Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

We mtu kakaa kitaa kuanzia 2016,
History na Kiswahili visha vapour kichwani,
Ghafla unamuambia interview, hajakaa sawa yupo ujiji kigoma, anatakiwa aende mtwara kwenye history, akitoka mtwara aende mbeya kwenye kiswahili, unadhani atakua sawa?

Hapo alipo anaweza gombana hata na sufuria na vifaranga.

😂😂😂
 
Binafsi usaili nauunga mkono ila sio wa multiple choice ya dk 40 at least mahojiano ya mdomo na practical

Huwezi kupima umahili wa mtu kwa kutumia formative assessment huo ni uwongo
Mkuu, chimbuko la usaili huu ni kupata namna ya kukwepa lawama za watu/wahitimu kukosa ajira. Wanashindwa kuwa wabunifu wa kuwatafutia connection hata nje ya nchi. Watafute nchi zenye uhitaji wa walimu mfano Somo la kiswahili
 
Mimi nilitegemea mfano kada za Afya wangefanyia Usaili kwa Mgonjwa maana ndiyo kazi yake ya kila siku..

Au mwalimu angeenda kutanishwa na wanafunzi..

Kama ni kweli hoja Ilikua ni usaili kwanini wanatumja njia hii ya maswali tu?

Ukiangalia kwa uharaka zoezi hili.. ni kuwa watu wanapaswa waanze kuingia kwenye vituo vya kazi kabla ya mwezi wa 9 haujaisha yaani mwezi wa 10 mwanzoni wawe wameshafika na kuchukua barua zao..

Hivyo wameona urahisi ni kutumia maswali hayo waanze kupunguza watu ikiwa wengi watafaulu sana written/ computer wachukua hata wenye scores ya 70 kuendelea itategemea na ufaulu ..

Mimi nadhani usaili huu haukulenga Moja kwa Moja kumpima.mtu anajua nini ila umelenga kupunguza Idadi kubwa ya watu ili wapate wachache kwa ajili ya kwenda kwenye oral

Kijana kasoma miaka 3 au 5
Kakutana na wagonjwa amefanya mitihani amefaulu miaka yote ameenda kufanya mtihani wa board/ council za taaluma aliyosomea amefaulu na amepewa leseni bado tena unampima ili iweje? Unampima nini? unampima ubora wake kwa maswali? Hiyo leseni kapewa vipi? Kwamba hamziamini hizo board? Na vipi hayo maswali mnayouliza akikosa mnamnyanganya leseni? Mtasema hana ujuzi?

Kama ni usaili kwanini msiwapeleke wakakutanishwa na wagonjwa. ?

Nakama ni waalimu kwanini wasikutanishwe na wanafunzi.?

Hapa utagundua ni Muda.. Wana muda mchache na wafanyakazi wanahitajika kazini.
Mkifata utaaratibu wa usaili hili zoezi lingetumia miezi hata 2 au 3.

Ila wameamua kufanya assessment kwa njia ambayo haukubaliki na wanataaluma wa afya na ualimu

Tatizo la kuchanganya siasa na taaluma

Na nawasikitikia sana wasimamizi wa haya mambo sio wataalumu wa Afya hivyo hawajui ni namna gani wanainajisi Taaluma Hizi za Afya.

Afya na ualimu ni tofauti na kada zingine kabisa @Masculinity
 
We mtu kakaa kitaa kuanzia 2016,
History na Kiswahili visha vapour kichwani,
Ghafla unamuambia interview, hajakaa sawa yupo ujiji kigoma, anatakiwa aende mtwara kwenye history, akitoka mtwara aende mbeya kwenye kiswahili, unadhani atakua sawa?

Hapo alipo anaweza gombana hata na sufuria na vifaranga.

😂😂😂
Sasa mtu kama amesahau mambo ya taaluma yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu sana tangu ahitimu, sasa serikali imuajiri ili akafanye kazi gani? Yaani mtu hana ufahamu wowote, ana vyeti tu, apewe ajira ya nini?
 
yes formative assement et unamfanyia mwalimu na watu wa afya unasema unataka watu bora tuko serious kwelii??? au ndo kutaka taifa liwe la kitapelitapeli tu?? sababu kinachofata hapo ni rushwa na sio kufanya usaili
Mbaga jr na ligi zake anaelewa haya ila kaamua kukaza fuvu analeta kada superiority
 
Sasa mtu kama amesahau mambo ya taaluma yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu sana tangu ahitimu, sasa serikali imuajiri ili akafanye kazi gani? Yaani mtu hana ufahamu wowote, ana vyeti tu, apewe ajira ya nini?
Ndio maana kazini Huwa tuna "On the job training"
 
Hawa waalimu na watu wa afya wana matatizo ya akili aisee, cjui wanajiona wao n akina nani mpaka wasifanye usaili 😂
Labda wanaogopa kugundulika kuwa hawana sifa.

Mtu uliyesomea kwa msuli wako, ukafaulu kihalali, cheti ukapata bila makando kando, na elimu bado ipo kichwani, kwanini uogope usaili?
 
Mbaga jr na ligi zake anaelewa haya ila kaamua kukaza fuvu analeta kada superiority
Huyo Kijana anaharibu mada Sana, kwenye Ile thread ya utumishi Huwa naona analialia amekosa kazi lakini kwa namna alivyo unasita hata kumsaidia

Mambo muhimu analeta ushabiki na anajua kabisa sio kipimo sahihi Cha Taaluma
 
Hiyo ni hoja nyingine, tofauti na hii.
Hapa tunazungumzia kama kuna ulazima wa usaili ili kuajiriwa na sio usaili upi unafaa.
Kulingana na aina ya usaili wanaoufanya hauna tija ni dhahiri kuwa usahili huo haupaswi kuwepo nahisi umepata connection ya hoja yangu
 
Mimi nilitegemea mfano kada za Afya wangefanyia Usaili kwa Mgonjwa maana ndiyo kazi yake ya kila siku..

Au mwalimu angeenda kutanishwa na wanafunzi..

Kama ni kweli hoja Ilikua ni usaili kwanini wanatumja njia hii ya maswali tu?

Ukiangalia kwa uharaka zoezi hili.. ni kuwa watu wanapaswa waanze kuingia kwenye vituo vya kazi kabla ya mwezi wa 9 haujaisha yaani mwezi wa 10 mwanzoni wawe wameshafika na kuchukua barua zao..

Hivyo wameona urahisi ni kutumia maswali hayo waanze kupunguza watu ikiwa wengi watafaulu sana written/ computer wachukua hata wenye scores ya 70 kuendelea itategemea na ufaulu ..

Mimi nadhani usaili huu haukulenga Moja kwa Moja kumpima.mtu anajua nini ila umelenga kupunguza Idadi kubwa ya watu ili wapate wachache kwa ajili ya kwenda kwenye oral

Kijana kasoma miaka 3 au 5
Kakutana na wagonjwa amefanya mitihani amefaulu miaka yote ameenda kufanya mtihani wa board/ council za taaluma aliyosomea amefaulu na amepewa leseni bado tena unampima ili iweje? Unampima nini? unampima ubora wake kwa maswali? Hiyo leseni kapewa vipi? Kwamba hamziamini hizo board? Na vipi hayo maswali mnayouliza akikosa mnamnyanganya leseni? Mtasema hana ujuzi?

Kama ni usaili kwanini msiwapeleke wakakutanishwa na wagonjwa. ?

Nakama ni waalimu kwanini wasikutanishwe na wanafunzi.?

Hapa utagundua ni Muda.. Wana muda mchache na wafanyakazi wanahitajika kazini.
Mkifata utaaratibu wa usaili hili zoezi lingetumia miezi hata 2 au 3.

Ila wameamua kufanya assessment kwa njia ambayo haukubaliki na wanataaluma wa afya na ualimu

Tatizo la kuchanganya siasa na taaluma

Na nawasikitikia sana wasimamizi wa haya mambo sio wataalumu wa Afya hivyo hawajui ni namna gani wanainajisi Taaluma Hizi za Afya.

Afya ni tofauti na kada zingine kabisa
Hoja yako ni tofauti kabisa na hili la mleta mada. Mleta mada anaona hakuna haja kabisa ya usaili, wewe unazungumzia namna usaili ungepaswa kufanyika. Tunapishana hapo.

Okay, kukujibu hilo la hoja yako. Unapaswa kufahamu kuwa, muajiri ndio anatengeneza usaili na sio muomba ajira. Kama mwajiri anaona kuwa, mbali na vyeti, njia bora, rahisi na yenye haki kwake kumfanyia usaili mtu na kupima uwezo wa mhusika kama atamudu kazi yake ni kumpa mtihani wa maswali ya multiple choice 40, huwezi kumlaumu sana, maana ndio kipimo chake cha kutaka kuajiri mtu, muomba ajira ajipange tu kukifikia ili apate hiyo kazi, asilaumu mtu.
 
Labda anaogopa kugundulika kuwa hawana sifa.

Mtu uliyesomea kwa msuli wako, ukafaulu kihalali, cheti ukapata bila makando kando, na elimu bado ipo kichwani, kwanini uogope usaili?

Alisomea taaluma ya Engineering usaili wake ni wa karatasi?

Alisomea taaluma ya urubani usaili wake ni wa karatasi tu?

Kinachodaliwa hapa ikiwa unahitaji usaili uwepo usaili uwe ni wa Vitendo kulingana na taaluma
Kama ni afya akutanishwe na mgonjwa
Kama ni mwalimu akutanishwe na wanafunzi

Usaili tofauti na huo ni batili
Maana unajuaa hauna lengo la kumpima mtu.

kosa la utumishi ni muda mchache waliopewa na Idadi kubwa ya wahitimu ndio sababu haya unayaona September hii watu watapangiwa maeneo ya kazi October kazi inaanza
 
Mimi nilitegemea mfano kada za Afya wangefanyia Usaili kwa Mgonjwa maana ndiyo kazi yake ya kila siku..

Au mwalimu angeenda kutanishwa na wanafunzi..

Kama ni kweli hoja Ilikua ni usaili kwanini wanatumja njia hii ya maswali tu?

Ukiangalia kwa uharaka zoezi hili.. ni kuwa watu wanapaswa waanze kuingia kwenye vituo vya kazi kabla ya mwezi wa 9 haujaisha yaani mwezi wa 10 mwanzoni wawe wameshafika na kuchukua barua zao..

Hivyo wameona urahisi ni kutumia maswali hayo waanze kupunguza watu ikiwa wengi watafaulu sana written/ computer wachukua hata wenye scores ya 70 kuendelea itategemea na ufaulu ..

Mimi nadhani usaili huu haukulenga Moja kwa Moja kumpima.mtu anajua nini ila umelenga kupunguza Idadi kubwa ya watu ili wapate wachache kwa ajili ya kwenda kwenye oral

Kijana kasoma miaka 3 au 5
Kakutana na wagonjwa amefanya mitihani amefaulu miaka yote ameenda kufanya mtihani wa board/ council za taaluma aliyosomea amefaulu na amepewa leseni bado tena unampima ili iweje? Unampima nini? unampima ubora wake kwa maswali? Hiyo leseni kapewa vipi? Kwamba hamziamini hizo board? Na vipi hayo maswali mnayouliza akikosa mnamnyanganya leseni? Mtasema hana ujuzi?

Kama ni usaili kwanini msiwapeleke wakakutanishwa na wagonjwa. ?

Nakama ni waalimu kwanini wasikutanishwe na wanafunzi.?

Hapa utagundua ni Muda.. Wana muda mchache na wafanyakazi wanahitajika kazini.
Mkifata utaaratibu wa usaili hili zoezi lingetumia miezi hata 2 au 3.

Ila wameamua kufanya assessment kwa njia ambayo haukubaliki na wanataaluma wa afya na ualimu

Tatizo la kuchanganya siasa na taaluma

Na nawasikitikia sana wasimamizi wa haya mambo sio wataalumu wa Afya hivyo hawajui ni namna gani wanainajisi Taaluma Hizi za Afya.

Afya ni tofauti na kada zingine kabisa
Mkuu umetoa maelezo ya kujitosheleza kabisa ambae hajaelewa na aendelee kukaza fuvu

Hizi saili ni za kisiasa na sio kutafuta umahili

Na bado watu wa connection watapenyezwa kama kawa huku mtoto wa masikini akikariri mfumo umetenda haki
 
Sasa mtu kama amesahau mambo ya taaluma yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu sana tangu ahitimu, sasa serikali imuajiri ili akafanye kazi gani? Yaani mtu hana ufahamu wowote, ana vyeti tu, apewe ajira ya nini?
Unaamini kusahau ndio ufahamu?

Kweli elimu ya wakaririji inaendeshwa kwa kukariri

Kwaiyo huyo aliekariri na hajasahau kwakuwa katoka juzi chuo ndio mahili sana kuliko aliesahau?
 
Ndio maana kazini Huwa tuna "On the job training"
On job training ni kitu tofauti kabisa na hili la kuomba ajira.
On job training ni kile utakachojifunza ukiwa kazini baada ya kuwa umeajiriwa ukiwa na sifa za msingi. Ni vitu huwezi kujifunza moja kwa moja darasani lakini by default unajikuta automatically or purposely unajifunza katika mazingira yako ya kila siku kazini.
 
Alisomea taaluma ya Engineering usaili wake ni wa karatasi?

Alisomea taaluma ya urubani usaili wake ni wa karatasi tu?

Kinachodaliwa hapa ikiwa unahitaji usaili uwepo usaili uwe ni wa Vitendo kulingana na taaluma
Kama ni afya akutanishwe na mgonjwa
Kama ni mwalimu akutanishwe na wanafunzi

Usaili tofauti na huo ni batili
Maana unajuaa hauna lengo la kumpima mtu.

kosa la utumishi ni muda mchache waliopewa na Idadi kubwa ya wahitimu ndio sababu haya unayaona September hii watu watapangiwa maeneo ya kazi October kazi inaanza
Nimekuelewa. Haupingi usaili. Ila unapinga aina ya usaili. Hapo hata mimi sina shida na hoja yako.
Nawashangaa tu wale wasiotaka aina yoyoyte ya usaili.
 
Alisomea taaluma ya Engineering usaili wake ni wa karatasi?

Alisomea taaluma ya urubani usaili wake ni wa karatasi tu?

Kinachodaliwa hapa ikiwa unahitaji usaili uwepo usaili uwe ni wa Vitendo kulingana na taaluma
Kama ni afya akutanishwe na mgonjwa
Kama ni mwalimu akutanishwe na wanafunzi

Usaili tofauti na huo ni batili
Maana unajuaa hauna lengo la kumpima mtu.

kosa la utumishi ni muda mchache waliopewa na Idadi kubwa ya wahitimu ndio sababu haya unayaona September hii watu watapangiwa maeneo ya kazi October kazi inaanza
Utumishi kuna saili tatu. Written, practical na Oral, h unajua maana ya hizo saili?
Kila kada inafanya usaili wa aina yake kulingana na kada yake.
 
Huyo Kijana anaharibu mada Sana, kwenye Ile thread ya utumishi Huwa naona analialia amekosa kazi lakini kwa namna alivyo unasita hata kumsaidia

Mambo muhimu analeta ushabiki na anajua kabisa sio kipimo sahihi Cha Taaluma
Sawa mkuu, naomba unisamehe.
 
Unaamini kusahau ndio ufahamu?

Kweli elimu ya wakaririji inaendeshwa kwa kukariri

Kwaiyo huyo aliekariri na hajasahau kwakuwa katoka juzi chuo ndio mahili sana kuliko aliesahau?
Kama msomi wa fani fulani unasema umesahau kile ulichowahi kujifunza na kufaulu darasani, halafu hapo hapo unataka upewe ajira ya kwenda kufanya kazi ya kitu kile kile ulichokisahau, nini maana yake?

Kama muajiri anapima ufahamu wa muomba ajira kwa kuangalia ni kwa namna gani amekariri ili amuajiri huwezi kumlaumu muajiri, maana ndio kipimo chake katika usaili.

Turudi kwenye mada, suala hapa ni uwepo/kutokuwepo usaili wakati wa kuomba ajira.
 
Back
Top Bottom