Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 137
kwanini kumepitwa na wakati?
Ila labda tuseme mwanamke na mwanaume wanaoana.
Thats exactly my point.Ukiaddress issue ya nani anabadili jina bila kuangalia structure nzima ya ndoa, utakuwa unampa dawa ya kikohozi mtu mwenye TB, unaaddress symptoms badala ya kuangalia ugonjwa wenyewe.
Kwa nini mwanamke anachukua jina la ukoo wa mwanaume? Kwa sababu mwanamke "anaolewa".S asa hata ukibadilisha asichukue jina la ukoo wa mwanaume, lakini akabaki "anaolewa" unakuwa hujabadili kitu kikubwa, ni cosmetic change tu kama CCM ilivyosema inaleta siasa ya vyama vingi kwa kubadili sentensi chache katika katiba bila kufanya institutional changes (sorry I had to inject a political example, however relevant it still has the potential explosive nature that could possibly derail us, I hope not)
But the bigger point is, ndoa tuiangalie kama partnership ya equals, tukiweza hili haya mambo ya majina yataondoka yenyewe, au hata kama yatabaki yatakuwa mainly symbolic.
Lakini kwa structure ya sasa ambapo mwanamke "anaolewa", hata kama tukifanya kila mtu abaki na jina lake, mwanamme akaendeleza mfumodume, tutakuwa hatujabadili chochote cha msingi.
Lakini wanawake nao wakae wakielewa "Noblesse Oblige".