Kila mtu na afe na ya moyoni mwakeEbu tuambiane ukweli wadau mana dunia imebadilika sana unaweza mwambia mkee wako au mumewako kuna kitu sehemu flan mfano bastola ahaahahah siki mmegombana akachukua akajilipua au akakulipua
Ndio maana wanawake wakichepuka,wanaume inatuuma sana.Maana anachepuka na siri zako na futuristic plans...unabak mtupuuuuEbu tuambiane ukweli wadau mana dunia imebadilika sana unaweza mwambia mkee wako au mumewako kuna kitu sehemu flan mfano bastola ahaahahah siki mmegombana akachukua akajilipua au akakulipua
Unachagua.. zile serious unatunza mwenyeweEbu tuambiane ukweli wadau mana dunia imebadilika sana unaweza mwambia mkee wako au mumewako kuna kitu sehemu flan mfano bastola ahaahahah siki mmegombana akachukua akajilipua au akakulipua
Napiga mitamaHeheheh kumwambia mwanamke mipango yako na siri ni kuuza ramani ya vita kwa adui.
"You have a right to remain silence because what you say can be used against you!"
Kama unakumbuka ushawahi mwambia mpenzi wako flani kuwa demu wako wa kwanza alikusaliti na kukwambia maneno flani ya kukera mf. "mshamba"....Inafikia siku umehitilafiana na demu wako wa sasa anakurushia "ndio maana hilda alikuitaga mshamba wewe wala hakukosea!"..."Una mambo ya kishamba sana we mwanaume"
How does that feel?
😂😂 dah,ila hawa watu saa nyingine wana maneno ya shombo,eti una mambo ya kishamba,halafu ukute nyumba ya jirani yako iko karibu wanasikia kila kitu unavyopewa makavu,kuua soo mzee mzima hukawi kutoka nje ili isionekane ni wewe unaesulubiwa...Heheheh kumwambia mwanamke mipango yako na siri ni kuuza ramani ya vita kwa adui.
"You have a right to remain silence because what you say can be used against you!"
Kama unakumbuka ushawahi mwambia mpenzi wako flani kuwa demu wako wa kwanza alikusaliti na kukwambia maneno flani ya kukera mf. "mshamba"....Inafikia siku umehitilafiana na demu wako wa sasa anakurushia "ndio maana hilda alikuitaga mshamba wewe wala hakukosea!"..."Una mambo ya kishamba sana we mwanaume"
How does that feel?
Unajivuta nje tu taratibu ikibidi unabatua na fegi ili kuua soo! Unaelekea zako dukani 😂😂😂😂😂 dah,ila hawa watu saa nyingine wana maneno ya shombo,eti una mambo ya kishamba,halafu ukute nyumba ya jirani yako iko karibu wanasikia kila kitu unavyopewa makavu,kuua soo mzee mzima hukawi kutoka nje ili isionekane ni wewe unaesulubiwa...
Wewe jamaa akili kubwa sana aisee Jf kuna mijitu inaakili aisee.Point taken bro sio Mipango yangu mingi ilifeli kwa sababu ya kutoa siri ya mipango .Heheheh kumwambia mwanamke mipango yako na siri ni kuuza ramani ya vita kwa adui.