Usaili ni mchakato au utaratibu wa kuuliza na kujibu maswali ili kupata taarifa au kuchunguza sifa, ujuzi, au uwezo wa mtu fulani. Usaili hutumika mara nyingi katika ajira, ambapo mwajiri anawahoji waombaji wa kazi ili kubaini kama wanafaa kwa nafasi fulani. Pia, usaili unaweza kufanywa kwa madhumuni mengine kama vile utafiti au kutafuta habari.Leta hoja yako, ijikite kwenye
1.Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa.
2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi
3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili
4.Bajeti za wizara kutekeleza usaili.
5.Hitimisho.
Usaili wa siku moja unatosha kumpima mtu kuliko vyeti yake vya kitaaluma? kumbuka katoka form4, six, cheti au diploma, degree, je dk 30 za usahili zinatosha kweli kumpima mtu huyo??Usaili ni mchakato au utaratibu wa kuuliza na kujibu maswali ili kupata taarifa au kuchunguza sifa, ujuzi, au uwezo wa mtu fulani. Usaili hutumika mara nyingi katika ajira, ambapo mwajiri anawahoji waombaji wa kazi ili kubaini kama wanafaa kwa nafasi fulani. Pia, usaili unaweza kufanywa kwa madhumuni mengine kama vile utafiti au kutafuta habari.
Zama zimebadilika muajiri anahitaji efficient individuals , si cheti au ufaulu mkubwa maana hivyo haviendi kufanya kazi, but efficiency ya mtu
Kwa baadhi ya kada usaili nikupoteza rasilimali fedha, fedha za walipa kodi.Tuanze na ww, kwann unataka wasifanye usaili?
Ila kada zingine zinazofanya usaili sio kupoteza fedha za walipa kodi?Kwa baadhi ya kada usaili nikupoteza rasilimali fedha, fedha za walipa kodi.
Ahsante Sana Kwa mjadala huu mzuri.Leta hoja yako, ijikite kwenye
1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa.
2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi
3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili
4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili.
5. Hitimisho.
Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine
Waajirwa wa afya Kuna bodi zetu husika Kama pharmacy council, Kila mwanataaluma ana leseni yake ya kazi, Kila mwaka anailipia na pia hufanya CME/CPD Ili kushikilia leseni yake. Hivyo yoyote mwenye leseni hai ni mwanataaluma mwenye ujuzi na Yuko vizuri.Leta hoja yako, ijikite kwenye
1. Kwanini miaka mingi kada hizi hazikuwa na usaili isipokuwa sasa.
2. changamoto kiujumla za Mchakato wa usaili kwa kada hizi
3. Faida ya kufanya na kutofanya usaili
4. Bajeti za wizara kutekeleza usaili.
5. Hitimisho.
Soma Pia: Kada ya Ualimu na Afya wafanyiwe usaili wakati kaujiriwa kama ilivyo kada zingine
Vyeti vya kitaaluma its easy kupata, but utendaji is rare, is why saili zinaouwa kwneye hatua ratu au zaidi.Usaili wa siku moja unatosha kumpima mtu kuliko vyeti yake vya kitaaluma? kumbuka katoka form4, six, cheti au diploma, degree, je dk 30 za usahili zinatosha kweli kumpima mtu huyo??
Yale yale yampka uwe wakili upite SHOOL OF LAW hii nchi ujuaji mwingi ili tu kuwakwamisha wasio na misuli.Ni upumbavu tu na usumbufu
Mtu amehitimu anavyeti, mmempima mkampa na leseni tena usahili wa nn kama mnahisi hana sifa leseni ya nini mlimpa?
Ujinga ni mzigo nchi hii
Mbaya zaid ety n watu wa afya na waalimu π sasa hawa wataweza kuhudumia jamii kama wanaogopa usaili πNgoja niendelee kusoma komenti za kwa nini watu hawapendi usaili na wanauogopa.π€
Sasa,kama wanaogopa na kuichukia interview ya dakika kumi,vipi interview ya kila siku tuifanyayo maishani hadi kufa wataiweza kweli?Mbaya zaid ety n watu wa afya na waalimu π sasa hawa wataweza kuhudumia jamii kama wanaogopa usaili π