HABAR WADAU hope wote mpo poa
Leo nina maswali mengi sana wadau nilitaka nifungue uzi mmoja niweke mada zote ila nikaona nitawachanganya wadau ngoja nifungue kila kitu na uzi wake uzi huu niliwahi kuuandika apo nyuma sema sikuwa na screenshoot ivo mada ikakosa mashiko leo sasa twende pamoja pia wadau mtani samehe kwa mwandiko natumia ms word ukiweka Kiswahili as proofing languange baadhi ya maneno hawayacorrect vizuri na hio pia ni kesi nyingine SIJUI niweke nini kwenye m word ili niwe na type kwa raha pale ninapoandika thread za Kiswahili
Mimi bado sipo vizuri sana kwenye coding na bado ni km najifunza sasa kuna sehemu nimekwama wadau naomba mnisaidie samahani km nitakuwaa msumbufu au nauliza kitu ambacho kinawachanganya mm nimejifunza vitu vingi ndani ya coding lakini shida ni kuviunganisha na kuanza kufanya Project km kudesign system na kazalika
Swali langu la kwanza ni hili je kuna ulazima wa developer kujua kila component za VISUAL STUDIO IDE na kazi zake ?
Hapa naomba mnielewe vzr simaanish kujua kila component specificallly NO !!!!! kujua generally kujua kwa ujumla li utapokiona sehemu usipate mashaka nacho
Eg. Programming languages huwezi kuzijua zote ila ukijua tu majina yake na kazi zake imetosha ivo ukipita sehemu ukaona
F# , C# , java hushangai
Sasa nimeweka picha apa hizi ni individual component nataka tuzijua kwa ujumla ili tujue kazi zake na isipokuwepo IDE haitaweza kufanya kazi gani
Mfano vity hivi vina kazi gani
RUNTIME
FRAMEWORK
SDK
TARGETING PACK
DEVELOPMENT TOOL
Zengine nadhani mnaziona tujuzane tu kazi zake kiujumla ni zipi