Je, Kuna ukweli kuhusu uvumi wa magari aina ya range rover miaka ya 1980s?

kama benk haviruhusiwi kukaa vitu viandavyo kasi basi nadhani tusifikirie magari kwa sababu farasi ana mbio kweli.Hamjui kwanini kuna measurement ya hores power?.mwisho kabisa nauza farasi wadogo ila sio uje uchukue ufanyie wizi...
Uko wapi na bei tsh ngapi?
 
kama benk haviruhusiwi kukaa vitu viandavyo kasi basi nadhani tusifikirie magari kwa sababu farasi ana mbio kweli.Hamjui kwanini kuna measurement ya hores power?.mwisho kabisa nauza farasi wadogo ila sio uje uchukue ufanyie wizi...
Mkuu upo wapi???
 
M nakumbuka miaka ya 2000 to 2005 apo izo range rover zlikuwa tishio na ndo stor mtaani zlikuwa ivo unaambiwa inakimbizana adi na helicopter asee
 
Hiyo ilikuwa kali aisee!!!
 
kama benk haviruhusiwi kukaa vitu viandavyo kasi basi nadhani tusifikirie magari kwa sababu farasi ana mbio kweli.Hamjui kwanini kuna measurement ya hores power?.mwisho kabisa nauza farasi wadogo ila sio uje uchukue ufanyie wizi...

Mkuu Horse Power ni measurement ya Pulling, sio kasi. Hii ilitokana na magari ya zamani kutumia engine ambazo ni falasi, kuna yale ya farasi mmoja (1 hp), ya farasi wawili (2hp) na kuendelea. So sio kasi ila ni nguvu.
Mfano ukiona gari wanasema engine yake ina horsePower 212 maana yake nguvu yake ni sawa na uchukue wale farasi imara wenye nguvu 212 wawe wanavuta kitu kwa wakati mmoja.
 
Hii habari nilikuwa nikiisikia pia kwamba gari hizi haziruhusiwi kupark benki. Wakuu, mdau anazungumzia range rover old model
 
Mkuu Horse Power ni measurement ya Pulling, sio kasi. Hii ilitokana na magari ya zamani kutumia engine ambazo ni falasi, kuna yale ya farasi mmoja (1 hp), ya farasi wawili (2hp) na kuendelea. So sio kasi ila ni nguvu.
Mfano ukiona gari wanasema engine yake ina horsePower 212 maana yake nguvu yake ni sawa na uchukue wale farasi imara wenye nguvu 212 wawe wanavuta kitu kwa wakati mmoja.
Uko sawa mkuu
 
Kwakweli habari ya haya magari ndio imenifanya niendelee kuyapenda hata NEW MODEL zake,na ningekuwa na uwezo natamani kumiliki moja.
 
Hapo dubai niliona range autobiography ya mwaka 2013 imetembea km 34000 bei yake ni ndogo kinoma usd 17,000 ila ile gari ni kali kichiz aisee. Tatizo ushuru wa TRA hapo ndo shida zaidi
 
kama benk haviruhusiwi kukaa vitu viandavyo kasi basi nadhani tusifikirie magari kwa sababu farasi ana mbio kweli.Hamjui kwanini kuna measurement ya hores power?.mwisho kabisa nauza farasi wadogo ila sio uje uchukue ufanyie wizi...
Bei yao ikoje mkuu
 
Hapo dubai niliona range autobiography ya mwaka 2013 imetembea km 34000 bei yake ni ndogo kinoma usd 17,000 ila ile gari ni kali kichiz aisee. Tatizo ushuru wa TRA hapo ndo shida zaidi
Ukiileta bongo unaweza ukaikimbia,maana ushuru utazidi bei ya kununulia.
 
Back
Top Bottom