Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 May 22, 2024 #1 Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyengine ya wiki?
Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyengine ya wiki?
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 May 22, 2024 #2 hata kufa pia nasikia watu wengi hufa hiyo siku kuliko zingine
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 May 22, 2024 #3 Mkalukungone mwamba said: Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyengine ya wiki? Click to expand... Kazi zipi? Au unaongelea wezi wa peni?
Mkalukungone mwamba said: Je, kuna ukweli watu wengi hufanya kazi kwa bidii zaidi siku ya Jumanne tofauti na siku nyengine ya wiki? Click to expand... Kazi zipi? Au unaongelea wezi wa peni?
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 May 22, 2024 #4 Jumanne siku ya uhakika wa maokoto ( rushwa)
Anko Bantu JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 832 Reaction score 1,034 May 22, 2024 #5 Duuh wakati kuna watu hawafungui biashara siku ya jumanne,kuna KE alisema j4 ni siku ya mikosi hawezi fungua biashara
Duuh wakati kuna watu hawafungui biashara siku ya jumanne,kuna KE alisema j4 ni siku ya mikosi hawezi fungua biashara
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Oct 30, 2024 #6 Jumanne