mume wa mtu
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 653
- 386
Wakati tunakua,kulikuwa na UVUMI kwamba magari aina ya RANGE ROVER ndio yalikuwa magari yenye kasi kuliko yote kwa wakati huo kiasi kwamba yalikuwa hayaruhusiwi kupaki karibu na benki,je?uvumi huu ulikuwa na ukweli wowote?View attachment 350225 View attachment 350224
Sio magari ya miaka ya hivi karibuni,ni miaka ya zamani kidogo,hata ukiangalia kwenye picha hapo utajua.Mkuu Hujasikia Habari Hata VX V8 Speed 240
Kwasasa Hayo Siyo Tishio Tena Yapo
Mengi Ferrari
kumbe ni kweli?Hilo ni jibu sahihi
hapana,umekosea,sidhani kama waliozaliwa miaka ya 90+ wanaijua habari hiiBila shaka wewe umezaliwa miaka ya 90+
Kuna wengine Wakati wanakua PEJERO ILIKUWA HAIRUHUSIWI BANKWakati tunakua,kulikuwa na uvumi kwamba magari aina ya RANGE ROVER ndio yalikuwa magari yenye kasi kuliko yote kwa wakati huo kiasi kwamba yalikuwa hayaruhusiwi kupaki karibu na benki,je uvumi huu ulikuwa na ukweli? wowote?View attachment 350225 View attachment 350224
Nadhani waliozaliwa miaka ya 70 ndio walikuwa na hiyo habariBila shaka wewe umezaliwa miaka ya 90+
Hii ndi itakamatwa mapemaboughtti ndo speed mwisho!!
408.84 km/h ona speed hiyo!!
haha haaa,inawezekana.mm nakumbuka miaka ya 90 tuliambiwa hata deefender haziruhusiwiπππππ
Lakini ninavyojua horse power sio kasi,kipimo cha horse power ni nguvu maana farasi ni moja ya wanyama waliotumika kwenye kazi hasa kazi za nguvu.kama benk haviruhusiwi kukaa vitu viandavyo kasi basi nadhani tusifikirie magari kwa sababu farasi ana mbio kweli.Hamjui kwanini kuna measurement ya hores power?.mwisho kabisa nauza farasi wadogo ila sio uje uchukue ufanyie wizi...
Boxer BM 150 ni funga kazi.Kweli ila kwa sasa ni boxer
Dar mwanza masaa mawili na nusuboughtti ndo speed mwisho!!
408.84 km/h ona speed hiyo!!