Je, kuna umuhimu kama taifa kufanya usaili kwa kada ya Afya na Ualimu ndo Uajiri?

Utumishi shikilieni hapo hapo, hakuna kada kuajiriwa bila usaili.

Kwan kada ya ualimu na afya wana u-special upi mpaka wasifanye usaili wakati kada zingine zinafanya usaili?

Utumishi shikilieni hapo hapo, msiachie hata kidogo.

πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›piga nyundo nyngn bado anapumua huyo
 
Upo sahihi katika hili.. Idadi kubwa ha wahitimu na uchache wa nafasi za Ajira

Hawezi Athiri muhitimu wa muda mrefu mfano 2015 na muhitimu wa 2023

Au wote ni sawa wakishindanishwa katika mitihani hiyo?
Nilisikia bungeni ufafanuzi wakipata maksi sawa kati ya 2015 na 2023 atachukuliwa wa 2015.
 
Walimu wengi hawataki kufanya interview kwasababu ya uoga na kuto kua vizuri ..
 
Wafanye usaili wengi wamemaliza kwa kuvua chupi na ujanja ujanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…