Je kuna ukweli kwamba ukiweza kuiongoza subconscious mind unaweza kupingana dhidi ya nguvu za giza?

Neno la Kiswahili 'akili' likitafsiriwa kama " subconscious mind' itakuwa sahihi zaidi,kuliko kulitafsiri 'mind'.
Badala ya kusema 'mind' ukisema "subconscious mind' utapata mafanikio zaidi katika kutafakari.
Tahadhari ni kwamba subconscious mind haina "intelligence",kwa hiyo una-risk kuwa robot,automaton,zombie.
 
Infinite intelligence ni nini na unajuaje ni infinite?
Hii ni nguvu ya asili haionekani lakini ipo, haina mipaka popote ipo(space & time) yaani jambo la kutokea mwakani huko yenyewe inaishinalo muda huu,

Ni infinite kwasababu hakuna kitu kipo nje ya uwezo wake, unaweza ukahisi si kweli hisia hizi ni kwasababu ya physical world yetu hii tumeubwa na hii miili ili tu kua-adaptable na mazingira ya duniani. Lakini roho zetu zinauwezo zaidi ya huu ni vile tu zimeungana na miili.
Anyway ni masuala ya imani na kama utakua na imani kubwa inamaana wewe unauwezo mkubwa wa kuishawishi subconscious mind yako ku code matakwa yako na kuyawakilisha kwa nguvu ya asili.

Nguvu ya asili namna itakavyolishugulia suala lako haijalishi kubwa baya sana au limekaa vibaya sana kiasi kwamba kibinadamu unaona kabisa mwamba hapa hachomoki lakini suluhisho lazima lipatikane.

Kuamini haya mambo ni hadi yakutokee maishani, mtu akija na maneno matupu unaweza ukazani hawa ndio wale wale walokole.

Kama una kumbukumbu vizuri kwa umri wako hadi ulipofika Sasa lazima ulikutana na changamoto iliyokutatiza sana, Sasa je? Ulivuka vipi ile changamoto/iliishajeishaje Yani.?
 
Hii ni nguvu ya asili haionekani lakini ipo, haina mipaka popote ipo(space & time) yaani jambo la kutokea mwakani huko yenyewe inaishinalo muda huu,

Ni infinite kwasababu hakuna kitu kipo nje ya uwezo wake, unaweza ukahisi si kweli hisia hizi ni kwasababu ya physical world yetu hii tumeubwa na hii miili ili tu kua-adaptable na mazingira ya duniani. Lakini roho zetu zinauwezo zaidi ya huu ni vile tu zimeungana na miili.
Anyway ni masuala ya imani na kama utakua na imani kubwa inamaana wewe unauwezo mkubwa wa kuishawishi subconscious mind yako ku code matakwa yako na kuyawakilisha kwa nguvu ya asili.

Nguvu ya asili namna itakavyolishugulia suala lako haijalishi kubwa baya sana au limekaa vibaya sana kiasi kwamba kibinadamu unaona kabisa mwamba hapa hachomoki lakini suluhisho lazima lipatikane.

Kuamini haya mambo ni hadi yakutokee maishani, mtu akija na maneno matupu unaweza ukazani hawa ndio wale wale walokole.
Kama una kumbukumbu vizuri kwa umri wako hadi ulipofika
Hapa hujathibitisha hiyo infinite intelligence ipo.

Umehubiri dini yako mpya uliyojitungia tu.
 
If I was of any two minds on whether to chip in or not on this charade of ill defined endeavors, your thinly veiled and feeble attempt at baiting me just sealed the deal on my sitting this one out.

You are inhabiting that unfunny jester bent on attracting the attention of everybody towards frivolous frolicking in fantastic flaccid follies with daily deliberate displays of decadent damp didies in ritualistic raves of vapid vanities, vulgar verve and all manners of vivacious, vile and vitriolic vomit.
Duh! Nilidhani najua kiingereza kumbe bado sana[emoji3]
 
Hapa hujathibitisha hiyo infinite intelligence ipo.

Umehubiri dini yako mpya uliyojitungia tu.
Mkuu hii nguvu ipo we tenga muda wako vizuri dig deeper kwenye subconscious mind na namna inavyofanya kazi halafu practice.

Kama utapractice anza na hii ya kusaidia mtu mwenye uhitaji eidha kitu fulani au pesa, na unapofanya haya usitumie logic saana we fanya na amini tu. Mfano, Unakuta mwanama anamtoto mgongoni anakuomba msaada usianze kujiuliza kwani huyu mtoto si ana baba yake au kwanini kazaa wakati anajua hajiwezi kiuchumi...
We msaidie kiasi kizuri tu hata kama hauko vizuri kiuchumi utaona matokea.
 
Mkuu,

Mimi nimeanza kusoma haya mambo kitambo sana. Zaidi ya miaka 30 iliyopita.

So, mpaka hapa hujaniambia kitu kipya ambacho sijawahi kukisoma.

Nimekuuliza swali dogo, hujaweza kulijibu.

Infinite Intelligence ni nini na unajuaje ni infinite?

Hujajibu swali hili, unapiga abracadabra tu.
 
If I was of any two minds on whether to chip in or not on this charade of ill defined endeavors, your thinly veiled and feeble attempt at baiting me just sealed the deal on my sitting this one out.

You are inhabiting that unfunny jester bent on attracting the attention of everybody towards frivolous frolicking in fantastic flaccid follies with daily deliberate displays of decadent damp didies in ritualistic raves of vapid vanities, vulgar verve and all manners of vivacious, vile and vitriolic vomit.
Hiki kiingereza ulijifunzia wapi
 
Hizo nguvu za giza ni vitu gani... Aise namna ya kupambana na matatizo ni kupitia sayansi tuu
 
Mkuu,

Mimi nimeanza kusoma haya mambo kitambo sana. Zaidi ya miaka 30 iliyopita.

So, mpaka hapa hujaniambia kitu kipya ambacho sijawahi kukisoma.

Nimekuuliza swali dogo, hujaweza kulijibu.

Infinite Intelligence ni nini na unajuaje ni infinite?

Hujajibu swali hili, unapiga abracadabra tu.
Basi tuupe muda muda maelekezo yanajitosheliza ingawa hayajaelezea moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom