Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?

Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?

Joined
Jan 16, 2019
Posts
14
Reaction score
18
Nimepata kuwasikia baadhi wa mashabiki wengi wa timu tofauti tofauti wengine wakiwa miongoni mwa mashabiki wa Simba wengine nje ya Simba na baadhi ya wachambuzi wkisema TFF haopo sahihi kwenye uwamuzi wa kuipeleka mechi ya Simba na KMC kuchezwa Arusha kutokana na muda wa utoaji taarifa. Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili???
 
Ni utopolo tu ndo wanatoa hiyo kauli, wapumbavu wachache wasituhalibie mpira wetu, Yanga ni majinga sana, mapumbavu mno. Ushindi wa bahasha unafanya wajivunee mno ilihali hawana lolote.

Akhsante​
 
Back
Top Bottom