johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa nini Tundu Lisu, na wale wengine, je, tunajua hali zao kiafya?Kwa mfano Rais wa Marekani inajulikana ana matatizo kadhaa ya kiafya hivyo anapopepesuka au kupoteza kumbukumbu wananchi wa Marekani wala hawashangai bali wanamuombea kwa Mungu.
Hapa Tanzania mtu kama Tundu Lisu wala hatujaelezwa kama kamaliza matibabu yake huko Ubelgiji, tukaona tu anachukua fomu na kuanza kupanda majukwaani kugombea urais halafu angepatwa na lolote tungeanza kutafuta mchawi kuanzia mitaa ya Ufipa hadi Lumumba.
Kiongozi ni mali ya umma siyo familia ni vema afya zao zikajulikana kwa wananchi.
Ramadhan kareem!
Mkuu naona umetutafutia sababu ya kumsumbua marehemu huko aliko. Siingii kwenye huu mtego kwa leoKwa mfano Rais wa Marekani inajulikana ana matatizo kadhaa ya kiafya hivyo anapopepesuka au kupoteza kumbukumbu wananchi wa Marekani wala hawashangai bali wanamuombea kwa Mungu.
Hapa Tanzania mtu kama Tundu Lisu wala hatujaelezwa kama kamaliza matibabu yake huko Ubelgiji, tukaona tu anachukua fomu na kuanza kupanda majukwaani kugombea urais halafu angepatwa na lolote tungeanza kutafuta mchawi kuanzia mitaa ya Ufipa hadi Lumumba.
Kiongozi ni mali ya umma siyo familia ni vema afya zao zikajulikana kwa wananchi.
Ramadhan kareem!
Wee Mama..Kwa mfano Rais wa Marekani inajulikana ana matatizo kadhaa ya kiafya hivyo anapopepesuka au kupoteza kumbukumbu wananchi wa Marekani wala hawashangai bali wanamuombea kwa Mungu.
Hapa Tanzania mtu kama Tundu Lisu wala hatujaelezwa kama kamaliza matibabu yake huko Ubelgiji, tukaona tu anachukua fomu na kuanza kupanda majukwaani kugombea urais halafu angepatwa na lolote tungeanza kutafuta mchawi kuanzia mitaa ya Ufipa hadi Lumumba.
Kiongozi ni mali ya umma siyo familia ni vema afya zao zikajulikana kwa wananchi.
Ramadhan kareem!
John tuliza Kasesela yako. We hujui huku kwetu tunachaguaga Rais mwenyeKwa mfano Rais wa Marekani inajulikana ana matatizo kadhaa ya kiafya hivyo anapopepesuka au kupoteza kumbukumbu wananchi wa Marekani wala hawashangai bali wanamuombea kwa Mungu.
Hapa Tanzania mtu kama Tundu Lisu wala hatujaelezwa kama kamaliza matibabu yake huko Ubelgiji, tukaona tu anachukua fomu na kuanza kupanda majukwaani kugombea urais halafu angepatwa na lolote tungeanza kutafuta mchawi kuanzia mitaa ya Ufipa hadi Lumumba.
Kiongozi ni mali ya umma siyo familia ni vema afya zao zikajulikana kwa wananchi.
Ramadhan kareem!
Daaaaaaaaaah......taratibu jamani hizi comments jamaniJohn tuliza Kasesela yako. We hujui huku kwetu tunachaguaga Rais mwenye
matatizo ya moyo mpaka anaogopa kupanda ndege halafu tunasema huyo ndo Mzalendo kweli kweli
Johnthebaptist ni MTU ambaye inatakiwa kukaa na kumuuelewa...WEWE UMEMUELEWA MKUU....USIINGIE KWENYE HUO MTEGO.Mkuu naona umetutafutia sababu ya kumsumbua marehemu huko aliko. Siingii kwenye huu mtego kwa leo
Naona bado una hanhover ya report ya CAG mpaka leo.Kwa mfano Rais wa Marekani inajulikana ana matatizo kadhaa ya kiafya hivyo anapopepesuka au kupoteza kumbukumbu wananchi wa Marekani wala hawashangai bali wanamuombea kwa Mungu.
Hapa Tanzania mtu kama Tundu Lisu wala hatujaelezwa kama kamaliza matibabu yake huko Ubelgiji, tukaona tu anachukua fomu na kuanza kupanda majukwaani kugombea urais halafu angepatwa na lolote tungeanza kutafuta mchawi kuanzia mitaa ya Ufipa hadi Lumumba.
Kiongozi ni mali ya umma siyo familia ni vema afya zao zikajulikana kwa wananchi.
Ramadhan kareem!
Afya ya Magonjwa gani?Kwa mfano Rais wa Marekani inajulikana ana matatizo kadhaa ya kiafya hivyo anapopepesuka au kupoteza kumbukumbu wananchi wa Marekani wala hawashangai bali wanamuombea kwa Mungu.
Hapa Tanzania mtu kama Tundu Lisu wala hatujaelezwa kama kamaliza matibabu yake huko Ubelgiji, tukaona tu anachukua fomu na kuanza kupanda majukwaani kugombea urais halafu angepatwa na lolote tungeanza kutafuta mchawi kuanzia mitaa ya Ufipa hadi Lumumba.
Kiongozi ni mali ya umma siyo familia ni vema afya zao zikajulikana kwa wananchi.
Ramadhan kareem!
Hata mimi nimestukiaJohnthebaptist ni MTU ambaye inatakiwa kukaa na kumuuelewa...WEWE UMEMUELEWA MKUU....USIINGIE KWENYE HUO MTEGO.
Wamuulize Majaliwa analo jibuKuna wananchi bado Wana wasiwasi kuhusu kifo Cha Magufuli,maana wanadai kwa nini watangaziwe kifo tu na si ugonjwa?