P J O
Senior Member
- May 3, 2024
- 189
- 264
Leseni zao zinakuja hai Kwa muda Gani?Wahasibu wana bodi pia,na wanasajiliwa,Enginers wana bodi na wanasajiliwa pia..lakini interview za kazi wanafanya..wewe ni nani usifanye?
Unahitaji kuelewa kua Kila mwaka Kuna CPD (Continuous medical/Pharmaceutical education na CME zinafanywa) na wanataaluma hupimwa ujuzi wao na kama wako below wanafutiwa leseni zao.
Kama wako assessed Kila mwaka na bodi husika ya Nini USAILI. Mwajiri anahitaji kujua Nini kwenye interview wakati mamlaka husika inafajama