Uko wapi na bei tsh ngapi?kama benk haviruhusiwi kukaa vitu viandavyo kasi basi nadhani tusifikirie magari kwa sababu farasi ana mbio kweli.Hamjui kwanini kuna measurement ya hores power?.mwisho kabisa nauza farasi wadogo ila sio uje uchukue ufanyie wizi...
hv kwann boxer inatumika kweny matukio sana juz wamemuua sijui nan wameenda na boxer na XR 250 zko nyng tuBoxer BM 150 ni funga kazi.
Hujaelewa swali.Mkuu Hujasikia Habari Hata VX V8 Speed 240
Kwasasa Hayo Siyo Tishio Tena Yapo
Mengi Ferrari
[emoji1] mkuu huwezi kutembea hiyo spidi, labda wakutolee gari zote njiani, hata hivyo hutatembea huo mwendo.Dar mwanza masaa mawili na nusu
Mkuu upo wapi???kama benk haviruhusiwi kukaa vitu viandavyo kasi basi nadhani tusifikirie magari kwa sababu farasi ana mbio kweli.Hamjui kwanini kuna measurement ya hores power?.mwisho kabisa nauza farasi wadogo ila sio uje uchukue ufanyie wizi...
Hiyo ilikuwa kali aisee!!!M nakumbuka miaka ya 2000 to 2005 apo izo range rover zlikuwa tishio na ndo stor mtaani zlikuwa ivo unaambiwa inakimbizana adi na helicopter asee
Siyo helucopter ni edikopta...........Hiyo ilikuwa kali aisee!!!
Duuuh atakuja kifimbo cheza ff kukusahihishaSiyo helucopter ni edikopta...........
kama benk haviruhusiwi kukaa vitu viandavyo kasi basi nadhani tusifikirie magari kwa sababu farasi ana mbio kweli.Hamjui kwanini kuna measurement ya hores power?.mwisho kabisa nauza farasi wadogo ila sio uje uchukue ufanyie wizi...
sijaisikia hiiSasa hivi ni toyo na boxer haziruhusiwi kupark bank zikiwa silence.
Uko sawa mkuuMkuu Horse Power ni measurement ya Pulling, sio kasi. Hii ilitokana na magari ya zamani kutumia engine ambazo ni falasi, kuna yale ya farasi mmoja (1 hp), ya farasi wawili (2hp) na kuendelea. So sio kasi ila ni nguvu.
Mfano ukiona gari wanasema engine yake ina horsePower 212 maana yake nguvu yake ni sawa na uchukue wale farasi imara wenye nguvu 212 wawe wanavuta kitu kwa wakati mmoja.
Kwakweli habari ya haya magari ndio imenifanya niendelee kuyapenda hata NEW MODEL zake,na ningekuwa na uwezo natamani kumiliki moja.
Bei yao ikoje mkuukama benk haviruhusiwi kukaa vitu viandavyo kasi basi nadhani tusifikirie magari kwa sababu farasi ana mbio kweli.Hamjui kwanini kuna measurement ya hores power?.mwisho kabisa nauza farasi wadogo ila sio uje uchukue ufanyie wizi...
Ukiileta bongo unaweza ukaikimbia,maana ushuru utazidi bei ya kununulia.Hapo dubai niliona range autobiography ya mwaka 2013 imetembea km 34000 bei yake ni ndogo kinoma usd 17,000 ila ile gari ni kali kichiz aisee. Tatizo ushuru wa TRA hapo ndo shida zaidi