jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ajira zote za utumishi lazima zifanyiwe usaili ili kuepusha kuajiri vilaza kama wewe mleta uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndio mnajisemea hivi sawa fainali ni kwenye usaili mbona mtaeleza.Kwa baadhi ya kada usaili nikupoteza rasilimali fedha, fedha za walipa kodi.
Utumishi shikilieni hapo hapo, hakuna kada kuajiriwa bila usaili.
Kwan kada ya ualimu na afya wana u-special upi mpaka wasifanye usaili wakati kada zingine zinafanya usaili?
Utumishi shikilieni hapo hapo, msiachie hata kidogo.

Nilisikia bungeni ufafanuzi wakipata maksi sawa kati ya 2015 na 2023 atachukuliwa wa 2015.Upo sahihi katika hili.. Idadi kubwa ha wahitimu na uchache wa nafasi za Ajira
Hawezi Athiri muhitimu wa muda mrefu mfano 2015 na muhitimu wa 2023
Au wote ni sawa wakishindanishwa katika mitihani hiyo?