijuwa hiyo dawa ya Habatil Muluk kazi yake?Au unapenda tu kutaja Dawa wakati kazi yake huijuwi Mkuu kahtaan

teh teh teh!
baba MziziMkavu hio dawa balaa! yaani wewe usiulize maswali mengi!
nilitaka watz waijaribu kidogo wanipe ripoti yake!
 
Last edited by a moderator:
Naam kahtaan, Maji hayo ni sehemu tu ya tiba, bali kuna vitu vingi mtu anapaswa kufanya: hii ni pamoja na kupata darasa la ushauri wa kisaikolojia(clinic) na Vidonge( vya anti-pleasant). kwa pamoja vitapelekea kupunguza tatiza. Stress ni kama mzigo, hivyo unapotaka kuutua lazima uombe mtu akusaidie.


Chemiker nadhani huu ushauri wa kuoga tu bila dawa ya ziada sidhani km utawafaa wengi!
Kuna watu wanakunywa ile gongo ya moshi! Kuondoa stress lakini wapi!!

Sasa kama kichwa hakiskii gongo hayo maji ya uvugu×2 si itakuwa unamtania tu!?
Kuna vichwa vingine vishakuwa ngangali!

Leteni mbadala km maji yamekataa!
 
Back
Top Bottom