johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa mfano Rais wa Marekani inajulikana ana matatizo kadhaa ya kiafya hivyo anapopepesuka au kupoteza kumbukumbu wananchi wa Marekani wala hawashangai bali wanamuombea kwa Mungu.
Hapa Tanzania mtu kama Tundu Lisu wala hatujaelezwa kama kamaliza matibabu yake huko Ubelgiji, tukaona tu anachukua fomu na kuanza kupanda majukwaani kugombea urais halafu angepatwa na lolote tungeanza kutafuta mchawi kuanzia mitaa ya Ufipa hadi Lumumba.
Kiongozi ni mali ya umma siyo familia ni vema afya zao zikajulikana kwa wananchi.
Ramadhan kareem!